Rais Samia atengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Wakurugenzi wa TTB na NCAA

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
UTEUZI: Rais Samia Sululu Hassan, ametengua Uteuzi wa Richard Rwanyakaato Kiiza, aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).

Pia, Rais amemteua Kaspar Kaspar Mmuya kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma. Kabla ya Uteuzi, Mmuya alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Screenshot_2024-03-15-21-23-09-329_com.instagram.android-edit.jpg
 
UTEUZI: Rais Samia Sululu Hassan, ametengua Uteuzi wa Richard Rwanyakaato Kiiza, aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).

Pia, Rais amemteua Kaspar Kaspar Mmuya kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma. Kabla ya Uteuzi, Mmuya alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
View attachment 2935666
Angetengua na uteuzi wa wazir wa maji ingekuwa poa zaid
 
Kuna umuhimu wa ku-review JD ya Raisi wa Nchi, not ya JD ya Mama Samia, nazungumzia Raisi wa Nchi, hizi tengua na teua sijawahi kuona zikiwa na tija, zaidi zinaongeza gharama Tu maana hao wote wanapewa stahiki zao na baada ya muda WAnaondoshwa bila kupewa sababu za msingi.
 
Kiiza kadumu katika nafasi ya Commissioner Mkuu Ngorongoro miezi mitatu katunguliwa.

Kiiza kaenda NCAA na dereva wake,Secretary wake na Mlinzi wake wote kutokea TANAPA na wote wahaya wenzake.

Leo kaondolewa sijui wapambe wake wataenda wapi,wataweka wapi nyuso zao.
Ila hizi lugha mnazotumia vijana wa siku hizi zinachanganya sana.

Mimi nilijua katunguliwa(kapigwa risasi) na askari wa wannyama pori. Kumbe kafukuzwa kazi!!
 
Back
Top Bottom