Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 4,730
- 11,081
Habari zenu wakuu, kuna jambo lilikuwa likiniacha njia panda sana,
Kuna binamu yangu umri wake kwa sasa ni 33 to 34 hajaowa mpaka sasa na amekuwa akipambana kujiweka sawa kiuchumi na huku akitafuta mwenza wa maisha yake.
Baba yake mzazi amekuwa akimshauri mwanae umri umekwenda na muda mwingine hufikia kumwambia binamu yangu kama anahitaji msaada wa hali na mali basi aseme ili aweze kuowa.
Lakini kwa upande wa mama yake mzazi yaani shangazi yangu kila jamaa anapojitahidi kupiga hatua ili afikie lengo lake na akaferi basi shangazi huonekana kama anafurahia ile hali na muda mwingine huwa mgumu wa kutoa hata ushauri kwa huyo binamu.
Hili jambo tumeshindwa kufahamu tatizo ni nini au ni laana?