Nalazimishwa kuwa baba wa mtoto

May 28, 2023
55
63
Wadau habarini,

Kuna mwanamke mmoja nilikuwa na mahusiano nae, baada ya miezi mitatu ananiambia ana ujauzito nilipomwuliza kwa kina akasema ni wangu. Baada ya wiki mbili akanionesha mstar uliochora katikati ya tumbo akisema mimba Ina miezi mitatu kwenda wa nne huku Ina mstari. Nilipowashirikisha marafiki wakasema mimba hiyo ina miezi mitano. Baada ya miezi minne alijifungua. Kwangu nikimwesabia miezi toka tarehe niliyoanza nae kulala ni miezi 7 tarehe 27/11/2022 mpaka tarehe 14/06/2023 alijifungua tarehe 14/06/2023 Sasa anasema atajuaje kuwa mtoto ni wa nani?

(Kumbuka alipata shida ya kupata ujauzito takribani miaka 5 baada ya kuwa na watoto 4 kwahiyo alikata tamaa ya kupata ujauzito akawa anajiachia kwa mwanaume yeyote bila wasiwasi)

Sasa ananing'ang'anizaa mtoto awe wangu nami namjibu kinusunusu nikimkataa anasononeka nikimkubali anafurahi wakati huo moyoni najua mtoto siyo wangu Sasa nifanye nini kuondokana na jambo hili?
 
Wadau habarini,
Kuna mwanamke mmoja nilikuwa na mahusiano nae, baada ya miezi mitatu ananiambia ana ujauzito nilipomwuliza kwa kina akasema ni wangu. Baada ya wiki mbili akanionesha mstar uliochora katikati ya tumbo akisema mimba Ina miezi mitatu kwenda wa nne huku Ina mstari. Nilipowashirikisha marafiki wakasema mimba hiyo Ina miez mitano. Baada ya miezi minne alijifungua. Kwangu nikimwesabia miezi toka tarehe niliyoanza nae kulala ni miezi 7 tarehe 27/11/2022 mpaka tarehe 14/06/2023 alijifungua tarehe 14/06/2023 Sasa anasema atajuaje kuwa mtoto ni wa nani? (Kumbuka alipata shida ya kupata ujauzito takribani miaka 5 baada ya kuwa na watoto 4 kwahiyo alikata tamaa ya kupata ujauzito akawa anajiachia kwa mwanaume yeyote bila wasiwasi) Sasa ananing'ang'anizaa mtoto awe wangu nami namjibu kinusunusu nikimkataa anasononeka nikimkubali anafurahi wakati huo moyoni najua mtoto siyo wangu Sasa nifanye nini kuondokana na jambo hili?
Ni wako ndio kubali maana mtoto wa mwenzio ni wako
 
Mwanamke ana watoto wanne bado yuko mbioni kusaka watano na kubambikia wanaume kuwa ndio baba!! Na bado akibanwa kwa mahesabu ya mimba mpaka kuzaa anatoa jibu eti yeye atamjuaje baba wa mtoto.
 
Mwanamke ana watoto wanne bado yuko mbioni kusaka watano na kubambikia wanaume kuwa ndio baba!! Na bado akibanwa kwa mahesabu ya mimba mpaka kuzaa anatoa jibu eti yeye atamjuaje baba wa mtoto.
Ukimwi hautaisha ndugu yangu....😆😆
 
Na kujua kote anajiachia Kwa Kila libolo fc na Wewe ukapuna?Nyege za wapi hizo mkuu,ona Sasa misala kama hii,na ukikataa mimba kabila nyingine unalogwa.
 
Hao watoto wanne kawazaaje? Au ndo single maza kila mtoto na baba yake maana angekuwa mke wa mtu asingekusumbua. Pia watoto wanne anahangika azae tena ili iwejee au ana matatizo ya akili?
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom