Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
1,840
3,378
Tanzania ili ifanikiwe lazima watu wake wakubali kustaarabika tofauti na hapo itapita hata miaka 100 na nchi itakua hivi hivi

Mimi sio mwanachama wa chadema au ccm sina ushabiki wa chama

Lowassa alishawahi kuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA kwenye kinyangiro cha urais historia inasema hivyo

Lowassa amefariki lakini kuna watu kwa makusudi kabisa hawataki ku-aknowledge kwamba alikua CHADEMA

Kukosa ustaarabu kulianza kwa askofu Malasusa alivyogoma kukubali uwepo wa viongozi wa CHADEMA kanisani.

Kuna saa unajiuliza eti Malasusa ndio kiongozi wa kanisa la pili kwa ukubwa Kuna muda unaona kabisa waumini wa KKKT wana bahati mbaya sana sababu unakuaje na kiongozi ambaye hajastaaribika vile na kila mara mnamchagua ni ajabu sana

Kule Monduli ratiba ya mazishi imetoka na CHADEMA hawapo. Unajua kuna muda tukubali uwezo wa waafrika ni mdogo sana hadi kwenye mambo ya kawaida sana na alivyo na akili fupi anadhani anawakomoa CHADEMA

Historia itabakia kwamba Lowassa alishakuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA hii kamwe haiwezi futika na ndio ukweli
 
Lowasa alishawahi kuwa mwanachama na mgombea wa chadema kwenye kinyangiro cha urais historia inasema hivyo

Lowasa amefariki lakin kuna watu kwa makusudi kabisa hawataki ku-aknowledge kwamba alikua chadema

Kukosa ustaarabu kulianza kwa askofu malasusa alivyogoma kukubali uwepo wa viongozi wa chadema kanisani kuna saa unajiuliza eti malasusa ndio kiongozi wa kanisa la pili kwa ukubwa kuna mda unaona kabisa waumini wa kkkt wanabahati mbaya sana sababu unakuaje na kiongozi ambaye hajastaaribika vile na kila mara mnamchagua ni ajabu sana

Kule monduli ratiba ya mazishi imetoka chadema hawapo unajua kuna mda tukubali uwezo wa waafrika ni mdogo sana hadi kwenye mambo ya kawaida sana na alivyo na akili fupi anadhani anawakomoa chadema

Historia itabakia kwamba lowasa alishakua mwanachama na mgombea wa chadema hii kamwe haiwezi futika na ndo ukweli
Wewe mleta uzi ni pipooozi pawa?
 
Lowassa alishawahi kuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA kwenye kinyangiro cha urais historia inasema hivyo

Lowassa amefariki lakini kuna watu kwa makusudi kabisa hawataki ku-aknowledge kwamba alikua CHADEMA

Kukosa ustaarabu kulianza kwa askofu Malasusa alivyogoma kukubali uwepo wa viongozi wa CHADEMA kanisani.

Kuna saa unajiuliza eti Malasusa ndio kiongozi wa kanisa la pili kwa ukubwa Kuna muda unaona kabisa waumini wa KKKT wana bahati mbaya sana sababu unakuaje na kiongozi ambaye hajastaaribika vile na kila mara mnamchagua ni ajabu sana

Kule Monduli ratiba ya mazishi imetoka na CHADEMA hawapo. Unajua kuna muda tukubali uwezo wa waafrika ni mdogo sana hadi kwenye mambo ya kawaida sana na alivyo na akili fupi anadhani anawakomoa CHADEMA

Historia itabakia kwamba Lowassa alishakuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA hii kamwe haiwezi futika na ndio ukweli
Hivi mnafikiri huyo Malasusa na Gwajima na yule Joshua aliyefariki wana tofauti? Wote ni matapeli. Halfu kwa taarifa yako hakuna kanisa lenye viongozi wenye makandokando kama hilo la KKKT. Maaskofu wake wengi wana asili ya utapeli hivi.
 
Lowassa alishawahi kuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA kwenye kinyangiro cha urais historia inasema hivyo

Lowassa amefariki lakini kuna watu kwa makusudi kabisa hawataki ku-aknowledge kwamba alikua CHADEMA

Kukosa ustaarabu kulianza kwa askofu Malasusa alivyogoma kukubali uwepo wa viongozi wa CHADEMA kanisani.

Kuna saa unajiuliza eti Malasusa ndio kiongozi wa kanisa la pili kwa ukubwa Kuna muda unaona kabisa waumini wa KKKT wana bahati mbaya sana sababu unakuaje na kiongozi ambaye hajastaaribika vile na kila mara mnamchagua ni ajabu sana

Kule Monduli ratiba ya mazishi imetoka na CHADEMA hawapo. Unajua kuna muda tukubali uwezo wa waafrika ni mdogo sana hadi kwenye mambo ya kawaida sana na alivyo na akili fupi anadhani anawakomoa CHADEMA

Historia itabakia kwamba Lowassa alishakuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA hii kamwe haiwezi futika na ndio ukweli
Uko sahihi lakini nyie nendeni msibani mshiriki na wanachama wenu kumuaga Lowasa kama wananchi WA kawaida kwani mtapungukiwa nini.
 
Lowassa alishawahi kuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA kwenye kinyangiro cha urais historia inasema hivyo

Lowassa amefariki lakini kuna watu kwa makusudi kabisa hawataki ku-aknowledge kwamba alikua CHADEMA

Kukosa ustaarabu kulianza kwa askofu Malasusa alivyogoma kukubali uwepo wa viongozi wa CHADEMA kanisani.

Kuna saa unajiuliza eti Malasusa ndio kiongozi wa kanisa la pili kwa ukubwa Kuna muda unaona kabisa waumini wa KKKT wana bahati mbaya sana sababu unakuaje na kiongozi ambaye hajastaaribika vile na kila mara mnamchagua ni ajabu sana

Kule Monduli ratiba ya mazishi imetoka na CHADEMA hawapo. Unajua kuna muda tukubali uwezo wa waafrika ni mdogo sana hadi kwenye mambo ya kawaida sana na alivyo na akili fupi anadhani anawakomoa CHADEMA

Historia itabakia kwamba Lowassa alishakuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA hii kamwe haiwezi futika na ndio ukweli
Uko sahihi lakini nyie nendeni msibani mshiriki na wanachama wenu kumuaga Lowasa kama wananchi WA kawaida kwani mtapungukiwa nini

Ustaarabu uanze na nyie Chadema maana haiwezekani Kiongozi wa kitaifa aliyewahi kuwa mgombea urais kupitia chama chenu amefariki na nyie mnaandaa maandamano bila kujali nchi ina msiba.....hampendi kutangamana na mna ubinafsi wa kijinga.
 
Maombelezo ya kitaifa yameisha jumatano
 
Back
Top Bottom