unapenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mufti kuku The Infinity

    Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

    Mufti kuku The Infinity kwenye picha ya pamoja na paka wake Cc BICHWA KOMWE -
  2. GUSSIE

    Jakaya Kikwete: Hayati Rais Mwinyi ndiye aliyenifikisha hapa nilipo leo

    Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko Mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari Jakaya Kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa...
  3. ndege JOHN

    Nipe sababu tatu unapenda kuishi ukanda gani mwa Tanzania?

    Nimezaliwa na kukulia kanda ya kati ila Shule nimesoma sana kanda ya pwani ya mashariki dar na maisha ya kikazi nikatupwa kanda ya kusini na bahati nzuri field zangu nimebahatika kufika wilaya zote za mtwara lindi na ruvuma nimezizungikia zaidi ya mara kumi.sababu tatu kwanini ukanda wa kusini...
  4. DSJ

    JE, UNAPENDA KUSOMEA UANDISHI WA HABARI LAKINI UKO "BUSY" NA MAJUKUMU?

    Tumeendelea kutoa masomo kwa njia ya Mtandao. Yaani Online Learning. Utaweza kujipatia mafunzo popote ulipo kupitia mfumo wetu wa kidigitali wa ufundishaji. Utaweza kuonana na walimu ana kwa ana kupitia "Video Conference". Na endapo utapata muda wa kututembelea basi utapata one-on-one Consultation.
  5. MamaSamia2025

    Je, unapenda pilau kuku, biriani mbuzi, nyama choma, makange ya samaki, ugali dagaa na mbogamboga? Mbinguni hazitakuwepo.

    Kuna vitu na mambo yanayopendwa sana hapa duniani ambavyo sio dhambi lakini ni kuwa hivyo vyote havitakuwepo. Kwa mfano sisi tunaopenda misosi mitamu kama ile ya Shishi food, white rose na Marry brown ni kuwa haitakuwepo. Kitu nachosikia kinatajwa tajwa ni maziwa na asali. Pia huenda kikawepo...
  6. Mhaya

    Huwapendi Freemason ila unapenda vitu vyao

    Kitu cha kwanza kitakachokupa nguvu katika dunia hii ni elimu. Utake usitake elimu ina nguvu kuliko kitu chochote kwenye hii dunia. Kwa nini Mafreemason na Illuminat wanaitawala hii dunia? Ni kwa sababu wamesoma sana. Wanajua mambo mengi mno. Ukikutana na Freemason mwenye digrii 33 na akaanza...
  7. Mtemi Eno

    Kama unapenda kutunza kumbu kumbu za muvi / series, hii itakufaa.

    Mfano hii ni series ya prison break season 1 episode 21, nimeipende hii sehemu na nataka niitunze kwa picha mnato (snapshot) File la picha litaandikwa "Prison Break S01E21-00_17_15-00007 " ikimaanisha kwamba tukio la kwenye picha lipo kwenye prison break season 1 episode 21, muda wa dakika ya...
  8. R

    Matumizi ya neno KUWEZA kwenye vyombo vya habari yamekaaje?

    Ukisikiliza vyombo vya habari vikiripoti matukio ya vifo au majeruhi utasikia Kwa mfano " watu wawili wameweza kupoteza maisha" au " mtu mmoja aliweza kujeruhiwa". Haya ni matumizi sahihi ya kitenzi hiki? Nimejifunza lugha za mataifa mengine na msaada mkubwa kwenye kujifunza ilikuwa kusikiliza...
  9. M

    wewe unapenda nyumba yako iweje

    kila mtu ana sababu ya kupenda kitu flani, hata kwenye ujenzi wa nyumba kila mtu ana sababu ya kupenda muenekano flani wa nyumba yake moja ya...
  10. Mohammed wa 5

    Unapenda kuweka Nini kwenye simu yako Ringtones/Vibration

    Mo mp5 once again, Hope wazima familia ya JF. Binafsi simu yangu napenda kuweka vibration,sababu sipendi kelele na ni mvivu Sana kupokeaga simu. Kuna Ringtone zingine ziko vizuri Kama za iPhone,nokia,samsung.ila Kama unatumia Tecno,infinix,itel, vivo nk ringtone zao zinakuwa ni mbaya Yani Kama...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, unapenda mwanamke wako awe na kipi kati ya hivi?

    Huku kuna dimples kule kuna diastema ukipenda uite mwanya kazi ni kwako
  12. NetMaster

    Wavuta sigara tukutane hapa: unapenda sigara ipi, unapenda kuvutia mazingira yapi na una lipi la ziada ?

    hamuwezi kuamini hata rafiki zangu wa karibu na ndugu mpaka leo hawajui kama navuta 😂😂 nikiwa maeneo ya karibu na home napenda kuvuta kwa kujificha ila nikiwa mitaa ya mbali au nje ya mkoa naweza kuvuta wazi. Binafsi nimevuta sigara za aina nyingi kuanzia embassy, club, spoti, nyota, winston...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je unapenda chips? Mjue George Speck mgunduzi wa chips

    UNAAMBIWA: Chips za viazi zilianza kutengenezwa rasmi Mwaka 1853 baada ya Mmarekani mweusi George Speck maarufu Crum (Mpishi) kupata hasira kisa Wateja wake kumlaumu kuwa anawawekea viazi vyenye mapande makubwamakubwa. Alipoona Wateja wanamkera akaamua kuwakomoa kwa kukata vipande vidogovidogo...
  14. GENTAMYCINE

    Sasa Mo Dewji kama unapenda 'Kupromoti' Ndondi kwanini usingeanza kwa 'Kuwapiganisha' Okra Magic na Dejan Mzungu?

    Ila siyo Siri Mo Dewji kwa sasa wala nisikufiche unazingua na unatuzingua sana tu wana Simba SC hasa kupitia hicho Kifidodido chako CEO Barbara Gonzalez. Hivi Wewe Mo Dewji kama kweli Mzigo wa 20 Billion upo na uliuweka Simba SC ndiyo tushindwe kweli kutoa Tsh Milioni 800 kwa Victor Adebayor...
  15. A

    Kama unapenda maswala ya aviation, na hujawahi au huifahamu ndege vizuri pitia hapa

    Huyu mdada Yuko njema sana nilikuwa napita pita YouTube nikaona vids zake Piloti Bambi Inaonesha Ana ulewa sana na hayo maswala kakulia huko, check it out hizo vid utaziona kwa ukaribu Helicopter pia
  16. M

    Unapenda watoto wako wawe na uwezo gani darasani?

    Wazazi wengi wanaumia sana kuona watoto wao hawafanyi vizuri darasani, lakini mbona huku mtaani wakali darasani ni vilaza tunakutana pamoja kwenye kutafuta cash, na mara nyingi tunazidiwa na wale vilaza. Mimi napenda mtoto awe na uwezo wa kati darasani ili awe na muda wa kujifunza vingi kuliko...
  17. Hamza Nsiha

    Je, ni vitu gani ambavyo umezoea na unajua kuwa ni hatari kwa afya yako?

    Ni dhahiri kuwa kuna vitu vingi ambavyo watu wengi huwa tunapenda kuvipuuzia lakina ki_uhalisia ni vitu vyenye kuleta athari kubwa katika afya zetu. Baadhi ya vitu hivyo ni kama vile: Kukata matunda, na kuyaacha kwa muda fulani. Nadhani umewahi kukutana na sehemu ambazo wanauza matunda yakiwa...
  18. Allen Kilewella

    Unapenda Marekebisho gani yafanyike Polisi na Mahakama

    Kama unahisi Jeshi la Polisi na Mahakama haviko sawa. Unadhani ni Marekebisho gani yanatakiwa kufanyika ili Jeshi la Polisi liwe bora na Mahakama itende haki inavyotakiwa.
  19. Surya

    Kuna siku huwa zinaflow vizuri hadi unapenda mwenyewe

    Yani kuna ile siku hukua na kazi nyingi, mfukoni pako vizuri, jioni bia mbili hivi uhakika.. by saa moja umeisha ingia bafuni, unaweka mwili safi, then unatupia unyama flani hivi ambao huwa unauaminia sana.. unawakaaaa yani. simu ina bando hadi la hakiba.. Unamaliza kula msosi mzuri by saa 2...
  20. GENTAMYCINE

    James Rocky Mwakibinga unapenda Siasa, ila Siasa haikutaki na una Nuksi za Chaguzi kila unakoenda

    Kama kawaida yako na Leo umeharibu Uchaguzi wa Umoja wa Vijana Kawe kwa Kuwahonga baadhi ya Watendaji wa CCM Kata ( Hasa Mlevi Dokta Komba ) ili wahakikishe Mpinzani wako Mkuu Mwanamama Nasma hapiti na asiwepo katika Kinyang'anyiro. James Rocky Mwakibinga tokea nikufahamu ( na bahati mbaya au...
Back
Top Bottom