ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
Niseme kiukweli tupo kwenye majonzi mazito, misiba mbalimbali imetokea. lakini licha ya hayo bado kero ya umeme imezidi kushamiri na mfano mzuri nitukio la kukatika umeme pale karemjee wakati wakimuaga ndugu Lowasa.
Serikali ya CCM ilituahidi kuwa kero ya umeme itaisha kuanzia tarehe 16-02-2024 ''YAANI KESHO'' ambapo tunatarajia mradi mkubwa wa kufua umeme wa maji stiglers HEP au nyerere hydropower kuwashwa. na tunagemea ikishawashwa basi kero ya kukatika umeme itaisha, licha ya kuambiwa kuwa gesi yetu ya mtwara imepungua sasa sijui ndo inaisha.
kwahiyo hatutakubali kauli yoyote kutoka kwa serikali kuhusu kuwasha stiglers, maana sioni shamra shamra zozote zinazoendelea kuelekea kwenye tukio hilo muhimu. kumukuwa kimya, au ni dalili ya kusema kuwa tuna msiba na umeme wa bwawa la stiglers tutawasha april.