somalia

  1. Tafakari_nami

    HATIMAYE SOMALIA KAWA MWANACHAMA RASMI WA EAC

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, sasa wanachama wa Jumuiya ya Umoja wa Afrika Mashariki idadi yao inakuwa inchi 8. Jumuiya inazidi kukua. Kama tungekuwa na hela moja ya Afrika Mashariki ingekuwa poa sana. Je nini maoni yako juu ya kukuwa kwa Jumuiya yetu ?!
  2. Tafakari_nami

    HATIMAYE SOMALIA KAWA MWANACHAMA RASMI WA EAC

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, sasa wanachama wa Jumuiya ya Umoja wa Afrika Mashariki idadi yao inakuwa inchi 8. Jumuiya inazidi kukua. Kama tungekuwa na hela mona ya Afrika Mashariki ingekuwa poa sana. Je maoni yako ni nini juu ya kukuwa kwa Jumuiya yetu?
  3. BARD AI

    Somalia imekuwa mwanachama Rasmi wa Jumuaiya ya Afrika Mashariki

    DIPLOMASIA: Nchi ya Somalia imekuwa Mwanachama kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya kukamilisha hatua zote zilizohitajika ili kuweza kupata ridhaa ya kujiunga na jumuiya hiyo Sekretarieti ya EAC imechapisha taarifa inayoonesha Ujumbe wa Somalia ukikabidhiwa Hati yake ya...
  4. JanguKamaJangu

    Raia sita wa Morocco wahukumiwa adhabu ya kifo Nchini Somalia

    Mahakama ya kijeshi Kaskazini mwa Somalia imewahukumu kifo raia sita wa Morocco ikielezwa kuwa wana uhusiano na kundi la kigaidi. Majina ya wahusika ni Mohamed Hassan, Ahmed Najwi, Khalid Latha, Mohamed Binu Mohamed Ahmed, Ridwan Abdulkadir Osmany na Ahmed Hussein Ibrahim, wana nafasi ya kukata...
  5. Messenger RNA

    Miili ya wanajeshi wa UAE waliouawa Somalia yawasili nyumbani

    Miili ya maafisa watatu wa kijeshi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu - waliouawa katika shambulizi la wanamgambo nchini Somalia - imewasili Abu Dhabi. Taarifa ilisema afisa wa nne ambaye alipata majeraha wakati wa shambulio la Jumamosi alifariki alipowasili UAE. Maafisa wa Imarati walisema...
  6. MK254

    Mabomu yarindima kwenye masoko ya walalahoi Somalia, 10 wafa

    Vigumu sana kuwaelewa hawa, yaani hata kuwa na ujirani nao ni hatari sana. Wote dini moja, kabila moja, lugha moja lakini wanauana kiholela, sasa mabomu unalipua kwenye masoko ya walalhoi ukilenga nini haswa. =========== Several blasts at a popular open-air market in Somalia's capital...
  7. MK254

    Meli ya Iran yatekwa na magaidi Somalia na kuokolewa na jeshi la India

    Mumechanganyikiwa hadi mnatekana wenyewe kwa wenyewe, mbwa kala mbwa.... Indian Navy warship rescues Iranian vessel hijacked off Somalia coast The Indian Navy's INS Sumitra on Monday safely rescued fishermen hijacked by pirates along the East coast of Somalia and the Gulf of Aden, defence...
  8. JanguKamaJangu

    Somalia: Helikopta ya Umoja wa Mataifa (UN) yashikiliwa na Al-Shabab ikiwa na abiria

    Kundi la Al-Shabab limeikamata Helikopta ya Umoja wa Mataifa (UN) ikiwa na Watu Wanane wakati ilipotua kwa dharura katika eneo linaloshikiliwa na kundi hilo katikati mwa Somalia. Kituo cha Habari cha Somali National News Agency (SONNA) kimeeleza Ndege hiyo ilitua Mji wa Galmudug na mazungumzo...
  9. Webabu

    Bahari imechafuka.India wameingia kuokoa meli karibu na Somalia.

    MV Lila Folk nusura ichukuliwe na wanamgambo wanaodhaniwa wa Somalia.Wanamaji wa India walipata mwito wa shida baharini kutoka meli hiyo na haraka kwenda kuiokoa. Meli hiyo ilikuwa ikipeperusha bendera ya Liberia na ilikuwa iko masafa ya 460 nautical miles kutoka Somalia katikati ya bahari ya...
  10. MK254

    Ethiopia na Somalia haziivi, wanataka kukinukisha

    Somalia hawa hawa na maugaidi yao wanataka kuanzisha vita na Ethiopia kisa hao Ethiopia wamedhamiria kutumia bandari ya Somaliland.............. Somalia vowed on Tuesday to defend its territory by "any legal means" and recalled its ambassador to Ethiopia after Addis Ababa struck a controversial...
  11. JanguKamaJangu

    Uturuki yatoa Hati ya Kukamatwa kwa Mtoto wa Rais wa Somalia kutokana na ajali mbaya ya barabarani

    Uturuki imetoa Hati ya Kimataifa ya kukamatwa kwa Mtoto wa Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, baada ya kudaiwa kumgonga msafirishaji wa pikipiki, ambaye alifariki baadaye. Ripoti ya Polisi imesema Mohamed Hassan Sheikh Mohamud alipata ajali hiyo Mchana Jijini Istanbul aipokuwa akiendesha...
  12. BARD AI

    Somalia yaifungia Mitandao ya Tiktok, Telegram na 1XBet

    Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Mitandao hiyo pamoja na Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya 1XBET zimebainika kutumiwa na Magaidi pamoja na kueneza Uasherati kupitia Picha na Upotoshaji katika Jamii. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia iliagiza watoa huduma za Intaneti kutekeleza marufuku...
  13. Nkaburu

    Video: Aweka Rekodi mpya ya Riadha, Afisa asimamishwa kazi

    Somalia imemsimamisha kazi afisa wa ngazi ya juu wa riadha baada ya mmoja wa wanariadha wake kuweka rekodi mpya ya mbio za mita 100 - ambayo ni ya polepole zaidi kuwahi kutokea katika mashindano ya kimataifa. Mwanariadha huyo Nasra Ali Abukar, alikimbia na alivuka mstari wa kumaliza kwa sekunde...
  14. V

    Mkataba hauifungi DP World isiwekeze Congo na Rwanda. Waliizunguka Djibouti mizigo ya Ethiopia na Somalia ikawa kesi

    Associated Press Djibouti walicheza ngoma bandarini siku ya kwanza. Leo Djibouti wanalia machozi, DP World wamefukuzwa, Djibouti wanasema wameibiwa, wamelipa madola ya mafaini na magharama ya kesi za kimataifa. Hukumu ya siku za karibuni ilitoka mwezi May 2023 Washington DC. Kesi mahakamani...
  15. Kijakazi

    Waarabu kwa nini wanaibomoa Somalia na Yemeni? Ni mafuta!

    Wanao fund al shabab ni Saudi Arabia, anaye bomb kuuwa na kutesa watu wasio na hatia Yemeni ambao > 98% ni Waislamu ni Saudi Arabia, Somalia na Yemeni wana one thing in common, mafuta, oil rich Arab Countries hawataki Somalia ichimbe mafuta yao kwa maana ni competitor wamemeamua ku destroy...
  16. BARD AI

    Mwaka 2018 DP World ilipigwa Marufuku Nchini Somalia na Mkataba wake kuitwa Batili na Usiotekelezeka

    Mwaka 2018, Somalia ilipiga marufuku kampuni ya bandari ya Dubai DP World kufanya kazi nchini Somalia, ikisema kuwa mkataba ambao kampuni hiyo ilitia saini mwaka 2017 na eneo lililojitenga la Somaliland ili kuendeleza eneo la kiuchumi ni batili na hautekelezeki Bila kueleza kwa undani, Bunge la...
  17. MK254

    Kwa jinsi hawa waarabu wa Sudan wananyukana, tunaelekea kuwa na Somalia nyingine

    Saudi Arabia imejaribu kuwapatanisha ila wapi, kila upande una ubabe wa balaa....milipuko mjini Mahasidi wenyewe ni Abdel Fattah al-Burhan anapigana na kamanda Mohamed Hamdan Wakiachiwa hivi wataibadilisha hiyo nchi na kuwa kama Somalia, na hawatakawia kujilipua kwa mobomu hawa...
  18. MK254

    Magaidi 60 wenye itikadi za kidini wauawa Somalia

    Wamewahishwa kuleeee. ========= The Somali National Army (SNA) says it has killed dozens of Al-Shabaab fighters in a morale boost against the militant group. Haradhere District Commissioner Mohamed Yusuf Kulmiye said that the SNA had received information about the movement of Al-Shabaab...
  19. ChoiceVariable

    Bahari mpya kuligawa bara la Afrika, Tanzania kuwa sehemu ya Kisiwa

    Wanajiolojia wamethibitisha kuwa bahari mpya inaundwa barani Afrika ambayo italigawa bara hilo nusu. Inasemwa kuwa ufa wenye urefu wa maili 35 ulionekana katika jangwa la Ethiopia eneo la Afar mwaka 2005 na pengine ni mwanzo wa bahari mpya kabisa. Ukurasa wa The Archeologist umeandika kuwa...
  20. MK254

    Makomando wa Marekani waingia Somalia na kumuua mkuu wa magaidi wa IS

    Mkuu wa magaidi ya Islamic state aliyekua amejificha kwenye pango Somalia, ameuawa na makomando wa Marekani, pia washirika wake kumi wamewahishwa huko peponi. Poleni wenzetu humu JF ambao hutetea hawa magaidi kisa dini. ======= US forces have killed an Islamic State leader, Bilal al-Sudani...
Back
Top Bottom