Madam (), or madame ( or ), is a polite and formal form of address for women, often contracted to ma'am (pronounced in American English and in British English). The term derives from the French madame (French pronunciation: [maˈdam]); in French, ma dame literally means "my lady". In French, the abbreviation is "Mme" or "Mme" and the plural is mesdames (abbreviated "Mmes" or "Mmes").
Kuna baadhi ya wanandoa na wapenzi kutaniana kwa kutukanana matusi tena matusi mengine ni ya ajabu sana
Na wanawake wanapenda sana kutumia matusi kwa wenza wao Kama matani
Mifano ni mingi,mfano ikiwa mwanamke anataka kufahamu mumewe alipo atampigia simu au sms "Weee bwege uko wapi?
Wewe kenge...
Kwenye maisha ya mahusiano Mara nyingi hutokea watu wakakutana na hawajuani wala hakuna mwenzake ana fahamu mwenzake kakuaje au kapitia maisha gani,
Ni Mara chache sana hutokea wakakutana au kuoana waliokulia sehemu moja na kujuana,
Mm kuna baadhi ya tabia ambazo nilimkuta nazo mke wangu na...
Wasalaam,
Mida ya leo usiku nilipotoka job nikaamua kupita kumuona X wangu nyumbani kwao kwani alidai anaumwa na alikua nikidhani akintania ana mimba isiyo na baba 🙄
Aiseeh ile kufika kweli naona anabonge la tumbo nikashangaa, ila nikasema sio kesi kwakua si yangu ngoja nifike tuu kwao ni...
Habari
Iko hivi, kuna ndugu yangu mmoja, tuseme ni classmate wangu ana MKE na WATOTO watatu. Sasa Kuna lizee limoja lilikuwa linamtongoza huyo MKE wa jamaa. Katika harakati zakutongozana mzee akamwambia atampa na mtaji wabiashara kama 2M hivi akikubali kulala nae. Demu kikawa kinamuwazisha sana...
Niliwahi kukaa katika taasisi moja. Kulikuwa na mazali kila siku. Chuki kutuhumiana, kuviziana na kila namna ya fyokofyoko kati ya wahusika.
Nilipozama kutafiti nikagundua chazo ni nyumbani hawa jamaa wanapotokea. Hawana amani, familia zimejaa magomvi, kufumaniana, mivurugano na taabu za kila...
Wote hatuna uwezo wa kwenda Mtwara, tuliokuwa tunatazama kwenye TV, mmezima mmetuboa kweli au mitambo mibovu? J Melody katisha, ilipokuja zamu ya Zuchu, mambo yakaharibika
Baada ya mke kupigwa siku chache zilizopita,kaanza kujishebedua kuwa yupo mmewe mkali kuliko ataweza kuwapiga,Cha kushangaza Leo na mme kala kichapo!!
Sasa huyu mwanamke sjui anasemaje?
Mme wake Rosa Ree ni kama vile hayupo kwenye kipindi kigumu hiki anachopitia Rosa Ree,
Ndoa ilifungwa mwaka juzi 2021 september, ni takribani mwaka na nusu hadi sasa.
Mwanamke hakuna mahali kwenye maandiko, asili ya maisha ya Mwanadamu alipopewa nafasi ya kuongoza kiibada au kiutawala.
Baada ya kuletewa hizi dini za wageni, dini za michongo tunawaona wanawake wanakuwa (Wachungaji) manabii shetani ameshika hatamu kwa kupitia Wanawake. Wanaume tumekuwa dhaifu...
Mzazi tambua huyo mtoto wako ni mke na mtu ajae.
Wazazi wanaishi na watoto mda mfupi kuliko mda ambao mtoto ataishi pekee yake, ikiwemo kumaliza muda wake kwenye ndoa yake.
Kwa miaka ya kibiblia kuishi ni miaka 70,80 kwa Neema ni zaidi ya hapo. Watu uingia kwenye ndoa kuanzia miaka 23 sababu...
Nimekuwa nikiona wezi wa wake wakishushiwa vipigo mitandaoni nami nimewahi kushuhudia tukio kwa macho yangu jamaa kakamatwa na mke wa mtu akaanza kupigwa na mme halali.
Je kwa sheria za hapa kwetu mambo haya yanafanywa kwa mazoea bila kutii sheria ama sheria inaruhusu ?
Hii tabia ya kubambikiana watoto haijaanza Leo!
Tangu enzi za mabibi na mababu tabia hii ilikuwepo!
Kipindi hiko wamama walitumia njia hiyo kama mbinu ya kubakiza mbegu duniani ili kukwepa magonjwa ya kurithi!
Magonjwa kama ya siko cell, kifafa, LAANA ZA KURITHI n.k Viliwasumbua kizazi cha...
Mme wa Spika wa Bunge la Marekani ajulikanaye kwa jina la Paul kajeruhiwa kwa kupigwa na nyundo akiwa nyumbani kwake huko Marekani.
China inahusishwa na njama hizo baada ya kumuonya Spika Perosi asidhuru Taiwan na kupuuza.
Tuheshimu privacy za watu chabo sio jambo zuri hata kidogo yanayofanyika ndani ya kuta nne yabaki kuwa confidential unless kama yaliyofanyika yana maslahi mapana kwa jamii.
Kwa maslahi mapana ya wanaume wanaoandaliwa chakula na wake zao mimi BabaMorgan nimepata ujasiri wa kusema niliyoyaona...
Iko hivi hawa mke na mme wanaishi nchi tofauti ila hapo nyuma walipendana sana tena sana na.wana watoto kadhaa. Sasa mme akapata michepuko hapa Tanzania.
Na kuna mchepuko aliupenda sana sana kupita mingine. Mke wake anaishi London na watoto. Sasa kuna siku mme akampigia mkewe simu akimwambia...
Imeshaandikwa katika vitabu vitakatifu mwanaume anaweza kuwa mpaka na wake wanne kwa mpigo, maana kwa jinsi mwanaume alivyoumbwa kaumbwa kuweza hili. (hata kwenye Biblia kuna manabii wengi sana walikuwa na wake wengi)
Sababu za kuomgeza mke inaweza kuwa mke wako ni tasa na mmejaribu sana ila...
Mwanamke mmoja nchini Kenya aitwaye Martha Wanjiku, ameeleza kisa chake, baada ya kubaini mama yake mzazi amekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na aliyekuwa mume wake kwa zaidi ya miaka 25.
Martha ameeleza kwamba aliolewa na mwanaume huyo na ndoa yao ilidumu kwa miaka miwili pekee na ilipofika...
Mwanaume mmoja huko Nairobi Kenya alifanyiwa surprise ya mwaka na mkewe akishirikiana na wanawake 4 anaotembea nao mumewe.
Ilikuwa siku ya Valentine mke akapanga mipango na wake wenzake ili waandae party ya valentine kwa ajili ya mume wao! Inaelekea walitaka kukomesha kwa kuwachanganya...
Mwaka ndio bado mmbichi kabisa naamini uko salama salimini.
Ni ukweli kwamba mtu kuoa au kuolewa haimaniishi kwamba ndio amefungiwa kabisa kupenda na kupendwa na mwingine ila kinachofanyika huwa heshima ya kiapo tu. lakini pamoja na kiapo bado hisia na tamaa au mazingira huwa yanalazimisha...
Hapa nimekaa sebuleni nasoma nyuzi kadha wa kadha huku Jamii Forums Simu ya Mke wangu Iko pembeni. Mara ikaita akiwa nje, nikaona namba haijaseviwa nikauchuna Hadi ikakatika.
Ikaita Tena safari hii Mke wangu akaingia ndani akaisikia na kupokea "Niambie Boss Wangu"! Kisha nikafahamu Anayeongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.