Mke amwomba mme alale na mtu mwingine ili wapate mtaji

jah bless xon

Senior Member
Apr 4, 2019
113
259
Habari

Iko hivi, kuna ndugu yangu mmoja, tuseme ni classmate wangu ana MKE na WATOTO watatu. Sasa Kuna lizee limoja lilikuwa linamtongoza huyo MKE wa jamaa. Katika harakati zakutongozana mzee akamwambia atampa na mtaji wabiashara kama 2M hivi akikubali kulala nae. Demu kikawa kinamuwazisha sana ikabidi amwambie mme wake mme nae kinamuwazisha amkubalie akaliwe wapate kuongezea mtaji au laa..(maisha yao siyo mazuri kiundani kabisa)

Mimi alieniambia ni huyo Dada, ni washkaji sana kwa hiyo yupo huru kuniambia vitu Kama hivyo ingawa Mr ake sijataka ambaye ni classmate wangu sijataka ajue kama nalijua Hilo. Kwahiyo wife anasubiri mme wake ampe go ahead na anavyosema huyo dada mme wake anaelekea kukubali ila kwa minajili kwamba siku hiyo na yeye amruhusu atembee na rafiki yake dada fulani wako wote kwenye vikundi vya kina Mama mtaani.

JE HILISWALA LIMEEKAAJE WAKUU..?

Tembea uone mengi akii..
 
Habari..iko hivi..Kuna NDUGU YANGU mmoja,tuseme Ni classmate wangu..ana MKE na WATOTO watatu..Sasa Kuna lizee limoja lilikuwa linamtongoza huyo MKE wajamaa..katika harakati zakutongozana mzee akamwambia atampa na mtaji wabiashara.kama 2M hivi..akikubali kulala nae..demu kikawa kinamuwazisha Sana..ikabidi amwambie mmewake..mme nae kina muwazisha..amkubalie akaliwe wapate kuongezea mtaji au laa..(maisha yao siyo mazuri kiundani kabisa)Mimi alieniambia Ni huyo Dada..niwashkaji Sana kwahiyo yupo huru kuniambia vitu Kama hivyo..ingawa Mr ake sijataka ambaye Ni classmate wangu sijataka ajue Kama nalijua Hilo..kwahiyo wife anasubiri mme wake ampe go ahead..na anavyosema huyo Dada mme wake anaelekea kukubali..ila kwaminajili kwamba sikuhiyo nayeye amruhusu atembee na rafiki yake..Dada flani wako wote kwenye vikundi vya kina Mama mtaani..JE HILISWALA LIMEEKAAJE WAKUU..?tembea uwone mengi akii..
Una mwandiko mbaya
 
Mkuu usikubali kuuza utu wako kwa pesa, mtaambulia magonjwa na ndoa yenu haitakuwa na furaha. Mkiendelea hivyo hata mume ataliwa mpewe mtaji wa Milioni 4😀😀
 
...mzee akamwambia atampa na mtaji wabiashara.kama 2M hivi..akikubali kulala nae.
Unafikiri huyo mzee atampa hiyo 2m akimla mara moja tu?
Mtanange utakuwa endelevu, huyo mke akinogewa ahamie kabisa huko. Hadi apewe hiyo 2m atatumika karibia mwaka.
Mshauri huyo mkeo aache huo uzwazwa
 
Habari..iko hivi..Kuna NDUGU YANGU mmoja,tuseme Ni classmate wangu..ana MKE na WATOTO watatu..Sasa Kuna lizee limoja lilikuwa linamtongoza huyo MKE wajamaa..katika harakati zakutongozana mzee akamwambia atampa na mtaji wabiashara.kama 2M hivi..akikubali kulala nae..demu kikawa kinamuwazisha Sana..ikabidi amwambie mmewake..mme nae kina muwazisha..amkubalie akaliwe wapate kuongezea mtaji au laa..(maisha yao siyo mazuri kiundani kabisa)Mimi alieniambia Ni huyo Dada..niwashkaji Sana kwahiyo yupo huru kuniambia vitu Kama hivyo..ingawa Mr ake sijataka ambaye Ni classmate wangu sijataka ajue Kama nalijua Hilo..kwahiyo wife anasubiri mme wake ampe go ahead..na anavyosema huyo Dada mme wake anaelekea kukubali..ila kwaminajili kwamba sikuhiyo nayeye amruhusu atembee na rafiki yake..Dada flani wako wote kwenye vikundi vya kina Mama mtaani..JE HILISWALA LIMEEKAAJE WAKUU..?tembea uwone mengi akii..
Kwa Daslam Hiyo Kawaida sana na wengi wana fanya hivyo..
Mume anapokea Pesa kwa ajili ya mkewe..
 
Sasa si angetoka nae tu angeliwa tu kimya kimya?. Mwambie huyo dada akiliwa tu na huyo mzee,huko mbele ndoa yao itakuwa na shida sana. Hiyo scandali itakuwa inaibuka mara kwa mara kwenye ndoa yao.

Nakushauri sasa ukamwambie huyo dada arudi kwa mumewe amwambie nilikuwa natania tu Hakuna kitu kama hicho. Amwaminishe hawezi kufanya kitu kama hicho,hata kama na magumu kiasi hawezi kuisariti ndoa yake. Pia amwambie mumeo nina ndugu yangu tu nimemuomba anikopeshe pesa. Tukikaa sawa kwenye biashara tutaanza kumrudishia kidogo. Ili kumwaminisha vizuri mumeo kwamba atoke kabisa kwenye wazo la mzee. Amwambie huyo ndugu yake anaetaka kumwazima hela atakuja hapa nyumbani ili aonane na yeye mumewe kwa kufahamiana tu. Sasa hapo ni kazi ya kumpanga mtu wa kike ili awe kama ndio ndugu anaeazimwa hela. Ili sasa akipewa na lile lizee iwe kama imetoka kwa ndugu. Iwe mtu wa mbali ambae hawezi tena kuisogelea hiyo familia.

Pili mshauri aende kwa hilo lizee,akalipime Kwanza magonjwa ndio atoke nalo kimya kimya. Hizo pesa atakazopewa iwe ndio zile za ndugu.
 
Kashaliwa na hela kashachukua,
 
Back
Top Bottom