mitaala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mto Songwe

    Mitaala ya masomo ya kidini katika taasusi mpya itaandaliwa na nani ?

    Mitaala ya masomo ya kidini katika taasusi mpya itaandaliwa na nani ? Na kwa malengo gani ?
  2. BARD AI

    Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Serikali kupitia TAMISEMI imetoa fursa kwa Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kuongeza au kufanya marekebisho ya machaguo mapya ya tahasusi (combination) baada ya kuongezwa kwa tahasusi mpya 49 kutoka 16 zilizokuwepo awali na kufanya tahasusi za kidato cha tano kufikia 65. Akiongea leo...
  3. R

    Mafunzo ya JKT yamewafanya watoto wetu kuwa wakatili badala ya kuwa wazalendo; mitaala yake ifanyiwe mapitio

    Tathmini yangu binafsi inaoonyesha mafunzo ya JKT yanawafanya vijana kuona kama wao ni wanajeshi na kwamba ujeshi ni ukatili kitu ambacho siyo kweli. Katika ulimwengu ulioendelea mwanajeshi ni binadamu mwenye mafunzo na nyenzo za kuisaidia jamii kukabiliana na maadui na siyo kuwafanya jamii...
  4. Roving Journalist

    Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda: Mitaala ya mipya ya Elimu imeanza Shule ya Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari juu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na Mitaala mipya ya Elimu ya awali msingi sekondari na Ualimu. Prof...
  5. Kilunguru

    Mitaala mipya ya Elimu iendane na mitaala maslahi ya Walimu

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu, Utekelezaji wa mitaala mipya uendane na upitiaji upya wa mitaala masilahi ya walimu, mfano; 1. Mpaka miaka ya Sasa mwalimu wenye Masters hawatambuliki kimuundo Wala kimaslahi, wakati nchi za wenzetu elimu kubwa na performance nzuri kimasomo ndo sifa ya...
  6. John Haramba

    Mwenyekiti JET: Elimu ya utunzaji mazingira iingizwe kwenye Mitaala ya Elimu kuanzia ngazi ya chini

    Umoja wa Maafisa Watendaji Wakuu Tanzania wakiwemo wa Mashirika Binafsi na Serikali (CEOrt) wakishirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira (Journalists' Environmental Association of Tanzania – JET) wamekutana na Wadau mbalimbali katika warsha ya kujadili mambo mbalimbali kuhusu...
  7. E

    Kitabu cha unga sera na mitaala ya elimu 2023

    Ndugu watanzana sera na mitaala ya elmu ya 2023 ni mibovu inahitaji kubadilishwa kabla ya kuanza kutumika. Mama alisema watanzania semeni ili kujenga taifa lenu sasa ego tumeamua kuongea kupitia kalamu. Mitaala na sera ni mibovu kwa kuwa waandaji (kamati) wa mitaala hawaonekani kuelewa taifa...
  8. MK254

    Mitaala ya waarabu wa Saudi kuanza kufundisha kuhusu miungu ya wahindu na wabudha

    Hii ni hatua nzuri sana ya kuanza kuwapa elimu waarabu kuheshimu dini za watu wengine, waache dhana ya kulazimisha kila mtu ajiunge kuabudu katika wanachokiabudu. Muasisi wa dini yao kabla hajajifia aliacha maagizo wachinje kila asiyeamini mambo ya yake, na hiyo ndio imesababisha dunia ni mwendo...
  9. H

    SoC03 Mfumo wa elimu ya Tanzania una cha kujifunza kutoka mitaala ya kimataifa?

    Kutoka katika fukwe za Bahari ya Hindi hadi katika kilele cha mlima Kilimanjaro, Tanzania imejawa na utajiri wa asili, tamaduni mbalimbali, na watu wenye upeo mkubwa. Lakini katikati ya haya yote, kuna hazina isiyoweza kulinganishwa na chochote: elimu ya Tanzania. Elimu, kama msingi wa maendeleo...
  10. DR Mambo Jambo

    SoC03 Suluhisho juu ya bandari na mitaala ya elimu kwa Tanzania na jinsi ambavyo tutapata unufaikaji

    NAWAZA MENGI SANA NGOJA NISEME KITU ILI KILETE MABADILIKO KIDOGO Bandari zote hapa nchini zinaingiza Sh. Bil.795.226 kwa mwaka lakini TPA wanatumia asilimia 99% kwa upigaji tu (Kwa mujibu wa Majukwaa Mengi kwa sasa Yanavyoinasibu kuwa Bandari inawekezwa kwa sababu kuna upigaji Sina Takwimu...
  11. K

    SoC03 Maboresho katika utoaji wa elimu maalum katika kuchochoea maendeleo kwa wenye ulemavu

    Elimu maalum ni aina ya elimu inayolenga kutoa mafunzo na huduma za elimu kwa watu wenye mahitaji maalum au ulemavu. Mahitaji maalum yanaweza kuwa ya kimwili, kiakili, kihisia au ya kujifunza. Elimu maalum inalenga kutoa fursa sawa za elimu kwa watu wenye ulemavu ili waweze kufikia uwezo wao...
  12. R

    SoC03 Ni vyema mafundisho kama ya binadamu wa kwanza alitokana na nyani yaondolewe kwenye mitaala yetu ya elimu kwasababu yanachochea ubaguzi wa rangi

    NI VYEMA MAFUNDISHO KAMA YA BINADAMU WA KWANZA ALITOKANA NA NYANI YAONDOLEWE KWENYE MITAALA YETU YA ELIMU KWASABABU YANACHOCHEA UBAGUZI WA RANGI KWA WATU WEUSI UTANGULIZI Ubaguzi wa rangi, kwa maana fupi ni hali ya kumpagua binadamu mwenzio kwasababu ya rangi yake ya ngozi. ambapo kwa mara...
  13. K

    SoC03 Maboresho ya mitaala katika kuzalisha wasomi wenye tija kwa taifa

    Mtaala ni mpango wa masomo ambao hutumiwa na shule au mfumo wa elimu kuamua ni nini cha kufundishwa na jinsi ya kufundisha. Tanzania inatumia Mtaala wa Elimu ya Msingi na Mtaala wa Elimu ya Sekondari, ambayo huwa na malengo ya kufundisha wanafunzi ujuzi, mawazo na maadili wanayohitaji kukua na...
  14. E

    Ubovu wa sera na mitaala ya elimu 2023 - kurudisha ufundi sekondari ni kukosa dira na mipango

    Watanzania hii fursa ya kurekebisha mitaala ni fursa adhimu sana, ni nafasi ya kuweka mambo mengi sawa lakini fursa hiyo inaweza kupotezwa na watu wachache bila kuwa na maono yoyote wakavuruga. Mpaka leo najiuliza ni mtaalamu gani anayeweza kutoa mapendekezo butu na kujaribu kuvuruga dira za...
  15. E

    Sera mpya ya Elimu na Mitaala ni mibovu, ni mwendelezo wa kuwa na Elimu mbovu

    Hii tume ya marekebisho ya mitaala ya elimu ukitazama mapendekezo yao ni wazi hawana uwezo wa kukwamua elimu ya Tanzania. ukitazama mapendekezo unaona kabisa ni watu ambao kwanza hawana taarifa kama elimu yetu ni mbovu, yawezekana ni watu walewale waliokuwa wakifundisha wakati hawajui kama...
  16. Wilson Gamba

    Maoni yangu juu ya rasimu ya mitaala na Sera ya elimu 2023

    Kama mtanzania nimepitia na kuisoma kwa umakini kujua Nini kimo maana elimu Ndo Kila kitu katika taifa lolote maana Ndo jiko la wataamu wenye Chachu ya kuleta Maendeleo ya nchi. Nawapongeza Ila maoni yangu ni Kama ifuatavyo: 1. Kwenye Sela ya elimu lugha ya...
  17. Wilson Gamba

    Maoni yangu juu ya rasimu ya mitaala na Sera ya elimu 2023

    Kama mtanzania nimepitia na kuisoma kwa umakini kujua nini kimo maana elimu ndo Kila kitu katika taifa lolote maana ndo jiko la wataamu wenye chachu ya kuleta maendeleo ya nchi. Nawapongeza Ila maoni yangu ni Kama ifuatavyo; 1. Kwenye Sela ya elimu lugha ya kujufunzia ni Kiswahili kwa shule za...
  18. Dalton elijah

    *mapendekezo ya rasimu ya ripoti ya kamati ya kitaifa ya maboresho ya mitaala ambayo yanaenda kubadilisha mfumo wetu wa elimu

    1. mtihani wa darasa la saba utafutwa. mwanafunzi akianza darasa la kwanza lazima amalize kidato cha nne. 2. kutakuwa mtihani wa upimaji wa kitaifa wa darasa la sita (standard six national assessment). 3. mwanafunzi atatakiwa asome fani fulani kabla hajamaliza kidato cha nne ili aweze...
  19. R

    Rasimu ya Mitaala Nchini: Umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka 6, elimu ya msingi mwisho darasa la 6

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
  20. M

    Wizara ya Elimu, Taasisi ya Elimu. Mapendekezo yenu ya Rasimu ya mabadiliko ya Mitaala bado yana mapungufu mengi

    Nimesoma Rasimu ya Mitaala inayopendekezwa, kufuatia kile kinachoitwa mabadiliko ya mitaala ya Elimu nchini Nilichokiona katika mabadiliko hayo naweza kusema kuwa bado hakikidhi mahitaji ya Watanzania katika kupata Elimu bora ya kuwakomboa. Katika Rasimu hiyo inayoelezea mitaala ya Elimu...
Back
Top Bottom