elimu tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora kuinua ajira kwa wahitimu wa elimu Tanzania

    Sekta ya elimu nchini Tanzania ni msingi muhimu wa maendeleo na ustawi wa jamii yetu. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto za kimfumo katika sekta hii, ambazo zimekuwa zikichangia tatizo la ajira kwa wahitimu. Andiko hili linalenga kuchambua umuhimu wa uwajibikaji na utawala bora katika kuboresha...
  2. O

    SoC03 Kuimarisha Elimu Tanzania: Hatua za Uwajibikaji na Utawala Bora Kuongoza Mabadiliko!

    Sekta ya elimu ni moja ya nguzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote, na Tanzania haijatengwa katika hilo. Kuleta mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora katika sekta hii ni hatua muhimu katika kuboresha elimu na kuimarisha ustawi wa jamii nzima. Kufanikisha mabadiliko haya kunahitaji...
  3. H

    SoC03 Mfumo wa elimu ya Tanzania una cha kujifunza kutoka mitaala ya kimataifa?

    Kutoka katika fukwe za Bahari ya Hindi hadi katika kilele cha mlima Kilimanjaro, Tanzania imejawa na utajiri wa asili, tamaduni mbalimbali, na watu wenye upeo mkubwa. Lakini katikati ya haya yote, kuna hazina isiyoweza kulinganishwa na chochote: elimu ya Tanzania. Elimu, kama msingi wa maendeleo...
  4. D

    SoC03 Uwajibikaji kwenye elimu Tanzania - ni nani anahusika?

    Matokeo ya mtihani wa moko wilaya ya darasa la saba yametoka na kutangazawa na mamlaka ya elimu. Ni matokeo mabaya kuwahi kutokea kwa miaka mingi tangu kuanzishwa kwa shule hii ya msingi Nyakavangala. Kamati ya shule inaweka taarifa ya matokeo katika ubao wa matangazo. Wazazi na wananchi wa...
  5. DR HAYA LAND

    Elimu pekee haitoshi kuleta Maendeleo au Mafanikio ya mtu mmoja mmoja

    Watu ukiwasikiliza story zao zimejaa uongo sana. Elimu ya zamani na ya sasa hakuna utofauti wowote nasema, maana jaribu kuwaangalia hao waliosoma zamani, ni mambo gani wamelifanyia hili Taifa? Nchi inakwama kwa kukosa watu wenye akili na fikra pana na sio Elimu, vijana wanalaumiwa bure tu.
  6. Dr Matola PhD

    Ni kitu gani kimebadilika katika elimu Tanzania? Tukiendelea kuwaacha wajinga watuongoze watu wenye akili ni hatari

    Labda niulize sisi tuliosoma miaka ya nyuma na sasa kuna kitu gani kimebadirika? Tulisoma bila kuwa na vitabu, hatukujuwa sylubus yoyote, Primary tuliwahi namba SAA 12 asubuhi na SAA 8 mchana ni mwisho wa masomo na kurudi nyumbani na wengi hatukusoma masomo ya ziada tuition lakini kulikuwa na...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mhe. Philip Mulugo asisitiza kiwepo Chombo huru Chenye Mamlaka ya kusimamia Elimu Tanzania

    Mbunge wa Jimbo la Songwe Mhe. Philip Mulugo akichangia kwenye makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2023/2924 iliyosomwa Bungeni na Mhe. Prof Adolf Mkenda "Awamu ya Sita toka tumepata Uhuru ukienda Vijijini tumepeleka fedha nyingi sana kwa...
  8. Mwl.RCT

    SoC03 Maoni juu ya Mfumo wa Elimu Tanzania: Je, Tunakidhi Mahitaji ya Kielimu ya Vijana Wetu?

    I. Utangulizi Tanzania, sawa na nchi nyingine duniani, inatambua umuhimu wa elimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Kwa miaka mingi, serikali imefanya juhudi kubwa kuendeleza mfumo wa elimu, kutoka kwa elimu ya msingi hadi chuo kikuu. Hata hivyo, bado kuna changamoto nyingi ambazo zinakabili...
  9. A Father

    Elimu Tanzania uwafikie TIE

    Hakuna taasisi ya elimu ya ajabu kama yetu. Kweli kabisa inakera mara hakuna idadi. Kuna wakati natamani sijui ukutane nao wapi uwarushie hata mawe au kuwamwagia kinyesi. Just think. Hii taasisi ina jukumu, yaani ni wajibu wao kuhakikisha vitabu hasa vya kiada vinakuwepo kwa wanafunzi wote wa...
  10. F

    Maafisa Elimu Wilaya na Mkoa, utitiri wa mitihani mnahujumu ufundishaji na ujifunzaji?

    Wanajamvi, nimejaribu kufanya uchunguzi wangu nimebaini viongozi wa wanaosimamia elimu yani ma REO na ma DEO ndio chanzo cha wanafunzi kufanya vibaya kwa sababu ya utitiri wa mitihani yao wanayolazimisha ifanyike karibu kila mwezi kwa shule za msingi na sekondari na kuzitafuna siku 194...
  11. F

    Utaratibu wa kutoa matokeo ya mtihani kwa majina umetusaidia sana hatudanganywi tena

    Nashauri baraza la mtihani wasiishie Kwa kidato cha pili, darasa la Saba na darasa la nne, warudishe pia na kidato cha nne. Kuna madogo huku mtaani tulikua tukiwaambia wasome walikua busy na wavuvi camp mambo hadharani, hakuna kuuliza sijui namba yako ni ipi. Nashauri Kwa kidato cha nne...
Back
Top Bottom