Tunapoelekea uchaguzi mkuu 2025, tuepuke wagombea wanaotaka kutugawa kwa misingi ya udini, ukabila, jinsia na ukanda

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Nianze kwa kumnukuu Hayati Mwalimu Nyerere...

Inapotokea vipindi vya uchaguzi wagombea wakiwa wanatafuta kura, pamoja na sera nzuri za kujiuza wanazokuwa nazo, pia huweza kutumia njia nyingine mbalimbali za kusaka kura. Sababu hizo zinaweza kuwa ukabila, udini, ukanda au jinsia. Wanaweza kutafuta kura kwa kutumia ukabila au kutafuta kura kwa kutumia udini.

Kufatuta uongozi kwa kutumia udini au ukabila unagawa watu. Kazi ya uongozi ni kujenga watu kuwa kitu kimoja ambapo wanaweza kushirikiana kwa shughuli mbalimbali za kimaendeleo bila kuhisi ubaguzi wa namna yoyote.

Kiongozi yeyote anayehubiri ukabila, ukanda au udini ili kupata kura ni mtu hatari sana katika taifa na hapaswi kupewa madaraka yoyote.

Tanzania ina makabila zaidi ya 120, hivyo tunapochagua viongozi tuangalie sera zao kama zinauzika na zinaweza kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi kwa ujumla.

Wakati wa uchaguzi, wagombea wengi hasa nafasi za juu huongeza nafasi za kutumia majengo ya dini na kushiriki shughuli nyingi za kidini ili kuweza kujiuza. Tuwe makini na kile wanachokisema na ku-digest yale yote yasiyo na chembe ya ubaguzi.

Kuna wale viongozi wanaohubiri ukanda, kwamba sasa ni zamu ya labda Kaskazini kutoa Rais etc etc. Hawa lengo lao linakuwa si zuri zaidi ya ubaguzi wa kikanda na kugawa wananchi.

Kuna wagombea wanaohubiri JINSIA, kwamba mkimchagua mwanamke hawezi kutimiza majukumu yake ya kiuongozi kutokana na wanawake wengi labda kuwa na majukumu ya kulea familia etc. Uchaguzi wa Ubunge jimbo la Shinyanga Mjini, Mgombea wa CHADEMA alilalamika kubaguliwa na mgombea wa CCM, Patrobas Katambi kuwa msimchague mwanamke kwasababu anaingia siku zake hivyo hawezi kuleta maendeleo.

Ubaguzi wowote wakati wa uchaguzi ni mwiba mkubwa kwa maendeleo ya demokrasia, huweza kupelekea kutompata kiongozi sahihi na hata kupelekea machafuko kuanzia ngazi ya chini na hata nchi kwa ujumla. Majirani zetu Kenya chaguzi zao tumekuwa tukiona zikiendeshwa kwa misingi ya ukabila, ambapo makabila matatu (Wajaluo, Kikuyu na Kalenjin) ndiyo yenye nguvu.

Ubaguzi ni adui wa utu na unapaswa kupingwa kwa nguvu zote wakati wote na mahala popote

Je, chaguzi ulizoshiriki ni jambo gani mgombea alifanya ukaona ni ubaguzi?
 
CHADEMA badala ya kutuuzia sera zao na jinsi au namna gani inaweza kutatua na kumsaidia Mwananchi anayesumbuka mtaani, wao wamejikita kwenye siasa za utengano, visasi ,vinyongo na misimango.

Tukiacha ya Uchaguzi, ni dhahiri CHADEMA na wanachama wao, wamejikita mitandaoni na sera za Udini, Ukabila na Ukanda.

Mfano, kila Rais SSH anapofanya uteuzi, wao wanalalamika, Rais anateua watu wa Dini yake, sio hivyo tu, tuliwasikia walivyokuwa wakiwasimanga na kuwazodoa kabila la Wasukuma na kushusha Jamii yao na kuliita ni genge!

Isitoshe, CHADEMA imekuwa ikinadi sera za Kikanda, yaani wanataka makabila yaunde Majimbo kitu ambacho ni hatari kwa amani na Usalama wa Taifa.

Piga kura kwa umakini 2025
 
Inapotokea vipindi vya uchaguzi wagombea wakiwa wanatafuta kura, pamoja na sera nzuri za kujiuza wanazokuwa nazo, pia huweza kutumia njia nyingine mbalimbali za kusaka kura. Sababu hizo zinaweza kuwa ukabila, udini, ukanda au jinsia. Wanaweza kutafuta kura kwa kutumia ukabila au kutafuta kura kwa kutumia udini.

Kufatuta uongozi kwa kutumia udini au ukabila unagawa watu. Kazi ya uongozi ni kujenga watu kuwa kitu kimoja ambapo wanaweza kushirikiana kwa shughuli mbalimbali za kimaendeleo bila kuhisi ubaguzi wa namna yoyote.

Kiongozi yeyote anayehubiri ukabila, ukanda au udini ili kupata kura ni mtu hatari sana katika taifa na hapaswi kupewa madaraka yoyote.

Tanzania ina makabila zaidi ya 120, hivyo tunapochagua viongozi tuangalie sera zao kama zinauzika na zinaweza kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi kwa ujumla.

Wakati wa uchaguzi, wagombea wengi hasa nafasi za juu huongeza nafasi za kutumia majengo ya dini na kushiriki shughuli nyingi za kidini ili kuweza kujiuza. Tuwe makini na kile wanachokisema na ku-digest yale yote yasiyo na chembe ya ubaguzi.

Kuna wale viongozi wanaohubiri ukanda, kwamba sasa ni zamu ya labda Kaskazini kutoa Rais etc etc. Hawa lengo lao linakuwa si zuri zaidi ya ubaguzi wa kikanda na kugawa wananchi.

Kuna wagombea wanaohubiri JINSIA, kwamba mkimchagua mwanamke hawezi kutimiza majukumu yake ya kiuongozi kutokana na wanawake wengi labda kuwa na majukumu ya kulea familia etc. Uchaguzi wa Ubunge jimbo la Shinyanga Mjini, Mgombea wa CHADEMA alilalamika kubaguliwa na mgombea wa CCM, Patrobas Katambi kuwa msimchague mwanamke kwasababu anaingia siku zake hivyo hawezi kuleta maendeleo.

Ubaguzi wowote wakati wa uchaguzi ni mwiba mkubwa kwa maendeleo ya demokrasia, huweza kupelekea kutompata kiongozi sahihi na hata kupelekea machafuko kuanzia ngazi ya chini na hata nchi kwa ujumla. Majirani zetu Kenya chaguzi zao tumekuwa tukiona zikiendeshwa kwa misingi ya ukabila, ambapo makabila matatu (Wajaluo, Kikuyu na Kalenjin) ndiyo yenye nguvu.

Ubaguzi ni adui wa utu na unapaswa kupingwa kwa nguvu zote wakati wote na mahala popote

Je, chaguzi ulizoshiriki ni jambo gani mgombea alifanya ukaona ni ubaguzi?
Andiko refu lililojaa upuuzi mtupu , na ni upuuzi uliorudiwarudiwa miaka na miaka ili kuilinda ccm , safari hii tafuteni sarakasi zingine , Wajinga nyie !
 
Kwa hiyo unasapoti wagombea wenye kauli za kibaguzi? Jamaa hajataja vyama ila tayari CHADEMA mnaona kama mmesemwa nyie.
 
Upotevu mwingine wa manii huu. CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
CHADEMA msubiri uongozi wa kupewa tu ifikapo 2025

Hamchaguliki.

Ulisikia mapovu ya Tundu Lissu juzi kwenye mahojiano na Star T.V

Mbula

Kwa akili zenu za ki CHADEMA mnafikiri anachagulika yule?
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Inapotokea vipindi vya uchaguzi wagombea wakiwa wanatafuta kura, pamoja na sera nzuri za kujiuza wanazokuwa nazo, pia huweza kutumia njia nyingine mbalimbali za kusaka kura. Sababu hizo zinaweza kuwa ukabila, udini, ukanda au jinsia. Wanaweza kutafuta kura kwa kutumia ukabila au kutafuta kura kwa kutumia udini.

Kufatuta uongozi kwa kutumia udini au ukabila unagawa watu. Kazi ya uongozi ni kujenga watu kuwa kitu kimoja ambapo wanaweza kushirikiana kwa shughuli mbalimbali za kimaendeleo bila kuhisi ubaguzi wa namna yoyote.

Kiongozi yeyote anayehubiri ukabila, ukanda au udini ili kupata kura ni mtu hatari sana katika taifa na hapaswi kupewa madaraka yoyote.

Tanzania ina makabila zaidi ya 120, hivyo tunapochagua viongozi tuangalie sera zao kama zinauzika na zinaweza kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi kwa ujumla.

Wakati wa uchaguzi, wagombea wengi hasa nafasi za juu huongeza nafasi za kutumia majengo ya dini na kushiriki shughuli nyingi za kidini ili kuweza kujiuza. Tuwe makini na kile wanachokisema na ku-digest yale yote yasiyo na chembe ya ubaguzi.

Kuna wale viongozi wanaohubiri ukanda, kwamba sasa ni zamu ya labda Kaskazini kutoa Rais etc etc. Hawa lengo lao linakuwa si zuri zaidi ya ubaguzi wa kikanda na kugawa wananchi.

Kuna wagombea wanaohubiri JINSIA, kwamba mkimchagua mwanamke hawezi kutimiza majukumu yake ya kiuongozi kutokana na wanawake wengi labda kuwa na majukumu ya kulea familia etc. Uchaguzi wa Ubunge jimbo la Shinyanga Mjini, Mgombea wa CHADEMA alilalamika kubaguliwa na mgombea wa CCM, Patrobas Katambi kuwa msimchague mwanamke kwasababu Wanaingia siku zake hivyo hawezi kuleta maendeleo.

Ubaguzi wowote wakati wa uchaguzi ni mwiba mkubwa kwa maendeleo ya demokrasia, huweza kupelekea kutompata kiongozi sahihi na hata kupelekea machafuko kuanzia ngazi ya chini na hata nchi kwa ujumla. Majirani zetu Kenya chaguzi zao tumekuwa tukiona zikiendeshwa kwa misingi ya ukabila, ambapo makabila matatu (Wajaluo, Kikuyu na Kalenjin) ndiyo yenye nguvu.

Ubaguzi ni adui wa utu na unapaswa kupingwa kwa nguvu zote wakati wote na mahala popote

Je, chaguzi ulizoshiriki ni jambo gani mgombea alifanya ukaona ni ubaguzi?
Kwa hili ni viongozi wa CCM tu ndiyo wa kuonywa...hayo uliyoyataja ndiyo mtaji wao kwa sasa...wameshaanza na akina Shehe Mwaipopo
 
Back
Top Bottom