Huyu mtangazaji wa TBC1 wa michuano ya AFCON anatuongelea kiarabu kwa misingi ipi?

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,144
15,145
Leo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji somebody Upete anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1?

Au hamjui sio wote wanaelewa hiyo lugha? Mnawatoa wapi hawa watangazaji wanajifanya mamwinyi waarabu wa kuokota?

Yaani TV ya taifa kabisa? Ingekua kama Azam au Wasafi angalau isingekua na shida.
 
Leo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1?

Au hamjui sio wote wanaelewa hiyo lugha? Mnawatoa wapi hawa watangazaji wanajifanya mamwinyi waarabu wa kuokota?

Yaani TV ya taifa kabisa? Ingekua kama Azam au Wasafi angalau isingekua na shida.
huu ndio ujinga wa hali ya juu
 
Huwa ananiboa sana yule... niliamua kuachana kuangalia mpira TBC... nikaja kwa kina Mbwaduke huku na kina Nyembere...

Hata Evans Muhando ni muhuni tu kwenye kuchambua soka... ujanja ujanja tuu...
 
Leo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1?

Au hamjui sio wote wanaelewa hiyo lugha? Mnawatoa wapi hawa watangazaji wanajifanya mamwinyi waarabu wa kuokota?

Yaani TV ya taifa kabisa? Ingekua kama Azam au Wasafi angalau isingekua na shida.
Jamaa anajua ..SEMA midadi inamzidi.
 
Angalieni 222 supersport
Mkuu mazingira niliyopo ni TBC1 tu, I wonder kama mechi zote walizoonesha huyu ndo hua anatangaza watu wanaborekaje. Hadi nili-mute TV baada ya Nigeria kufunga goli maana kazingua
 
Kama hufurahii utangazaji wa jamaa hamna utakayempenda, kila mtu na machaguo yake ila jamaa yupo vzr.
Afcon watangazi wote wa kiswahili jamaa ndio best kuacha ushabiki pembeni.
Tatizo lugha,why atumie kiarabu asitumie hata kiingereza basi kama kiswahili ni tatizo kwake
 
Back
Top Bottom