mirembe

Daphine Lydia Mirembe (born 14 August 1985) is a Ugandan politician. She is the district women's representative for Butambala District in the Parliament of Uganda. She won the seat in parliament in 2016 on an independent ticket after defeating Aisha Kabanda of the National resistance movement (NRM) at the 2016 Ugandan general elections.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Kama kuna mwana Simba SC ambaye kwa matokeo ya jana anajipa matumaini ya ubingwa NBC akatibiwe uwendawazimu haraka

    Tusubiri tu hiyo wiki ijayo tarehe 12 tupangiwe na Mamelodi Sundowns FC katika Robo Fainali ya CAFCL tuje kupigwa 4 kwa 0 kwa Mkapa na tukapigwa Kipigo kitakatifu cha Goli 8 kwao ili Akili zitukae sawa na tujue kuwa hatuna Wachezaji wala Uongozi thabiti. Nimemaliza.
  2. B

    Meli ya Mirembe Judith kupunguza msongamano wa makasha bandari ya Dar es Salaam

    06 August 2023 UWEKEZAJI KATIKA MELI MIREMBE JUDITH KUCHOCHEA MATUMIZI YA BANDARI YA DAR ES SALAAM Meli yenye uwezo wa kubeba makasha 600 iliyobatizwa jina MIREMBE JUDITH inayomilikiwa na kampuni ya kitanzania itakuwa inafanya kazi ya transhipment baina ya bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar...
  3. Replica

    Je, wajua kwanini iliitwa Mirembe? 70% ya wagonjwa wanatokea Dodoma

    Hospitali kubwa ya wagonjwa wenye changamoyo ya akili iliyopo mjini Dodoma inaitwa Mirembe. Mkurugenzi wake amesema iliitwa Mirembe kutokana na miongoni mwa wagonjwa wake wa kwanza aliiitwa Mirembe, alienda Dodoma mwaka 1927 akitokea kanda ya ziwa kumfata mganga maarufu wa wakati huo aliyekuwa...
  4. B

    Wanaopelekwa Mirembe wanahitaji faraja sana

    Maisha ya Mirembe sio poa kabisa yaani ukiona ndugu yako au mwanao a aende mirembe jaribu kumuombea ama hakika maisha ya kule si poa mtu wangu yaani sio poa unaelewa sio poa? Yaani maisha ya kule ni kama jela but mtu unajaribu kijizima data tu ila sio poa. Nilienda mirembe kufanya utafiti mmoja...
  5. BARD AI

    Jina la Mirembe lamkera Waziri Ummy, atamani kulibadilisha

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameeleza matamanio ya kuibadilisha jina la Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe ili kuondoa fikra mbaya kwa jamii kuhusu wagonjwa wananotibiwa katika hoaspitali hiyo "Natamani libadilishwe hata jina la Mirembe kwakweli sababu ukienda pale unaonekana ni chizi...
  6. GENTAMYCINE

    Kwahiyo sasa iitwe Mirembe Ummy Mwalimu Mental Hospital au?

    Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema anatamani kubadilisha jina la Hospitali ya Magonjwa ya Akili la Mirembe kwa sababu watu wanaoenda katika hospitali hiyo wanaonekana kama ni 'machizi'. Chanzo: Clouds Media Yaani Waziri mzima tena wa Wizara Nyeti na Muhimu kwa Ustawi wa Afya...
  7. JanguKamaJangu

    Daktari: Mirembe kuna Wagonjwa wengi Wanaume kuliko Wanawake

    Imeelezwa Hospitali ya Mirembe ambayo ni Hospitali ya Taifa ya Magonjwa ya Afya ya Akili iliyopo Dodoma kitakwimu ina idadi kubwa ya wagonjwa wa aina hiyo Wanaume kuliko Wanawake. Bila kubainisha namba, Daktari wa Mirembe, Veronica Lyimo amesema takwimu za umri zinaonesha wanapokea zaidi vijana...
  8. GENTAMYCINE

    Ukikutana na Shabiki wa Mpira mwenye Kauli zifuatazo jua Hospitali ya Mirembe kunamuhusu

    1. Tunaenda kupindua meza kwao. 2. Mungu ni wa wote. 3. Wao wamewezaje na sisi tushindwe? 4. Mpira unadunda kokote pale. 5. Iwe jua iwe mvua. 6. Kikubwa ni kumuomba tu Mwenyezi Mungu. 7. Wamewezaje kupata alama kwetu na sisi tushindwe kuipata kwao? GENTAMYCINE nasisitiza, ukibahatika tu...
  9. Suley2019

    Dodoma: Watu 250 hupima afya ya akili Mirembe kila siku

    Hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe jijini Dodoma, inapokea wastani wa wagonjwa wa akili 150 hadi 250 kwa siku kwa ajili ya matibabu. Idadi hiyo imetajwa kuwa katika kitengo cha huduma za nje ambapo kati ya wagonjwa hao, wagonjwa 30 hadi 70 hupewa matibabu na wagonjwa tisa hadi 15...
  10. BARD AI

    TAHADHARI: Wagonjwa wa akili 150-250 wanapokelewa Mirembe kila siku

    Idadi hiyo imetajwa katika Idara ya Huduma za Nje ambapo kati yao, Wagonjwa 30 hadi 70 hupewa Matibabu na kuondoka huku Wagonjwa 9 hadi 15 wakilazwa. Daktari wa Vyanzo vya Akili, Veronica Lyimo amesema tatizo hilo linazidi kukua nchini na asilimia kubwa ya Wagonjwa hukutwa na sababu za...
  11. Replica

    Ugonjwa wa akili tishio nchini, wagonjwa 30-70 wanapokelewa Mirembe kila siku

    Tukielekea siku ya afya ya akili duniani ambayo huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka, hospitali ya watu wenye ugonjwa wa akili, Mirembe imetoa takwimu ya wagonjwa inayowapokea kwa siku. Mirembe inapokea wagonjwa 30 mpaka 70 kila siku. Inawezekana visa vingi vya mauaji/kujiua vinayotokana na...
  12. FRANCIS DA DON

    Aliyeruhusu kituo cha daladala mdomoni mwa Ubungo flyover (riverside) alitoroka lini mirembe?

    Hivi kuna faida gani kutumia bilioni 300 kujenga Ubungo flyover ili kuondoa foleni halafu tunakuja kuruhusu kituo cha daladala mdomoni kabisa mwa flyover ambapo gari ndio zinaingilia? Kitendo cha daladala kuingia na kutoka kwenye kituo hiki inasababisha magari kushindwa kabisa kuflow kama...
  13. chiembe

    Kwa masahibu yanayompata Ndugai, pamoja na kauli yake kwamba anaumwa,ana faili Mirembe na kauli ya Erasto Ngole, asiendeshe Bunge Februari 2022

    Bunge litakuwa na vikao vyake Jauary-February 2022. Nashauri CCM wamzuie spika asiendeshe vikao hivyo kwa sababu jamii haina imani naye tena, ikiwemo CCM na wapinzani, pia aliwahi kusema ana faili mirembe, na juzi Katibu wa Uenezi CCM Njombe alisema inawezekana bado anaumwa, kichwa chake...
  14. M

    Kama Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa ameanza Kuugua Uwendawazimu tafadhali akimbizwe upesi Mirembe au Lutindi kwa Matibabu ya haraka

    Hivi inakuingia Akilini kweli unamuacha Beki halisi namba Tatu Bench Mohammed Hussein Tshabalala na unamuanzisha Mtu mwenye uwezo wa Kucheza Beki namba Mbili Israel Patrick Mwenda? Hivi inakuingia Akilini kweli ndani ya Mechi Tatu unaona kabisa Kiwango cha Beki Shomary Kapombe kinashuka halafu...
  15. J

    Nani anayetajwa na Mwenyekiti wa CCM Mwanza, Dkt. Diallo kwamba ana faili Hospitali ya Akili Milembe?

    Bado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr. Anthony Diallo kwamba alikuwa na jalada hospitali ya Mirembe ni nani? Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea? Nawasalimu kwa jina la JMT! ========= KWA UFUPI Mahojiano kati ya Mhe Anthony Diallo Mwenyejiti wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mtozi Alloyce...
Back
Top Bottom