Kwa masahibu yanayompata Ndugai, pamoja na kauli yake kwamba anaumwa,ana faili Mirembe na kauli ya Erasto Ngole, asiendeshe Bunge Februari 2022

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,224
20,989
Bunge litakuwa na vikao vyake Jauary-February 2022.

Nashauri CCM wamzuie spika asiendeshe vikao hivyo kwa sababu jamii haina imani naye tena, ikiwemo CCM na wapinzani, pia aliwahi kusema ana faili mirembe, na juzi Katibu wa Uenezi CCM Njombe alisema inawezekana bado anaumwa, kichwa chake hakijakaa vizuri, Samia amtafutie madaktari wamuangalie kichwa chake.

N.B: Hii ni iwapo atagoma kujiuzuru
 
Hajiuzulu ng'ooo hadi kieleweke.
 
Ndugai huwa simkubali kihivyo, lakini katika hili la kukopakopa mzee ametoa hoja na yatupa apewe majibu na sio kumzomea zomea!
 
Basi ngoja tuendelee kumwaga maji kwenye shimo, akikosa hewa atatoka tu
We endelea kumwaga, tu,utachoka wewe. Sijaona mtu wa kujiuzuru Tz hii. Wala wa kumuwajibisha sijaona,wanaogopana pia
 
Ndugai huwa simkubali kihivyo, lakini katika hili la kukopakopa mzee ametoa hoja na yatupa apewe majibu na sio kumzomea zomea!
Aliongelea uchochoroni.
Angeongelea bungeni alikuwa na hoja.
Mkusanyiko wa kimila na kumchamba Rais wapi na wapi.
Pia alimpania Rais direct,alikuwa anamtajataja.Kiuongozi na approach za Ayoub Zero
 
Mkuu wewe ndo moja ya wana jf wanaojielewa, ile hoja yake aliitoa kama ndugai na siyo spika wa bunge. Nafikiri alichokitafuta amekipata na atakipata.
 
Bunge litakuwa na vikao vyake Jauary-February 2022.
Nashauri CCM wamzuie spika asiendeshe vikao hivyo kwa sababu jamii haina imani naye tena, ikiwemo CCM na wapinzani, pia aliwahi kusema ana faili mirembe, na juzi Katibu wa Uenezi CCM Njombe alisema inawezekana bado anaumwa, kichwa chake hakijakaa vizuri, Samia amtafutie madaktari wamuangalie kichwa chake.
N.B: Hii ni iwapo atagoma kujiuzuru
Inchi yetu ina watu wajinga sana badala ya kufanya analysis ya kina kile alichoongea Ndugai unakuta mtu anacomment hovyo kama hv!!?
njemba kama hii hata haijielewi
haijui hata maana ya uhuru wa kutoa maoni.....
Tz kuna mataahira mengi sana
 
Hawa walumumba ni kituko Spika kapitishwa na Bunge kwa kura za kumkubali Leo hii anaonekana Akili zake imekaa tofauti haijakaa vizuri
 
Jamii ipi isiyo na imani naye!!?
Hiyo jamii, haima imani naye kwa kusema tuache kukopa kopa au nchi itapigwa mnada au hii ya kuomba msamaha!!???
 
Bunge litakuwa na vikao vyake Jauary-February 2022.
Nashauri CCM wamzuie spika asiendeshe vikao hivyo kwa sababu jamii haina imani naye tena, ikiwemo CCM na wapinzani, pia aliwahi kusema ana faili mirembe, na juzi Katibu wa Uenezi CCM Njombe alisema inawezekana bado anaumwa, kichwa chake hakijakaa vizuri, Samia amtafutie madaktari wamuangalie kichwa chake.
N.B: Hii ni iwapo atagoma kujiuzuru
Leo Ndungai huyu huyu mliyekua mnamsifia mnasema ana file mirembe?
 
Ndugai huwa simkubali kihivyo, lakini katika hili la kukopakopa mzee ametoa hoja na yatupa apewe majibu na sio kumzomea zomea!
Nimemsikia Wasira alisema kwamba kusema Nchi ina miaka 60 bado ina kopa ni UJUHA coz kuna Nchi km Marekani unamiaka Zaid ya 200 na bado ina kopa kaitolea mfano pia Japan
 
Inchi yetu ina watu wajinga sana badala ya kufanya analysis ya kina kile alichoongea Ndugai unakuta mtu anacomment hovyo kama hv!!?
njemba kama hii hata haijielewi
haijui hata maana ya uhuru wa kutoa maoni.....
Tz kuna mataahira mengi sana
Hoja yake haina msingi, itatupotezea muda, kwanza atupishe
 
Back
Top Bottom