Kama kuna mwana Simba SC ambaye kwa matokeo ya jana anajipa matumaini ya ubingwa NBC akatibiwe uwendawazimu haraka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,654
109,056
Tusubiri tu hiyo wiki ijayo tarehe 12 tupangiwe na Mamelodi Sundowns FC katika Robo Fainali ya CAFCL tuje kupigwa 4 kwa 0 kwa Mkapa na tukapigwa Kipigo kitakatifu cha Goli 8 kwao ili Akili zitukae sawa na tujue kuwa hatuna Wachezaji wala Uongozi thabiti.

Nimemaliza.

Screenshot_20240307_094006_Instagram.jpg
 
Tusubiri tu hiyo Wiki ijayo tarehe 12 tupangiwe na Mamelodi Sundowns FC katika Robo Fainali ya CAFCL tuje kupigwa 4 kwa 0 kwa Mkapa na tukapigwa Kipigo kitakatifu cha Goli 8 Kwao ili Akili zitukae sawa na tujue kuwa hatuna Wachezaji wala Uongozi thabiti.

Nimemaliza.
uvumilivu ni muhimu,ni mpira hatujui na timu yetu ya yanga,inaweza kufungwa
 
Uwezi ukashinda Kila mechi.
Nawasihi makolo punguzeni makasiriko, ndio mpira huo.
Mamelodi mwenyewe ashindi Kila mechi kunamechi anapigiza vizuri TU na wanatimu nzuri.
ndo itakuwa nyie unga unga mwana mnaotegemea wachezaji walioisha viwango makapi yaliyotemwa uko ualabuni
 
Kwani watalala wapi ? watakula wapi ? wataoga wapi ? tutawapata tu na wao tutawapiga saba ! tukishapuliza ile kitu hata awe nani miguu itakuwa kama imebeba jmawe akina chama sijui baba ester ni kukimbia tu na kupiga krosi sasa kina Saidoo wakose wenyewe tu kwa ujinga wao inakuwa hakuna watu ni mazombi tu yako uwanjani.manake kazi inaisha kabla ya kufika uwanjani sisi ndo thimbaa ! Kwani hamkuwaona Jwaneng hata kukimbia walikuwa hawawezi , walikuwa wamechoshwa hooi kabla hata kuingia uwanjani.Chezea thimbaa wewe !
 
Back
Top Bottom