Taja miradi inayosubiri uchaguzi 2025 ndio izinduliwe na wanasiasa licha ya kukamilika au kucheleweshwa kwa makusudi

Duc in altum

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,523
2,784
Miradi mingi mikubwa hasa iliyo kamilika na mingine inacheleweshwa kwa makusudi ili kusubiri uchaguzi ufike 2025 ndio mama yao aizindue na kujipa ujiko kama vile yeye ndio muanzishaji?

Bwawa la Mwalimu Nyerere - hili bila kelele za kila siku za watu na migomo ya TANESCO kukata umeme kila baada ya dakika tano ambao walijua fika bwawa limeshakamilika lakini wanasiasa hawataki lifanye kazi mpaka 2025 hata motor moja isingekuwa imewashwa sasa hizo nane mpaka uchaguzi ndiyo ziwashwe.

Daraja la Magufuli,

Mradi wa maji Mwanza,

Masoko yote makubwa Mwanza,

Endeleza list
 
Kibaha-Kimara Road (morogoro road) eight lane…hii inalazimishwa kuzinduliwa 2025 hii imekamika miaka mitatu iliyopita!
 
Barabara ya Kidatu- Ifakara, hii toka nimeiona 2016 Hadi leo haijakamilika. Ni tabu tupu Morogoro linapokuja suala la barabara!
 
Satalaiti ya kwanza Tanzania
Daraja Pangani
Kuchimbwa kwa bwawa la maji na umeme Mabatani, Muheza, Tanga
Tanga airport
Meli ya abiria Tanga, Mombasa, Zanzibar (kuzinduliwa 1 Jan.2025)
Barabara Muheza-Amani
 
Daraja la JPM upo Sawa kabisa.

Hili daraja siasa zimezidi , Siku za nyuma tuliambiwa linakamilika February 2024, akaja Makonda wakasema litakamilika August 2024 ,, juzi tena kamati ya Bunge ilipotembelea tukasikia et litakamilika Desemba 2024.

Kipind ujenzi unaanza 2020 huko walisema litajengwa Kwa miezi 36.
 
Miradi mingi mikubwa hasa iliyo kamilika na mingine inacheleweshwa kwa makusudi ili kusubiri uchaguzi ufike 2025 ndio mama yao aizindue na kujipa ujiko kama vile yeye ndio muanzishaji?

Bwawa la Mwalimu Nyerere - hili bila kelele za kila siku za watu na migomo ya TANESCO kukata umeme kila baada ya dakika tano ambao walijua fika bwawa limeshakamilika lakini wanasiasa hawataki lifanye kazi mpaka 2025 hata motor moja isingekuwa imewashwa sasa hizo nane mpaka uchaguzi ndiyo ziwashwe.

Daraja la magufuli,

Mradi wa maji Mwanza,

Masoko yote makubwa Mwanza,

Endeleza list
Uwanja wa Ndege wa Mwanza!
 
kutoanza kwa ujenzi wa jengo bora na kimataifa la abiria la uwanja wa ndege Mwanza unamnyima point sana Rais Samiah kwa Mwanza,na pia barabara njia 4 Nyerere na Kenyatta Road vinginevyo hakuna kingine cha kumpunguzia point kwa kanda ya ziwa. Apambane navyo. vitaanza kujengwa karibu na uchaguzi na kisha kutelekezwa baada ya hapo
 
Back
Top Bottom