mchanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LA7

    Nilivojifunika na mchanga msasani beach ili nipate usingizi,

    Kila ninacho kiandika humu huwa ni maisha yangu halisi Basi tuende moja kwa moja kwenye mada, ilikuwa ni mwaka 2014 baada ya kutoka mkoani na kujikuta nikiishi maisha ya kutokuwa na mahali pa kuishi, Nikajikuta naingia kwenye shughuli za beach boy bila kutarajia, Ratiba yangu ilikuwa...
  2. Hemedy Jr Junior

    Nimegundua kuruka na ungo mchana, vipi serikali itanipa kibali?

    Waruka na ungo usiku mnafeli wapi? Kwanini ungo usitumike mchana na sio usiku kwanini umsiungane ukafanye sayansi yenu ikawe bora maana sayansi yenu bado ni duni means bado haina maboresho. Tunahitaji ungo uruke mchana na watu tusigeuzwe kuwa panya tubaki kuwa watu. Hapa ndipo wachawi...
  3. J

    Kampuni ya Minjingu na Bashe nani wa kulaumiwa suala la mifuko 776 ya mchanga ikiuzwa kama mbolea kwa fedha za ruzuku ya Serikali?

    Uongozi wa Kampuni ya uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa mbolea ya Minjingu Mines and Fertiliser Limited (MMFL) umefafanua kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwa Kampuni hiyo kuhusu upatikanaji wa mifuko 776 ya mchanga kwenye ghala lake lililopo mjini Njombe na kusema Kampuni hiyo haijawahi kufanya...
  4. R

    Waziri Hussein Bashe aagiza Mshindo Msola akamatwe

    Wazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au kuchakachua Mbolea inayopelekwa Kwa wakulima. Mifuko zaidi ya 700 imekutwa ndani ya ghala Hilo...
  5. X

    Nani kamdanganya Bhoke wa EATV anapendeza akipepesa macho yake kama kaingiwa na mchanga

    Huyu msichana wa zamani ajuza wa sasa aliyeigiza soft porn enzi za Big Brother ana pozi lake la kupepesa macho mfululizo kama vile kaingiwa na mchanga machoni. Nahisi kuna aliemdanganya anapendeza japo kiuhalisia anakuwa kama mchawi. Sredi tayari
  6. Replica

    Nimetembelea shule za Dar es Salaam wanafunzi bado wanakaa chini mchangani, sijui mikoani kukoje!

    Leo nimepita shule ya msingi Upendo iliyopo Mbezi Luis jijini Dar es Salaam. Kwanza shule ina wanafunzi wengi kuliko uwezo wa madarasa mpaka wanaingia kwa shift. Pili shift husika inabeba wanafunzi wengi mpaka wengine wanakaa chini tena sio chini kwenye sakafu, ni chini kwenye mchanga. Unaweza...
  7. herio

    Msaada wa tatizo la korodani ya mtoto mchanga kupanda juu kuelekea tumboni

    Wasalam JF, Wakuu nina kichanga cha miezi mitatu,tangu akiwa na mwezi mmoja nimekuwa nikimwambia mama yake amchunguze vizuri hasa sehemu za siri. Akawa ananiambia mtoto ana korodani moja sikuchukulia serious kwakuwa alikuwa mdogo nikasema labda bado hayajakua vizuri. Leo hii nimemchunguza...
  8. Maleven

    Ni kweli kufunika sink la choo kwa paving au mchanga kunapunguza ubora wake?

    Naaanisha shimo, Kuna fundi amekuja home akaona shimo lote halionekani, akasema kitaalamu haifai maana paving au kufunika na mchanga kunahifadhi unyevu ambao unaharibu ubora wa cement hivo life span ya shimo inapungua, kuna mwenye kufahamu kuhusi hili? Mi nimelifunika lote
  9. Kindeena

    Mtoto mchanga ameokotwa Madale

    Mtoto mchanga ameokotwa leo alfajiri, Novemba 02, 2022 akiwa hai, baada ya kutupwa katika maeneo ya Madale. Mtoto huyo anayedhaniwa kuzaliwa muda mfupi kabla ya kutupwa, amefikishwa kwenye zahanati ya Madale kwa matibabu zaidi. Chanzo: ITV
  10. Pdidy

    DC Gondwe: Msaada wako mto Kawe. Watoto awaendi shule

    MH DC SHALOM Tunaomba msaada wako wachimba mchanga mto Kawe wanachimba tope. Watoto wanashindwa kwenda mashulen. Polisi Kawe wameshindwa kutusaidia wanakuja kukusanya pesa kila siku badala ya kuzuia malori Tunaomba tusisubiri kusikia wamekufa watoto tunaomba marufuku kuchimba mto Kawe Wako...
  11. mrdocumentor

    SoC02 Lulu ya Kusini iliyofunikwa na mchanga

    Mikoa ya kusini imekuwa kwa kiasi kikubwa ikijishughulisha na kilimo. Lakini aina ya kilimo wanachofanya si aina ya kilimo ambacho kimekuwa kikiwanufaisha kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na jitihada wanazowekeza. Mazao mengi ya chakula kama vile mahindi, mtama, na mengineyo yamekuwa...
  12. ommytk

    Kwa wanaoagiza mchanga au kokoto tunaibiwa aisee kumbe uwa wanapunguza njiani kuna vituo

    Yaaani leo kuna kitu nimejifunza kwa wale wajengaji hii sijui kama mnaijua aya malori liwe la mchanga au kokoto yana utaratibu wana vituo njiani. Wanapunguza mzigo ule ambao wewe uliagiza na ushalipia yaaani wanaoaki wanatoa turubai wanapunguza mzigo wa kutosha wakija site kwako wanafikia...
  13. JanguKamaJangu

    AY: Kumfungulia Mtoto Mchanga Akaunti Mtandaoni ni Tatizo la Akili

    “Unakuta una mtoto mchanga unamfungulia akaunti mtandaoni, eti mtoto anaandika ‘Mama I love you’ kisha wewe mama unajibu ‘I love you too’, yote hayo unaandika na unajijibu mwenyewe, hilo ni tatizo la akili. “Siku hizi kuna matatizo mengi ya akili lakini hatujayagundua, unamfanya mtoto...
  14. New ID l

    Hivi Mwalimu Nyerere, mchanga au udongo wa Tanganyika aliushika kwa mkono gani wakati wa kuchanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar?

    Wakati mwl Nyerere anachanganya mchanga au udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama inavyoonekana kwenye picha👇inaonekana mikono yake yote miwili ilishiliki kwa pamoja katika kuchanganya udongo huo. Sasa naomba kujuzwa udongo wa Tanganyika ulishikwa kwa mkono gani hapo, wa kulia au kushoto?
  15. Mtego wa Noti

    Biashara ya mchanga mikoa ya pwani

    Igweeeee!!!...Naamini wote humu ndani mko salama. Kuna hii biashara ya kuuza mchanga ambayo watu wameanza kuvutiwa nayo ambapo wananunua mashamba yenye mchanga na kuanza kuuza mchanga. Kwa ambao wameshaijaribisha hii biashara ina changamoto zipi? Nataka nianze kusaka maeneo ya kuwekeza kwenye...
  16. JanguKamaJangu

    TANZIA Mtoto mchanga wa Marehemu Mbunge Irene Ndyamkama afariki dunia

    Mtoto mchanga aliyeachwa na marehemu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama amefariki dunia jana Aprili 30, 2022. Mtoto huyo amefariki baada ya kuishi kwa siku saba tangu kuzaliwa kwake, Mbunge Irene alifariki dunia Aprili 24, 2022, katika Hospitali ya Tumbi wakati akipatiwa...
  17. B

    Msaada kuhusu utosi wa mtoto mchanga wa wiki Moja kudunda

    Habarini za usiku wapendwa. Naomba mwenye kufahamu ni kwanini mtoto mchanga wa wiki moja utosi wake haudundi na je? io ni hali ya kawaida au ni tatizo kwa mwenye uelewa tusaidiane kupeana elimu
  18. Pascal Mayalla

    Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako

    Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to retire!. Sababu ya makala hii ya leo sio kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa, bali kutoa mbinu za...
  19. simplemind

    Siku Baba Moi aliomba lift gari ya mchanga

    Baada ya msafara wake kukwama kwenye tope baba Moi na mawaziri wake walipanda tipper kuendelea na safari.
  20. F

    Kwanini mikate mingi ina mchanga siku hizi?

    Wakuu habarini za usiku, Ni muda nimekuwa mtumiaji mzuri wa mkate katika kifungua kinywa cha asubuhi, lakini nime-kutana na changamoto ya kitafunwa hichi kuwa na chembe chembe za michanga ndani yake. Nimejaribu kubadili brand mbali mbali lakini naona hali ni ile ile. Je, hali hii inasabishwa...
Back
Top Bottom