Wakuu,
Kuna video nilikutana nayo huko mtandaoni (nimeangalia sijaiona), huyo dada alikuwa anasimulia jinsi rafiki yake alivyokufa baada ya kung'atwa chura. Chura huyo alikuwa ndani ya kiatu chake, wakati anavaa hakumuona, basi huyo chura akamng'ata kwenye kidole baada ya kushtuka (unajua...
Baada ya kuandika uzi nikiiomba serikali yetu itunge sheria kali kuwalinda wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa n.k. Nimeona sio vibaya tukalijumuisha hili suala kwenye uwanja wa mapenzi/Mahusiano.
Mimi Mjanja M1 ni kati ya watu ambao nathamini sana Uhai wa kiumbe chochote na ni moja kati ya...
Mimi Mjanja M1 sikuwahi kuwaza kama kuna siku nitaandika uzi kwaajili ya wanyama hususani wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa na wengine ambao tunawafuga.
Kwenye pilika zangu nimekutana na Vitoto vya Paka vikiwa vimetupwa jalalani na muhusika (Mfugaji) hajulikani. NILIUMIA SANA 😢
Ukiachana na...
Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu!
Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida!
Mimi Binafsi siwezi...
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana(25) wa kiume niko Dar es Salaam, katika kutafta kazi baada ya kumaliza chuo( miezi 4 mtaani) mwaka huu mambo yamekuwa magumu nilipga kazi mbalimbali kama ujenzi, kulima, kubeba mizigo Kariakoo ila pesa ni kidogo kiasi kwamba kodi ikifika ya nyumba huna cha...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewataka Watanzania kutumia benki kuhifadhi fedha zao ili kuhakikisha usalama wa fedha zao na usalama wao na kuacha tabia ya kuhifadhi fedha nyumbani.
Dkt. Nchemba aliyasema hayo Jijini Dodoma wakati akizindua Tawi la Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ)...
Mwalimu mahiri katika somo la hisabati shule za msingi, anafundisha katika shule ya msingi Misitu Kivule ilala dar es salaam ila katika Kipindi hiki cha likizo atakuwa anamfuata mtoto alipo na kumfundisha.
Mzazi usimsumbue mtoto kwenda mbali na nyumbani. Huduma hii ni nzuri na ya uhakika...
Hamas: kumekucha Viongozi wetu wapo majumbani mwao, na si mahospitalini.
Wanapanga mikakati ya kuwamaliza Israel.
Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema madai ya utawala wa Kizayuni kwamba viongozi wa harakati hiyo wapo katika njia za chini ya ardhi ya...
Mimi ni mtoto wa pili katika familia ya watoto 8 nina miaka 27, bado naishi nyumba ya kifamilia bado mambo bila bila (maisha magumu kuhama) nimepoteza mzazi wa kike na wakiume anaishi mbali kidogo na sisi ila tunashukuru hajakataa uzazi wake.
Kama mnavyojua katika familia lazima baadh ya muda...
Msije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia.
Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe...
Wafanyakazi kwenye ofisi za idara ya afya jijini San Francisco wametakiwa kuendesha shughuli zao majumbani kutokana na maeneo karibu na ofisi yao kutokuwa salama.Idara hiyo imesema hali hiyo itaendelea bila ukomo mpaka litakapotolewa tangazo jengine.
=======
Hundreds of employees at...
Kuanzia miaka ya mwishoni mwa 80 hadi mwanzoni au katikati ya 2005 60% ya waliokuwa wakiharibu Ndoa za Wanawake ni Wadada wa Kazi.
Ila kuanzia katikati hiyo ya mwaka 2005 hadi leo hii nathubutu kuandika na tena kwa Kujiamini kabisa kuwa 99% ya Wanaoharibu Ndoa za Wanawake ni Wadogo zao wa Kike...
Fundi umeme wa majumbani kama kusuka, vifaa vya umeme kama pasi, heater, oven, microwave, fridge, n.k
Ukifanikiwa kupata kazi au kuniletea mteja utapa 30% ya malipo ya mteja atakayotoa
Tuma ujumbe pm.
Dar es Salaam > Kibamba
Wana jamvi habari za usiku huu,
Leo nimeona nilete hii habari kwenu, najua fika kwa wengi wenu sio habari mpya na kwa wengine na habari mpya kabisa.
Na kuna wengine habari hii sio mpya ila wamejisahau kiasi kwamba wanabana na kuvunja sheria na taratibu zilizowekwa na serikali kuhusu kima cha...
Habarin wadau,samahani nilikuwa naomba kujua jinsi yakuwa wakala wa rangi za majumbani,je ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo,na kiasi gani mtu anatakiwa kuwa nayo ili awe wakala wa rangi za majumbani,nipo mkoan dodoma nawasilisha hoja hii kwenu wadau.🙏🙏🙏
Ningependa kujua suala la ukusanyaji wa taka katika mitaa, majumbani...tangu nimerudi kutoka nchi za wenzetu... sijawahi kuona gari la taka likipita...au utaratibu wa hii nchi ukoje ... maana naona ni tofauti sana..
Naomba niseme ukweli kwamba ukitembea vyuo vikubwa Duniani utabaini Ofisi za waalimu ( Tutorial/Dr/Prof) NI eneo ambalo mnaweza mkakaa nakufanya majadiliano mkiwa na facilities zote.
For the first time nimefika university of Dar es salaam kumwona rafiki yangu ambaye nilisoma naye Ila Kwa sasa...
Miaka ya nyuma, hata urudi katika vitabu vitakatifu, watu matajiri waliishi na watu wengi nyumbani na wote walinyooshwa na kutii sheria za nyumbani.
Mfano Nabii Ibrahim alikuwa Bilionea aliyeishi na mamia ya watu kwenye familia yake. Alikuwa hadi anajeshi la watu 300 ambao ni sehemu ya familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.