Pendekezo: Badala ya Serikali kutoa elimu bure, fedha hizo zielekezwe kwenye matibabu bure kwa wote

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,938
4,116
Kwanza ifahamike kuwa, shule bure imeongeza ujinga mkubwa miongoni mwa wanafunzi tangu tu huduma hii ilipoanzishwa na serikali

Lengo na maksudi ya Serikali na nia yake, ilikuwa ni njema na nzuri mno, ni kuwasaidia watu wote bila kujali umasikini wao, wasome na wawe na elimu kwa kila mtu

Hata hivyo, mimi naona ni kama Serikali imechelewa sana kuyapitia maazimio haya tangu kuanzishwa kwa elimu bure

Kinachoshangaza ni kwamba, kuna watoto eti wanafaulu ili hali hawajui kusoma wala kuandika majina yao, hii ni tofauti kabisa na ilivyokuwa elimu ya kulipia, wazazi walikuwa serious kufuatilia watoto wao ili kuepuka kutupa pesa zao kugharamikia kisichoelewa

Jambo hilo ndilo limenifanya kuja na hoja hii ya kubadili matumizi hayo, fedha zote zinazoelekezwa kusomesha watoto, sasa zielekezwe kwenye matibabu bure kwa kila mwananchi wa nchi hii na wazazi waendelee kugharamia elimu za watoto wao!
 
Nilipoona neno bule mwanzoni nilidhani ni typing error, ulipolirudia zaidi ya mara moja, kisha unatoa ushauri kuhusu elimu, nimegundua ni kwa kiwango gani elimu yetu imeshuka. Hata ulichoandika nimekipuuza.
Asante kwa mawazo yako yaliyotatanishwa na kiswahili
 
Mimi nadhani huduma zote za Elimu au Afya sio sahihi kusema zinatolewa bure !
Usahihi ni kwamba zinatolewa kwa kodi za wananchi !! 🙏🙏
 
Na zinastahili kuboreshwa kwa kuongezewa mafungu ya fedha.

Tatizo vipaumbele vya serikali yetu vimekuwa mafao kwa viongozi na mambo yanayofanana na hayo ambayo hayana tija kwa taifa.
 
Nilipoona neno bule mwanzoni nilidhani ni typing error, ulipolirudia zaidi ya mara moja, kisha unatoa ushauri kuhusu elimu, nimegundua ni kwa kiwango gani elimu yetu imeshuka. Hata ulichoandika nimekipuuza.
Msamehe bule kaka.😁😁
 
Kwanza ifahamike kuwa, shule bure imeongeza ujinga mkubwa miongoni mwa wanafunzi tangu tu huduma hii ilipoanzishwa na serikali

Lengo na maksudi ya Serikali na nia yake, ilikuwa ni njema na nzuri mno, ni kuwasaidia watu wote bila kujali umasikini wao, wasome na wawe na elimu kwa kila mtu

Hata hivyo, mimi naona ni kama Serikali imechelewa sana kuyapitia maazimio haya tangu kuanzishwa kwa elimu bure

Kinachoshangaza ni kwamba, kuna watoto eti wanafaulu ili hali hawajui kusoma wala kuandika majina yao, hii ni tofauti kabisa na ilivyokuwa elimu ya kulipia, wazazi walikuwa serious kufuatilia watoto wao ili kuepuka kutupa pesa zao kugharamikia kisichoelewa

Jambo hilo ndilo limenifanya kuja na hoja hii ya kubadili matumizi hayo, fedha zote zinazoelekezwa kusomesha watoto, sasa zielekezwe kwenye matibabu bure kwa kila mwananchi wa nchi hii na wazazi waendelee kugharamia elimu za watoto wao!
Mtu ambaye hajasoma yaani mburura anadharau elimu. Hiki nacho ni kilema
 
Watu mmelemazwa kwa bwebwe na uongo wa wanasiasa. Nani kakwambieni elimu ni bure? Hakuna cha bure hisipokuwa wananchi wote wamebeba mzigo kupitia kodi zao kugharimia hicho mnachokiita elimu bure. Ni bahati mbaya sana mpango wenyewe utekelezaji wake umekuwa wa hovyo.

Alikadhalika mpango wa matibabu unaousema na wenyewe hauwezi kuwa bure. Ukiona mgojwa wa VVU akigawiwa kile kidonge bila kukilipia ujuwe kimeshalipiwa kabla ya kumfikia mtumiaji.
 
Asante kwa mawazo yako
 
Kukinga ni bora kuliko kutibu

Elimu inabeba dhana kubwa ya kukinga badala ya kukomaa na matibabu ambayo ni gharama zaidi

Mathalani, unaweza kuweka huduma za afya bure usipotoa elimu ya kujikinga na magonjwa utaishia kuwa na wateja wengi wa dawa za typhoid, kipindupindu, malaria, kuharisha, kuumwa matumbo, ukurutu, chawa n.k

Vitu ambavyo unaweza kuvikwepa tu kwa kuwa na elimu yaani taarifa sahihi za kujikinga na maambukizi yake
 
Back
Top Bottom