Nimejitafuta kwenye kubeti mpaka nimechoka

Dcxkobe

Member
Mar 5, 2023
57
136
Tangu niingie kwenye kubet adi sasa sijapata faida yoyote Zaid ya hasara kila nikisomaga post xozote za kuhusu kuifaidi betting karbu wote wanasemaga usiweke timu nyigi odds 2 tu zinatosha Ayo yote nimefanya lakn n vipigo tu option zote kwenyr football nimezijarbu lakn hakuna tofaut nikahama kwenye basketball Mambo n Yale Yale tu unaweka 0ver 150 na wao point zinaishia hapo hapo kwenye 150 unabaki kujuta tu. Ambao mshajitafuta mkajipata hebu mtueleweshe na wengne na michezo ambayo Ina afadhali maana hapa nishajarbu Zaid ya michezo minne valleyball.basketball .futsal.ice hockey.football aise Hali n mbaya tu japo huwa najipa Sheria Kali akuna kuzidisha oddds2 lakn wapi nkipigo tu
 
_20230918_004950.JPG
 
Tulia msimu huu (2023/24) utajipata, Rudi kwenye betting, Bet kwenye ligi zinazoeleweka tu. Cheza kwa akili, mtazamo na hisia, Zingatia historia ya timu zinazokutana kwa mechi zisizozidi tano, ubora wa timu zinazokutana kwa kipindi hicho zingatia nafasi zao kwenye msimamo, angalia squad ya timu zote mbili wachezaji muhimu kama wapo au wanakosekana, angalia u-serious wa timu maana kuna wajinga wanauza mechi, angalia mechi za nyuma sio rahisi katika game Tano timu kubwa kupoteza zote hata kama iwe mbovu vipii.

Kuna mechi huwa ziko wazi kabisa refer game za weekend hii, watu wamepiga mshindo. Mfano ungewapa;- I. Milan, Juve, City, A Villa, Yanga, New Castle, kwa buku mbili tu ungekuwa na mzigo sio haba.

Usiache kubet, Bora usilie lakini mkeka upumueee, jipange weekend hii ujilipue. Lakini pia usiache kutembea Uzi wetu pendwa wa wazee wa kujilipua.

Kila la kheri.
 
Juzi nilitia elfu 20 nikampa yanga ila nikawaza kuongeza timu nyingine ili nipige hela ndefu akaja dogo mmoja akachungulia simu akaniambia brother weka sare game ya simba utakuja kunishukuru kwa shingo upande nikaweka mpaka mwishoni chama anachomoa nilishangilia sana wakati mimi ni shabiki lialia wa yanga
 
Back
Top Bottom