Kuna Urahisi au mbinu katika kubeti?

geekizuri02

Member
Oct 16, 2022
19
58
Hakuna kazi Rahisi, Kupata pesa inahitaji pesa. Kurisk pesa kiasi kwa mafanikio uko mbele sio kazi rahisi jamani… wenzangu na mie tunaobet tunaelewa hili kabisa. Unaweka mikeka 9 inapumua unaend kupika kaugali unashiba ukirudi tu hivi ni wewe pekee unaepumua tena kwa shida mno😆😂😂😂… Hamna janja janja ni kusoma na kuelewa masoko unaomba na bahat iwe upande wako🤲😓. Naombeni masoko ya uhakika hii leo nikabet tafadhali hali ni ngumu🥲
 
Nyie mna Muda hata wakusikiliza tuulizeni sie ma pilot wa vindege una weka 200 unasubiri kindege kipae upate hata buku unambulia shwiiii ...hela zijakuja kutuua walai
 
Hakuna option rahisi mkuu. Na hakuna sure odd 100%
 
Back
Top Bottom