kiakili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhafidhina07

    Uzi maalumu wa kusaidiana matatizo ya kiakili

    Akili ni sehemu ya ubongo ambayo inashughulika na kuhifadhi,kuchakata na kuamua jambo( hali ujuzi au ufahamu wa jambo) hauwezi kuamua jambo mpaka akili ichakate/kufanya ulinganifu na kutoa maamuzi ni jambo la haraka sana kwa kiumbe ndiyo maana sometimes mtu anajutia maamuzi yake ila hauwezi...
  2. U

    Biashara ni kushikana mikono, Nashuhudia kwa macho yangu waliokuwa wanafunga mkia darasani na uwezo wa kawaida kiakili wanapiiga mshindo

    Huku wengine tukijitamba kuweza kufika mpaka vyuoni na kuona tuna bahati kwa kupenya kwenye system kuajiriwa na kupokea mishahara ya milion 1.xx, Najiuliza mara mbili mbili nafanya kitu gani na maisha yangu navyoona kuna watu wa kawaida kabisa kiakili, kielimu, n,k wanagnga mapene ya kutosha...
  3. DR Mambo Jambo

    Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya...
  4. Melki the Storyteller

    Shule ipi humjenga mwanafunzi kiakili, kifikra pamoja na kumuandaa vyema kwa maisha yajayo?

    Je, ni shule za Serikali? Ama ni shule za watu binafsi? Ama si Shule ya Serikali ama ya mtu binafsi yenye uwezo wa kumjenga mwanafunzi kifikra na kumuandaa vyema kwa maisha yajayo?
  5. D

    Kuchelewa hatua za ukuaji Kwa mtoto (Delayed milestone) na ufumbuzi wake. Mtoto anapozaliwa anatakiwa kukua kimwili, kiakili, lugha na kijamii

    Kuchelewa hatua za ukuaji Kwa mtoto (Delayed milestone) na ufumbuzi wake. Mtoto anapozaliwa anatakiwa kukua kimwili, kiakili, lugha na kijamii. Wengine hukua haraka au hufuata hatua za ukuaji pasipo kuchelewa ila Kuna wale ambao kutokana na sababu mbalimbali huchelewa kuendana na hatua za...
  6. Clark cian

    Kubeti ni kujiua kiakili

    Bisheni sasa na hii Kusema ukweli ,na ukweli ambao hamna mwana JF yeyote anayepingana nao . Kubeti kumefanya vijana wengi wa sasa kufa kiakili..unakuta kijana siku nzima yenye masaa 24 wanawaza juu ya mikeka Yao ya siku na pale siku inapoisha mikeka inachanika Jamani vijana tufanyeni kazi...
  7. sky soldier

    Ni kweli kipindi cha ujauzito mwanamke akianza kujifunza maarifa mapya na kucheza michezo ya akili, itamuongezea mtoto uwezo kiakili?

    Yaani kama mtoto amezaliwa bila mama kufanya hivyo vitu anakuwa na akili lakini kama mama yake angefanya hivyo wakati wa uja uzito basi uwezo wa mtoto huyo kiakili ungekuwa mara mbili ama mara tatu ya uwezo wake alionao Ni utamaduni ambao upo huko Israel mwanamke anapokuwa na uja uzito anaanza...
  8. mshamba_hachekwi

    Kupata msaada juu ya matatizo ya kiakili....

    Habari zenu watanzania. Hivi karibuni nimeweza kugundua, baada ya kuchunguza kwa makini, kwamba kuna uwezekano mkubwa nina tatizo la kiakili(mental disorder). Kuna vitu nimekua nikivifanya, na kuna jinsi nimekua nikiishi na watu walionizunguka kwa miaka kadhaa sasa..... Hii imenipelekea kufanya...
  9. Nyendo

    BAKWATA mnayajua mateso ya mwanamke akiolewa katika umri mdogo?

    Wakati Dunia ikiwa inaendelea kupigana vita ili kumuokoa mtoto wa kike kutoka kwenye kitanzi cha ndoa za utotoni BAKATWA wamemekuja na kauli yao ya kupinga kuondolea kwa sheria ya ndoa inayoruhusu mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya wazazi wake. Ajabu ni kwamba wao wameongza kuwa mtoto wa...
  10. Gaddaf i06

    Kiakili una uwezo kiasi gani? Ngoja tuone

    Habari zenu wakuu, Aya, mara mojamoja sio mbaya ....tangu uzaliwe, uliwahi kutengeneza /kubuni nini cha kwako mwenyewe? (kwa kutumia elimu ya darasani au akili ya kuzaliwa) wazee wa zamani hawakuwa na elimu kama tunayoipata sisi, masuala haya ya teknolojia ni mambo ya kisasa wala...
  11. GENTAMYCINE

    Wanaume wengi walipotea Kiakili na Kuchanganyikiwa Kitaaluma hasa katika Awamu yako 2005-2015

    "ASILIMIA 53 ya wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) leo ni wanawake. Sijui wanaume wamekwenda wapi? Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete na Mkuu wa Chuo amehoji wakati wa Duru ya tano ya Mahafali ya 52 na kuongeza “itabidi tufanye utafiti.” Chanzo: HabariLeo Acha kutupotezea muda wenye...
  12. sanalii

    Watu wenye uwezo mdogo wa kiakili ndiyo huchepuka

    Haina ubishi, sababu ni kama zifuatavyo; 1. Wanakua na uwezo mdogo wa kudhibiti hisia zao. 2. Hawana jambo linaloichangamsha akili like having intellectual project to be solved and fulfilled. 3. Uwezo wa ku reason ni mdogo hivyo ana act on feelings and not logic. 4. Wanauwezo mdogo wa...
  13. GENTAMYCINE

    Watanzania Milioni Saba 'Wamedata' Kiakili

    "Watanzania Milioni Saba wana matatizo ya Akili kutokana na Changamoto mbali mbali za Kimaisha" Amka na BBC Asubuhi ya Leo. Na zifuatazo ni sababu Kuu zinazopelekea 'Wadataji' hao ( siyo GENTAMYCINE ) kuwa hivyo.,.. 1. Madeni 60% 2. Mahusiano 25% 3. Ajira 10% 4. Kushabikia Yanga SC 3% 5...
  14. Nyendo

    Rais Samia: Chalamila wewe ni mfanyakazi mzuri ila naomba ukakue

    Rais Samia amemwambia RC Chalamila kuwa yeye ni mfanyakazi mzuri sana ila ni mtundu mno. Amesema alimuacha kipindi kilichopita ila anaamini sasa amekua, akili imekua anamuomba aende akakue, amesema asidhani kupata nafasi ndio kamaliza, anamfuatilia kwa karibu sana.
  15. big dreamer

    Mtoto wa Elon Musk aliyebadili jinsia na kuwa binti, ataka kubadili jina kuepuka uhusiano na baba yake

    Binti wa tajiri Elon Musk aliyebadili jinsia yake amewasilisha ombi la kubadilisha jina lake kulingana na utambulisho wa jinsia yake mpya na kwasababu anasema "Siishi au nisingependa kuwa na uhusiano na baba yangu mzazi kwa njia yoyote ile, kwa umbo au muundo." Ombi la kubadilisha majina yake...
  16. Replica

    Polisi huwa wanapitia changamoto gani kwenye kazi yao? Kenya 2000 wana matatizo ya kiakili yasiyoruhusu kuendelea kubaki kazini!

    Yawezekana badala ya kuwa tunawesema kila siku labda iangaliwe namna ya kusaidiwa au tunawashikia bango watu ambao akili zao haziko sawia. Hata hapa kwetu zipo hizi shida labda tu hawajazifanyia utafiti. Unakutana na polisi jambo la kawaida lakini mtu anakuwa mkali na kutumia nguvu kupitiliza...
  17. Mwananchi wa chini

    Kama hujakomaa kiakili acha kuoa

    Moja ya dalili za mwanaume aliekomaa kiakili ni yule ambae mtakosana kwa jambo dogo lakini baadae atakupigia simu na mtaongea hatakasirika siku nzima .. Kwa sababu anajua yeye ni mwanaume ... wanaume wa hivyo wanajua wana mambo mengi ya kuweka akilini na sio ugomvi kati yake na mke wake ambae...
Back
Top Bottom