johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Maadui wakuu watatu wa Mtanzania yaani Ujinga, Maradhi na Umaskini mama yao ni Uvivu na baba yao ni Tamaa
Watanzania wanaume ni wavivu sana wa kufikiri, wanapenda mteremko na mambo mepesi mepesi na hapo ndipo wanaporidhia Mkataba wa Umaskini na Shetani
Nimemsikia Mtaka akiyataja makabila matano yaliyoshikilia Uchumi wa Tanzania Wakinga, Wapemba, Waha, Wachaga na Wanyantuzu lakini hasemi wamefanikiwaje kushika Uchumi kama ni wakulima sana, wafugaji sana ama ni wachuuzi wa bidhaa za viwandani.
Itoshe tu kusema Watanzania ni lazima tubadili namna yetu ya kufikiri na tuache kabisa kufikiri ki Nyerere Nyerere.
Kwa bahati mbaya Elimu yetu inazalisha waongeaji naa siyo watendaji na ndio sababu wasioingia darasani huyaona mafanikio kwa wepesi.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!