kisarawe

Kisarawe is one of the six districts of the Pwani Region of Tanzania. It is bordered to the East by Dar es Salaam Region, to the north by the Kibaha District, to the east by the Mkuranga District, to the south by the Rufiji District and to the west by the Morogoro Region.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Kisarawe District was 95,614.

View More On Wikipedia.org
  1. kevin strootman

    Sikujua kama KILUVYA ni Wilaya ya Kisarawe Pwani sio Dar

    Leo kwenye harakati zangu za maisha nilipita maeneo ya KILUVYA, Kwa nilivyokua nadhani KILUVYA ipo wilaya ya ubungo, baada ya kubishana na jamaa yangu kua KILUVYA sio dar nikaenda kwenye ramani ndio nikalijua hilo. Ama Kwa hakika Dar imezingukwa na Pwani pande zote.
  2. Abdul S Naumanga

    Nini Hatima ya wanakijiji zaidi ya 2000 wa Tondoroni, Kisarawe waliopo katika mgogoro wa aridhi na JWTZ?

    MGOGORO WA ARIDHI TONDORONI Kesi ya ardhi namba 85 ya mwaka 2016, iliyowahusisha wanakijiji zaidi ya 700 wa Tondoroni dhidi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Leo(03.04.24)mahakama kuu chini ya Jaji Luvanda imetupiliwa mbali kwa kufunguliwa nje ya muda (Time barred'). Mgogoro huu wa ardhi...
  3. Morning_star

    Nini kilichoipata Shule ya Minaki Sekondari iliyoko Wilaya ya Kisarawe?

    Hii shule kwenye matokeo ya necta mwaka jana na mwaka huu haipo? Shida nini? Hii ni moja ya shule kongwe zikiwa pamoja na shule kama Pugu sekondari!
  4. Roving Journalist

    DAWASA: Wateja na wananchi wanaohudumiwa na tanki la kisarawe, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa masaa 24

    TANGAZO LA DHARURA KUKOSEKANA HUDUMA YA MAJI KWA WATEJA WANAOHUDUMIWA NA TANKI LA KISARAWE 14.01.2024 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wanaohudumiwa na tanki la kisarawe kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa masaa 24...
  5. Trubarg

    Ufahamu kuhusu eneo linaitwa Kisopwa Wilaya ya Kisarawe

    Habari wadau. Kuna mdau yeyote anafahamu hili eneo. Je panafaa kuweka makazi yaani kujenga na kuishi? Nategemea majibu kutoka kwenu.
  6. Zeemadeit

    Nauza mashamba yangu Kisarawe (MASAKI) milioni 2 hadi 3 kwa heka

    Karibuni mashamba bei sawa na bure. Mashamba yapo dakk 30 kutoka kisarawe mjini. Maongezi yapo kdogo. Namba 0627757086
  7. D

    Miaka karibu 10 ya Jafo ubunge Kisarawe bado maji ni ya chumvi. Kuoga mpaka uogee detergents

    Huyu Jafo hakuna lolote analofanya Kisarawe mkoa wa Pwani. Ni ujanja ujanja tu nashangaa anapaje Uwaziri wakati uwezo wake mdogo sana. Mpaka Leo wananchi wa Kisarawe hawana maji mpaka ya kunywa ni shida mpaka wategemee mvua inyeshe. Kuoga mpaka uogee sabuni ya unga vinginevyo sabuni ya kawaida...
  8. Intelligence Justice

    Wilaya ya Kisarawe, mkoa wa Pwani ipewe tuzo kwa kuhifadhi uoto wa asili na kutunza mazingira ijapokuwa miundo mbinu ni ya kizamani

    Wanajukwaa Mada tajwa hapo juu inahusika moja kwa moja kwa mjadala mpana. Ombi kwa 1. Serikali kuu 2. Makamu wa rais muungano na mazingira 3. Tamisemi Kwanza mamlaka husika ipongezwe kwa kutumia jeshi usu kusimamia mazingira ya eneo lote lla wilaya ya Kisarawe dhidi ya wavamizi na matajiri...
  9. JanguKamaJangu

    Pwani: Mzee wa miaka 80 aanza shule wilayani Kisarawe ili ajue kusoma

    Mzee Ramadhan Rashid mwenye umri wa miaka 80, mkazi wa wilayani Kisarawe, amekuwa mmoja kati ya watu 300, waliojitokeza kuanza shule ya awali inayotolewa kupitia mpango wa elimu ya watu wazima MUKAJA na ule wa waliokua nje ya mfumo rasmi wa elimu MEMKWA. Mzee Ramadhan, amejiunga na wenzake...
  10. M

    Plot4Sale Shamba linauzwa Kisarawe

    Mahali: Kisarawe Kijiji cha Gwata (Appr. 60 km toka Mlandizi) Ukubwa: Ekari 47 Hali ya shamba: Limepimwa na lina hati ya kimila ya halmashauri. Shamba ni pori. Bei : milioni 7 (saba) tu kwa shamba lote. Bei imepungua na pia mazungumzo yapo. Mawasiliano kwa maelezo zaidi: 0716 098 681 . Hii ni...
  11. JanguKamaJangu

    Kisarawe: Watu 8 wavunja nyumba saa nane usiku, wabaka, waiba na kujeruhi kwa mapanga

    Kundi la watu wanaokadiriwa kuwa 8 usiku wa kuamkia Juni 4, 2022 wamevunja nyumba moja iliyopo Mtaa wa Bomani Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani na kufanya ukatili wa kubaka, kuiba vifaa vya ndani na kujeruhi kwa mapanga na kutokomea kusikojulikana Wahalifu hao walifunga komeo kwa nyumba za...
  12. Frumence M Kyauke

    Diwani wa Wilaya ya Kisarawe Pwani alalamika uhaba wa kondomu

    Diwani wa Kata wa Kibuta wilayani Kisarawe mkoani Pwani Mhandisi Mohamed Kilumbi, amesema kuwa Kata ya Mbuyuni wilayani humo inakabiriwa na upungufu mkubwa wa Condom na kuiomba kamati ya kupambana na UKIMWI kuchukulia kwa uzito jambo hilo na kuhakikisha bidhaa hizo zinafika kwa haraka.
  13. Countrywide

    Mkuu wa wilaya Kisarawe, Nikki wa Pili akiwa na balozi wa Shelisheli na Canada

    Mkuu wa wilaya Mh.Nikkj wa Pili ameweza kushawishi mabalozi wa shelisheli na Canada kwenda Kisarawe na kuwekeza. Hii ni zaidi ya hatua, Mh. Nikki wa Pili ameonyesha njia na uwezo mkubwa kioungozi kwa kushawishi wanadiplomasia wakubwa kwenda kuwekeza kisarawe. Hili ni Jambo la kupongezwa na...
  14. Jamii Opportunities

    Nafasi za Kazi Halmashauri ya Kisarawe

    Executive Officers / WATENDAJI at KISARAWE District Council July, 2021. Kisarawe is one of the six districts of the Pwani Region of Tanzania. It is bordered to the East by Dar es Salaam Region, to the north by the Kibaha District, to the east by the Mkuranga District, to the south by the Rufiji...
  15. Baba jayaron

    Rais Samia, tunahuzunika kumuondoa Kisarawe DC Jokate

    Asaalaam Aleykum wabarakatu! Awali ya wote nikupongeze kwa kazi nzuri mama yetu Mh. Rais pia nikupepole kwa kazi hio ngumu. Niende kwenye mada mama, nakuomba au nnaimani umepita pita mitandaoni nakuona comments za raia wako walivotoa maoni yao juu ya teuzi (mkeka) wa ma DC. Leo sitotaka...
  16. JOHNGERVAS

    Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe, aliatakiwa apandishwe cheo

    Habari wakuu, Kwa Maoni yangu Mimi Kama Mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani au eneo Jingine has a remote areas. Kwa sababu moja Kuu, Jokate ni Mbunifu sana na kwa nafasi take kwanza kama Mtu maarufu mwebye...
Back
Top Bottom