HUDUMA YA MAJI YAIMARISHWA MSOMERA HANDENI-AWESO ABEBWA JUU
Wananchi wa kijiji cha Msomera wametuma salamu za pongezi kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi ikiofanyika katika kuwezesha upatikanaji wa huduma muhimu ya Majisafi na Salama pamoja na Maji kwaajili ya mifugo na pia...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imetoa taarifa kwa Wateja wake na Wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Chini kuwa, kutakuwa na upungufu wa huduma ya maji kwa baadhi ya maeneo ili kuruhusu maboresho ya msingi katika mtambo leo Jumanne March...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetangaza upungufu wa Huduma ya Maji kwa Wateja wanaohudumiwa na mtambo Ruvu Chini, kuanzia Machi 5 hadi Machi 7, 2024
Kwa mujibu wa taarifa ya DAWASA upungufu huo unatokana na maboresho ya msingi yanayofanywa katika mtambo huo...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, Thomas Ole Sabaya akizungumza na Wanachama wa chama chake amenukuliwa akidai kuwa Katiba Mpya haiwezi kuwa na faida ya kuwaletea huduma ya maji.
Kupitia video iliyotolewa na Mtandao wa Siasa za Bongo, amenukuliwa amesema “Katiba Mpya italeta maji hapa? Mnakuja...
Mradi wa kuboresha huduma ya maji Bonyokwa uliofikia asilimia 70 ya utekelezaji wake huku ukihusisha ujenzi wa bomba kubwa na kufunga pampu ya kusukuma maji (Booster pump) unatajwa kwenda kujibu changamoto za kihuduma katika maeneo hayo.
Kukamilika kwa kazi hii kutasaidia kuongeza upatikanaji...
Huku Mbezi Louis maeneo ya Mtaa wa Mshikamano Jijini Dar es Salaam hakuna maji ni mwezi sasa (Hadi muda naandika andiko hili Februari 10, 2024).
Mara chache yanayoka usiku mwingi, Watu wanasumbuka kuamka mida hiyo na kukuta maji yanayotoka ni machafu balaa.
Imagine kukaa mwezi mzima maji...
TANGAZO LA DHARURA
KUKOSEKANA HUDUMA YA MAJI KWA WATEJA WANAOHUDUMIWA NA TANKI LA KISARAWE
14.01.2024
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wanaohudumiwa na tanki la kisarawe kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa masaa 24...
DAWASA YAJIBU HOJA YA WAKAZI TABATA KISUKURU
Yaainisha mipango ya muda mrefu na mfupi ya upatikanaji huduma ya majisafi.
Mamlaka ya Majisafi ya Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa uhakika wa upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wa Tabata Kisukuru na Kinyerezi, Kifuru...
DAWASA YAJIBU HOJA YA WAKAZI TABATA KISUKURU
Yaainisha mipango ya muda mrefu na mfupi ya upatikanaji huduma ya majisafi.
Mamlaka ya Majisafi ya Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa uhakika wa upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wa Tabata Kisukuru na Kinyerezi, Kifuru...
Sisi Wananchi wa Mtaa wa Agape, Kata ya Muriet Mkoani Arusha tuna changamoto ya kukosa maji kwa muda wa miezi miwili sasa.
Licha ya kufanya jitihada za kuwasiliana na mamlaka ya Maji (AUWSA) hatujapata majibu ya kueleweka, hali hiyo imekuwa ikisababisha kero kubwa kwa wakazi wengi wa Agape...
Tunahitaji maji katika shughuli za kila siku za kibinadamu (kunywa, upishi na usafi), kiuchumi (kilimo na ufugaji, uvuvi, ujenzi, kuzalisha nishati, utalii, viwandani n.k) na mazingira. Katika kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji kwa mijini na vijijini, Serikali inatekeleza miradi ya maji...
MHE. MARTHA MARIKI - WANANCHI WA KATAVI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA HUDUMA YA MAJI
Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ameishukuru serikali kwa kuwaletea Huduma ya Maji safi na Salama wa kazi wa Kata ya Mwamkulu Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi.
Mhe. Martha Mariki Akiwa katika...
IKIWA imepita siku kadhaa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Kahama (KUWASA) kukamata mwizi wa huduma ya maji, kwa mara nyingine imemkata mkazi wa mtaa wa Mwime Manispaa ya Kahama Hamisi Omary kwa tuhuma ya kujiunganishia maji kinyemela na kusababisha mamlaka hiyo kukosa mapato...
Wasalaam wanajamvi.
Leo karibia jiji la Mwanza lote mabomba yanatoa maji, hii ni kawaida yao wakuu wa Idara pindi watembelewapo na ugeni wa viongozi.
Mfano wilaya ya Ilemela kuna maeneo unapita mwezi bila maji. Kwahiyo haya mlioamua kutubless leo siku zote yanaendaga wapi?
Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Morogoro wanaohitaji kuunganishwa na huduma ya maji safi na salama wamelalamikia kukosa huduma hiyo kwa takribani miezi sita kwa madai kuwa mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira MORUWASA inakabiliwa na tatizo la ukosefu wa mita.
Mamlaka ziangalie kuhusu hili...
Taarifa Jamii Forums hali ni mbaya kwenye Stendi ya Mabasi makubwa iliyopo Mbezi Luis maarufu kama Mbezi Mwisho, hakuna huduma ya maji kwa muda wa siku tatu sasa.
Kuanzia juzi Machi 26, 2023 hadi ninavyoandika muda huu asubuhi ya Machi 28, 2023, mamlaka zitusaidie
Kwenye vyoo napo mambo si...
Nashindwa kuelewa weledi wa police wa Tanzania, sijui huko huwa wanajifunza nini! Wengi wao wanafanya kazi kwa nidhamu ya uoga na kujipendekeza pendekeza.
Pia uhuru wa wananchi kueleza hisia zao ni sufuri, huku Samia akijibainisha kusimamia haki, sijui haki gani huwa anaongelea?
Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA Mhandisi Clement KIVEGALO ameowaomba radhi wananchi wa vijiji vya Igando na Kijombe wilayani Wanging’ombe kufuatia kucheleweshwa kwa mradi wa maji waliousubiri kwa muda mrefu.
“Kwa kweli kwanza nitumie nafasi hii kuwaomba radhi wananchi wote kwa kusubiri mradi huu kwa...
Hivi jamani hawa Dawasa wataendelea kuishi kwa kutegemea maji ya mvua hadi lini?Nasema hivi kwasababu ni nusura ya mungu tu mvua imenyesha mikoani haswa morogoro na Iringa ndo maji yakafurika kwenye mito ndo na huku tukaanza kuyaona mabombani.
Haya mambo ni hadi lini?Jee kila mwaka November na...
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!
Kwanza kabisa napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi kwa kutupatia uhai na afya njema. Pili, namshukuru Mungu kwa kutupatia rasilimali lukuki ambazo kwa kutokufahamu kwetu nadhani tushatumia si zaidi ya asilimia 30%...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.