Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,812
- 11,989
TANGAZO LA DHARURA
KUKOSEKANA HUDUMA YA MAJI KWA WATEJA WANAOHUDUMIWA NA TANKI LA KISARAWE
14.01.2024
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wanaohudumiwa na tanki la kisarawe kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa masaa 24 kuanzia saa 2 asubuhi siku ya jumapili tarehe 14 Januari 2024 hadi saa 2 asubuhi, siku ya jumatatu tarehe 15 Januari 2024.
Sababu: Kuruhusu Matengenezo ya dharura katika Bomba kubwa KIGODI KISARAWE.
Maeneo yanayoathirika ni;
Kisarawe mjini, Chanika, Bangulo, kinyerezi, kibaga, ulongoni A, Ulongoni B, Mongo la ndege, Majumba Sita, Mwembeni, Zimbili, Kwalimbanga, Mnembwe,Majohe,Gongo la Mboto,Ubena,Pugu yote na Buyuni
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Wasiliana nasi kupitia kituo cha huduma kwa wateja 0800110064 (bure) au
0735 202-121(WhatsApp tu)
Imetolewa na
Kitengo cha Mawasiliano