Hii haikubaliki, Msajili ifute CCM mara moja

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
5,979
6,784
Salam wana JF popote mlipo, amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.

Mada yangu ni fupi sana kwako msajili wa vyama vya siasa Tanzania.

Husika na kichwa cha habari tajwa apo juu naomba kupitia mamlaka ya ofisi yako kukifutilia mbali chama cha mapinduzi, na moja ya sababu ya kuomba kukifuta ni kama nitakavyoeleza .

Kwanza kabisa ccm ni chama kama vilivyo vyama vingine hivyo akiko juu ya sheria, ni lazima pia shughulikiwa pale kinaenda tofauti na sheria, na ukiukaji wa haki za kibinadam.

Binafsi naona kuna mambo wanafanya kwenye mikutano yao hayavumiliki,na yakiachwa wenda siku moja kama jamii , familia kuja kulia na kusaga meno.

Ikumbukwe naweza nisiwe ccm ila wapo ndugu , marafiki, amabao ni wanachama wao ila bado ni watu wetu wa karibu.

Kuna tabia ya CCM na sio ya leo ya kusomba watu kwenye mikokoteni, mafuso, n.k toka sehem moja kwenda sehem nyingine ili kuongeza vichwa hasa kwenye mikutano ya mwenyekiti wao, hii ni hatari, na tumekua tukiwaonya na kuwambia hawasikii , kwa makusudi au kibri cha madaraka, na kwa kibri ichi ipo siku yanaweza tokea na kuacha majonzi makubwa kuanzia kwenye familia , jamii na taifa kwa ujumla.

Kwa kuwa ccm tumekua tunawambia, tunawashauri ila hawataki sikia kwa kibri cha madaraka na kwa kuwa ushahidi upo,

Naleta maombi binafsi kwako kama msajili kufutilia mbali chama ichi ili kuepusha majanga ambayo yanaweza kutokea bila sababu.

Thanks msajili
 
Salam wana jf popote mlipo ,amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.

Mada yangu ni fupi sana kwako msajili wa vyama vya siasa Tanzania...
Mimi sio mwanasiasa wala sina chama,sijaona hoja ya maansma,fuso na wingi wa watu una maanisha nini?
 
We unaota kweli mkuu wewe

Unajua ccm walikamatwa wanatoa rushwa live na hakuna kima alichukua hatua yoyote, eti Takukuru wakasema hayo ni mambo ya ccm watajua wenyewe watachukuliana hatua wenyewe! Tena aliyeongea hayo ni jenerali wa Jeshi aliyekuwa boss wa takukuru.
 
Baada ya mkutano utawaonea huruma

Chadema inahuruma Sana huanza kuwataftia safiri na kuwarudisha walikotoka
 
Shida ulivyoandika , msajili yupi humu ila atapita thread yako, wakati huo anaendelea kula makuku na mabia ya safari lager, alafu anaenda kule kwenye jukwaa la mahusiano lile.
 
Salam wana jf popote mlipo ,amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.

Mada yangu ni fupi sana kwako msajili wa vyama vya siasa Tanzania...
Technically unamshauri amfute muajili wake, kifupi haiwezekani amini nakuchana.
 
Salam wana jf popote mlipo ,amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.

Mada yangu ni fupi sana kwako msajili wa vyama vya siasa Tanzania.

Husika na kichwa cha habari tajwa apo juu naomba kupitia mamlaka ya ofisi yako kukifutilia mbali chama cha mapinduzi, na moja ya sababu ya kuomba kukifuta ni kama nitakavyoeleza .

Kwanza kabisa ccm ni chama kama vilivyo vyama vingine hivyo akiko juu ya sheria, ni lazima pia shughulikiwa pale kinaenda tofauti na sheria, na ukiukaji wa haki za kibinadam.

Binafsi naona kuna mambo wanafanya kwenye mikutano yao hayavumiliki,na yakiachwa wenda siku moja kama jamii , familia kuja kulia na kusaga meno .

Ikumbukwe naweza nisiwe ccm ila wapo ndugu , marafiki, amabao ni wanachama wao ila bado ni watu wetu wa karibu .

Kuna tabia ya Ccm na sio ya leo ya kusomba watu kwenye mikokoteni, mafuso, n.k toka sehem moja kwenda sehem nyingine ili kuongeza vichwa hasa kwenye mikutano ya mwenyekiti wao, hii ni hatari, na tumekua tukiwaonya na kuwambia hawasikii , kwa makusudi au kibri cha madaraka, na kwa kibri ichi ipo siku yanaweza tokea na kuacha majonzi makubwa kuanzia kwenye familia , jamii na taifa kwa ujumla.

Kwa kuwa ccm tumekua tunawambia, tunawashauri ila hawataki sikia kwa kibri cha madaraka na kwa kuwa ushahidi upo,

Naleta maombi binafsi kwako kama msajili kufutilia mbali chama ichi ili kuepusha majanga ambayo yanaweza kutokea bila sababu.

Thanks msajili
Uliona wapi mtu anakifuta. Usajili Chama chake, kisha yeye aende wapi? 😂
 
Uliona wapi mtu anakifuta. Usajili Chama chake, kisha yeye aende wapi? 😂
Binafsi najua hakuna chama kipo juu ya sheria na msajili yupo pale kusimamia vyama vyote , sasa namtaka atekeleze hili hata kama ni mwana ccm, ndugu zetu wakivunjika, tunaoangaika ni sisi , wao ccm hasa viongozi hata mafua ni mwewe India, wakiacha wajane tunaoangaika ni sisi, sana ni gharamikia mazishi , haikubaliki, msajili futa ccm
 
Chama cha maigizo(CCM)
Mkuu wanataka tuletea majanga, maisha yenyewe magum, juzi ya Njombe imeacha magepu mangapi kwenye jamii, familia na taifa?

Kama unataka watu si kawafate huko kwenye vijiji kata , ccm tumewambia mda mrefu kibri tu ifutwe haiwezekani ofisi ya msajili ijitafakari kama inastahiri kuwa pale
 
Technically unamshauri amfute muajili wake, kifupi haiwezekani amini nakuchana.
Hapa tunazungumzia chama , mambo ya mwajiri inatoka wapi,

Chama kipo pale unda serikali so kisipokuepo maana yake utumishi wa uma unakoma ? Mwajili ni mwananchi sio chama
 
Ofisi ya msajili ni tawi la ccm kwa ajili ya kudhibiti vyama vya upinzani
Hii kwangu so far halikubaliki bila kujali ni kada au sio kada ni vyema kuzingatia nini tuna sema kama wajiri wake namanisha wananchi , kwani si analipwa kwa kodi zetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom