kitanda

  1. Yesu Anakuja

    Natafuta Chumba, Kitanda na godoro 4x6

    Kuna kabiashara kangu hapa DSM, nimeleta mfanyakazi toka mkoani, nahitaji kumpangishia chumba kimoja self, 1. Chumba 1 self maeneo ya Kawe, mwenge, msasani, au popote nitachagua nikipapenda 2.kitanda 1 futi 4x6 3.godoro 1 futi 4x6 kama kuna anayeuza hivyo, tuwasiliane.
  2. M

    Kusafirisha kitanda

    Wakuu kwema. Ndgu yenu hapa naomba kujuzwa gharama nafuu za kusafirisha kitanda na godoro toka Morogoro mpaka Dar. Ni usafiri gani wa bei rahisi naweza kuutumia na gharama zake zikoje lakini pia unapatikana maeneo gani hapo Moro?? NB. Mimi ni mgeni Morogoro. Natanguliza shukran zangu kwenu...
  3. Crocodiletooth

    Kitanda kinaweza kufungwa kwa juu ya dari, je usemi huu unaukweli?

    Stay away from older women Stay away from older women If i stay away from older women can't feel ok, the older the tighter,,,the tighter the sweeter......
  4. A

    DOKEZO Hali ni mbaya sana Shuke ya Msingi Kitanda - Mbinga TC

    Shule ya msingi Kitanda ni shule ambayo ipo katika kata ya Kitanda halmshauri ya Mbinga mji ,ni shule ambayo ipo kilometer 15 kutoka makao makuu ya halmshauri ya Mbinga mji na makao makuu ya wilaya ya Mbinga. Shule hii inakadiriwa kuwa na wanafunzi 700+ na walimu wasiopungua 8 lakini...
  5. mrPhysics

    Nauza kitanda, kinapatikana Iringa

    Habari, Kwa anaehitaji kitanda ya sofa and ako iringa ninakiuza Kwa 190k tu instead of 250k , kama unakihitaji dm me tufanye biashara
  6. Lexus SUV

    Kitanda cha chuma 5 kwa 6 kipya kinauzwa kipo Moshi mjini, mikoani kinatumwa

    Habari nina kitanda kipya cha chuma kinauzwa Kipo moshi , na pia kuna BED SOFA MPYA , valvet , BED BOX , PALLET BED KAMA ZOTE.........OFISI ZETU ZIPO MOSHI...... MAWASILIANO NI. 0672701329
  7. Sean Paul

    Kitanda kinazaa haram, sheria ya kupima DNA iangaliwe upya

    Habari wana nzengo, Sheria ya kupata kipimo cha vinasaba (DNA) hapa Tanzania ina mchakato mgumu kidogo. Ni kwamba ni ofisi maalum zinaweza kuomba kupata vipimo hivyo tu, katika kutekeleza majukumu yake. Either ni mahakama katika kutatua mgogoro, polisi katika uchunguzi, ofisi ya ustawi wa Jamii...
  8. Baba Ndubwi

    Kitanda na godoro vinauzwa Zanzibar

    Wakuu habari ya muda huu Vyote vipo katika hali nzuri. Ukitaka kukagua Vipo Kikwajuni. Bei ya jumla ni laki tano na elfu hamsini. Godoro pekee bei ni laki moja na themanini alfu. Kitanda pekee bei ni laki 3 na elfu hamsini. Sababu ya kuuza:Anahamia bara mwenye navyo. NB;Mimi sio vyangu isipokuwa...
  9. M

    Familia nyingi hazijawahi kubadili kitanda na godoro hadi UZEENI

    Vitanda na magodoro katika familia nyingi za Kiafrika vimetumika kuzalishia watoto, wajukuu na hata vitukuu. Vitanda hivi vimeshuhudia mmiliki akiwa kijana au watu wakiwa wachumba, wakaoana, wakapata watoto ,wajukuu na kushuhudia wanavyozeeka hadi kufa. Pia mtu tangu aanze kazi hadi...
  10. DaveSave

    MIZIMU GANI ITAKUIBUKIA KWENYE KITANDA CHA MAUTI? -MALOTO

    MIZIMU GANI ITAKUIBUKIA KWENYE KITANDA CHA MAUTI? SIJAWAHI kuchoka kuitazama hotuba ya gwiji, Denzel Washington, katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Pennsylvania mwaka 2011 - Penns Commencement Speech 2011. Jina la hotuba ni “Fall Forward” – “Anguka Mbele". Maisha ni mwendo. Pambana na ujaribu...
  11. DaveSave

    Maloto: Mizimu gani itakuibukia kwenye kitanda cha mauti?

    MIZIMU GANI ITAKUIBUKIA KWENYE KITANDA CHA MAUTI? SIJAWAHI kuchoka kuitazama hotuba ya gwiji, Denzel Washington, katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Pennsylvania mwaka 2011 - Penns Commencement Speech 2011. Jina la hotuba ni “Fall Forward” – “Anguka Mbele". Maisha ni mwendo. Pambana na ujaribu...
  12. SAYVILLE

    Nani anavuruga kitanda changu nikiwa nimelala?

    Leo nakuja na mada fikirishi. Nikiwa nalala peke yangu, huwa nahakikisha shuka limechomekwa vizuri kitandani kabla sijalala ila nikija kuamka nakutaga kitanda kimevurugika, shuka nililotandika limefolonyolewa kabisa na wakati mwingine nalikuta sakafuni. Kuna mara nasema ngoja nilale kwenye...
  13. A

    Kitanda kinauzwa

    Size 5*6 Bei 140000
  14. M

    Hospitaiili ya wilaya Lushoto wakataa kumpa kitanda mgonjwa aliyevunjika mguu

    Yupo mgonjwa aliyepata ajali ya kugongwa na pikipiki na amevunjika nmguu. Tangu mapema saasita mchana hadi saa kumi na nusu hawataki kumpatia mama huyo kitanda wamemuweka mapokezi eti wanadai anatakiwa kupelekwa hospitali ya Bombo. Mama huyo familia yake wamechelewa kupata taarifa na...
  15. Magari ya Biashara

    Kitanda bila godoro kinauzwa bei 90,000/=

    Kitanda 5 kwa 6 bila godoro Bei 90,000 Kipo Ubungo 0789283031
  16. Love Doctor

    INAUZWA Kitanda kina week unakipata kwa Tsh. 130,000/=

    Kitanda pekee unakipata kwa Tsh. 120,000 tu Kipo Moshi mjini maeneo ya zara Simu namba 0718569091 au 0744883353
  17. The Monk

    Ni kipi cha thamani kwa mwanamke kati ya kitanda na mwili wa mwanaume?

    Tunapoelekea mwisho wa mwaka, nikaona nijaribu kuleta kwenu hii hoja ambayo imekua ikiibuka Mara nyingi hasa Kwa wanandoa wanaume. Hapa naongelea Mme ameoa, anaamua kuchepuka anasema hawezifanya hicho kitendo na mwanamke mwingine kwenye Kitanda anacholalia na Mke wake. Sasa kama unamheshimu...
  18. N

    Kitanda kinauzwa

    Kitanda chenye ukubwa wa tano kwa sita kinauzwa, bei ni Tshs 75,000 maongezi kidogo yapo. Napatikana Mbezi Makabe, kama unahitaji piga simu 0712268434 tufanye biashara. Karibuni
  19. Chief Kumbyambya

    Mwanaume ukitumiwa meseji hii bila kuuliza ujue wewe ni mnoma sana kunako kitanda

    Wasalaaaaaam wazee. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Ewe mwanaume ukiona umepiga show usiku kisha asubuhi demu akaondoka, yakapita masaa kadhaa demu akakutumia mesej nitakayoiambatanisha hapa ujue wewe ni guru kunako kitanda. Huyu manzi jana usiku nimemkamua haswa mpaka alikuwa anageuza...
  20. Equation x

    Amelowanisha kitanda chote, nikalale wapi?

    Wiki iliyopita, nilipata mwaliko kutoka kwa mpenzi wangu (mchepuko), kuwa ananihitaji, niende nikamchangamshe. Baada ya kunishawishi sana kwa maneno matamu, nikaona bora niende nikamtimizie haja zake; asije akafa bure kwa kukosa huduma muhimu. Kumbuka; huyu mwanamke ana umbo zuri sana...
Back
Top Bottom