course

A full-course dinner is a dinner consisting of multiple dishes, or courses. In its simplest form, it can consist of three or four courses; for example: first course, a main course, and dessert.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Mwaka mmoja wa kusoma Kichina unaweza kunisaidia nikakijua na kuendelea masomo yangu?

    Nimechaguliwa kusoma chuo nchini China kiitwacho Tianjin University na course niliyochaguliwa ni Mechanical Engineering and Automation ila wameniambia inafundishwa kwa Kichina na inabidi nisome mwaka mmoja Kichina then niendelee na masomo. Nilikuwa nauliza inachukua muda gani kukielewa Kichina...
  2. Thailand

    Kwa mnaotaka kusoma course za nje mkiwa hapa hapa bongo chekini hii scholarship ya Commonwealth Distance Learning (MA)

    Hii scholarship mwisho wa kufanya application ni 28/ 03/ 2023. Bado hujachelewa ku apply. https://cscuk.fcdo.gov.uk/scholarships/commonwealth-distance-learning-scholarships-candidates/
  3. M

    Nichague ipi kati ya course hizi?

    Msaada juu ya course ya water Supply Sanitation Engineering na Civil Engineering ipi ni nzuri kusoma
  4. Surveyor_1

    Naombeni ushauri juu ya kozi ya kusoma

    Habari wakuu,mimi nilimaliza form 4 takriban miaka 11 iliyopita, nilifaulu vizuri tu,nikiwa na A zote PCB na PCM, nilichaguliwa kwenda advance shule nzuri tu lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo kwa sababu kadhaa nikajishughulisha na biashara. Kwa sasa naona kiasi nina utulivu nataka...
  5. I

    Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health.

    Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health. MUHAS Masters of science in monitoring and evaluation in health . Mzumbe UNIVERSITY Masters in Arts in monotoring and evaluation . Open university. Naombeni utofauti wa hizo kozi wadau.
  6. B

    Course ya Sheria ni nzuri kwa aliyepata div 1 point 6 HKL?

    Na ndugu yangu kapata 1 .6, amesoma taasusi ya HKL, ana mpango wa kusoma UDS sheria. Naomba ushauri wakuu, halafu ukicheki ana aibu sana.
  7. alex001

    Naomba msaada kuhusu course za kusoma chuo kikuu

    Nimesoma combination ya PCB nimemaliza form six mwaka huu na nmefaulu kwa division I-8 lakini sijafanikiwa kwenda Chuo kwasababu za kiuchumi naomba msaada Je ni course Gan za afya tofauti na MD ambazo naeza nikasoma kwa mwakani zenye ajira lakini pia ambao ni rahisi kujiajili?? Naombeni msaada...
  8. Frustration

    Sehemu ya ku upload kwa usahihi leseni na chati cha basic driving short course kwenye ajira portal

    Habari zenu ndg, Naomba kufahamishwa namna au wapi nitaweka leseni na cheri cha veta(driving course) kwenye ajira portal maana kuna prof na academy. Vyote ni professional au academic ? Asante I
  9. W

    Educational Course

    Wapwa nisaidieni ushaur wa course nzuri za fani za kusoma kwa mtu ambae amefeli form 4 lakn anataka asomee fani imsaidie kimaisha
  10. T

    Ipi course nzuri kati ya diploma ya pharmacy na bachela ya land management and evalution

    Za jioni wadau Naomba msaada wenu mimi nina diploma ya pharmacy nimemaliza mwaka jana nikataka kuendelea mwaka huu lakini nilikosa awamu zota tatu. Likaja dirisha la huruma la awamu ya nne kwakuwa nilikuwa na cheti cha form six nikajaribu kuombea nacho pale ardhi (nilifanya kama kujaribu tuu...
  11. pCpCp RICH THINKER

    Mambo 10 magumu kwa wanafunzi wa 'short course' wanaosoma VETA Kama huyawezi usiende; tafuta njia nyingine ya kusoma

    Una mpango wa kusoma Short Course V.E.T.A ? Na ni mtu mwenye majukumu yako?! Basi, tambua: 1. Utalazimishwa kuvaa sare. Hauko tayari kuvaa sare mazingira yako ni magumu. Hakuna cha 'bring-bring' wala nini! 2. Utanyoa Kama mtoto, kama mwanafunzi haswaa. Kama unauchebe, uchebe wako utaambiwa...
  12. KingOligarchy

    Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) watangaza Securities Investment and Trading Course kuanza mwezi Novemba

    DSE watangaza certification yao itakayoanza mwezi ujao. Nilifanya course iliyopita na kwakweli madini niliyoyapata yalikuwa yamesimama. huwa naattend sana forums nyingi za investments na personal finance lakini hii course ilinifanya nijue kiundani jinsi soko la mitaji linavyofanaya kazi...
  13. She Quoted you

    Mdogo wangu anaacha kusoma C.O ili akasome short course ya flight Operator

    Habari humu, mdogo ameshachaguliwa kujiunga C.O pale TTCIH morogoro, ila anataka aache ili akasome short course ya miezi mi3 flight operation pale TCAA uwanja wa taifa. Kwa wanaoifahamu hii kozi, vipi ajira zake ndani na nje? Wanasema Kupata nje dubai ni rahisi. Points za dogo kuacha medicine...
  14. peno hasegawa

    PENDEKEZO: Masomo ya uwakili yafundishwe kwenye course ya Sheria Chuo Kikuu kwa mwaka wa Nne. Law school ifutwe

    Kwa hali iliyopo na inayoendelea TLS ninashauri Law school ifutwe na badala yake degree ya sheria iliyokuwa inasomwa kwa miaka mitatu sasa isomwe kwa miaka mine Ili mwaka wa nne wasome masomo ya Law school wakiwa chuo kikuu husika. Wanafunzi akishamaliza degree ya sheria awe tayari amemaliza...
  15. S

    Je, kuna kozi fupi kuhusu Afya ya Ngozi (Skin Care)?

    Mimi ni mwanafunzi ninayesoma Utabibu, je, kuna short course ya Afya ya Ngozi (skin care) au mpaka niwe specialized doctor wa ngozi? Lengo langu kubwa ni kuwa mfanyabiashara mkubwa wa masuala ya vipodozi, sasa ili niwe na utaalamu wa kumshauri mtu kipodozi kipi atumie na kipi asitumie inabidi...
  16. Vigo Mnyama

    Nataka kusoma course ya Fine Arts and Design naomba ushauri

    Niko combination ya science nataka nikasomee Bachelor of fine art and design.. Ninakipaji cha kuchora.
Back
Top Bottom