ajira portal

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Clark boots

    Ajira Portal inagoma kuomba nafasi ya kazi

    Wakuu nataka kuomba kazi ya drive Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Ila nashangaa mfumo unagoma. Naomba tips namna ya kujaza kwenye kipengele cha "program name" na "Program category" Bila shaka hivi vipengele ndivyo vinavyonikwamisha. Aliyefanikiwa kuomba hii post naomba anichungulie hizo sehemu...
  2. J

    Kwa waliowahi kufanya usaili wa IT Security huko ajira portal msaada wa muongozo

    Wakuu habari, Nimeitwa usaili wa IT Security hivyo nimekuja kuomba muongozo ikiwezekana possible za maswali. Kuna hatua tatu, usahili wa paper, practical na oral. Je nifanyaje niweze kufaulu? Natanguliza shukrani
  3. pelius laurent

    Msaada wenu kwenye interview utumishi kada ya msaidizi wa hesabu II

    Hello, Ndugu naomba msaada kidogo, Mimi pia ni mala yangu ya kwanza kufanya application ajira portal kada ya MSAIDIZI WA HESABU II, maswali yangu ni:- 1. Majina yangu ya cheti cha kuzaliwa ni PELIUS MUKIZA LAURENT, form four na vya chuo vyote ni PELIUS M LAURENT na halafu kibaya zaidi ni kwenye...
  4. luangalila

    Ajira portal ina bagua baadhi ya profession

    Una kuta mtu ktk program aliyosemea ndani yake kuna courses za profession fulan lkn kama utumishi ktk education qualification wakisema wanataka B.A Y basi ni Y tu Huu.mfumo ni wa kuutazama uendane na programs zinazo tolewa na vyuo sio kujichanganya tu. Mfano : system akisema imwombaji awe...
  5. Ombenichelsea

    Maoni yangu kwa Utumishi (Ajira Portal)

    Haya yakizingatiwa angalau yatasaidia kuboresa mazoezi ya usaili yanayoendeshwa na Utumishi: 1. Katika upande wa mwombaji Waboreshe utoaji wa taarifa kama kuitwa, matokeo, ratiba na mabadiliko yoyote kupitia sms kwa sababu taarifa wanazotoa kwenye website na mifumo inaweza kukwamishwa na mtu...
  6. K

    Msaada: Je, hizi status za Ajira Portal zipoje?

    Habari za leo ndugu zangu. Naomba msaada je hizi status za ajira portal zipoje. Mfano kwenye portal imeandika SELECTED FOR Oral Interview. Selected for Ina maneno ya kijani lakini kwenye website SELECTED tu no Ina kijani mengine ni meusi. Naomba kujua nini kinajiri
  7. MwananchiOG

    Ajira portal ni tatizo

    Hivi hawa utumishi wapo serious kweli? Hivi wanajua maelfu na mamia ya wasaka ajira wanakwama kiasi gani kutokana na huu mfumo wao wa hovyo? hivi watu wateseke kupata elimu kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo bado waje wateseke na huu upuuzi? Yaani kuhangaika kote kusoma halafu unafika wakati...
  8. G

    Msaada kuhusu Ajira Portal

    Sorry nilituma maombi ya kazi UDSM ila wakati natuma sikuwa nimeweka profile picha, nimeweka picha deadline imeshapita. Je, Kunaweza kukawa na shida na kusababisha nisiwe shortlisted? Msaada wadau🙏
  9. Matango

    Ajira Portal: Verification Certificate Shidaa

    Naomba msaada kwenye kujaza hii ajira portal. Kila kitu nimeshaweka, pamoja na vyeti vya masomo ambavyo vimethibitishwa na mwanasheria. Lakini mwishoni pale chini kwenye Academic qualifications, ninakutana na ujumbe unasema "You have not attached any Verification Certificate", nikigusa + hiyo...
  10. Sanyambila

    MSAADA: Natamani kuwa Tutorial assistant Nina GPA YA 4.1 lakini ajira portal inanikataa msaada

    Habari wadau Naamini hili jukwaa ni kubwa saana Na Lina wataaluma au wahusika wa ajira portal. Nina Ndugu yangu anaomba msaada hii ajira portal inamzingua kwanza kabisa amejaza tarifa zake zote na Ana 97% Ila Ina mgomea Taarifa binafsi yeye amemaliza chuo KIKUU na Ana GPA Ya 4.1 program yake...
  11. Restless Hustler

    Msaada: ajira portal

    Naomba kuelekezwa namna ya kutiki/ kuweka mshale wa declaration.
  12. Reality of heaven

    Ajira Portal, Help Desk ni kero tupu!

    Ajira portal kama hamuwezi kuwasaidia watu hamna haja ya kuwa na help desk, maana mtu anakuwa na shida anawapigia toka asubuhi mpaka jioni, simu ipo busy, na ikiita haipokelewi. Kwanini msiajiri watu special kwa ajili ya kazi hiyo tu! Kama wanavyofanya mitandao ya simu!! Nyinyi ndo mnaoajiri...
  13. Frank Hood

    Changamoto za Ajira Portal

    Naomba nijue,naona siku hizi ukitaka kuomba kazi za serikali unapitia ajira portal(www.ajiraportal.gov.tz). Sasa swali langu inakuwaje kwa wale ambao wako uko vijijini au hawana access ya internet wanafanya vipi kupata hzo ajira?Maana hawatoi alternative way ya kutuma maombi zaidi ya kupitia...
  14. Ayochemical

    Msaada namna yaku upload vyeti certified ajira portal

    Wakuu poleni na majukumu msaada kwa wajuvi kama inavoonesha apo kichwa cha thread ,Mwanzo nili update original certificates nilipoomba ajira nikakataliwa nakuambiwa cjaweka certified certificates, tatizo linapokuja kila niki edit naku upload crtfied sasa majibu inayonipa ni ayo apo chini msaada
  15. B

    Msaada Ajira Portal

    Acount yangu niliifungua 2016, na inasoma 92% mpaka saaa, nimeweka taarifa zote zinazotakiwa kuwekwa ikiwemo na kwa uzingativu mkubwa academic qualifications. Swali je, ukiwa chini ya 100% itakugomea kuomba ajira? Hapo maanzo nilifanikiwa kuomba ajira nikiwa na 92% ila zasa hivi siga ninazo ila...
  16. O

    Naomba msaada ku-upload certified copy Ajira Portal

    Ninapata hii message; "Academic Level already exists" Na nikienda kwenye edit option haibadili original copy kwa ile certified copy Msaada!
  17. Mwamba95

    Status za app ya Ajira Portal zina ukweli kiasi gani?

    Kama kichwa cha habari apo juu kinavyo sema kuna status za aina mbalimbali kwenye app ya ajira portal kama 👇👇👇 ●RECIEVED ●SHORTLISTED ●NOT SHORTLISTED ●SELECTED FOR NULL ●NOT SELECTED FOR NULL ●SELECTED FOR PRACTICAL INTERVIEW(Huyu alikua hana practical kwneye interview yake eg...
  18. G

    Kwanini siku hizi kuna majina ya nyongeza kwenye Ajira Portal za Serikali?

    Habari zenu wanaJF Naona siku hizi kumekuwa na majina ya nyongeza sana kwenye usaili kutoka sekretarieti ya ajira. Na nahisi hii inatokea baada ya wengi mfumo kuwakataa na kupeleka malalamiko na baada ya uchunguzi wanaona ni kweli na ndio maana wanaongeza majina. Swali langu ni kwanini wa-set...
  19. Frustration

    Sehemu ya ku upload kwa usahihi leseni na chati cha basic driving short course kwenye ajira portal

    Habari zenu ndg, Naomba kufahamishwa namna au wapi nitaweka leseni na cheri cha veta(driving course) kwenye ajira portal maana kuna prof na academy. Vyote ni professional au academic ? Asante I
  20. Atalanta

    Msaada kuhusu ku edit profile picture Ajira Portal

    Wakuu naombeni msaada, kila ninapojaribu ku update picha naona ina load tu lakini haibadiliki. Picha iliyopo sasa hivi niliiweka wakati nipo certificate, sasa haikuwa ya passport size ilikuwa ni picha ya kawaida tu ya photo shoot. Kwa anaejua namna ya ku update picha nyingine naomba...
Back
Top Bottom