Kichwa cha habari kinajieleza.
Ni kweli Bodi ya mikopo elimu ya juu inakusanya mikopo Kwa wanufaika kupitia TRA ambao wamejiari.
Maana tetesi zilipo ukienda kujisajili na kufungua TIN ya biashara TRA. Kuna gharama wanaongeza ambazo ni za HELSB.
Je, hizi tetesi ni kweli.?
Wadau Nataka kununua pikipiki Aina ya Honda Ace 125 individual made in South Africa.
Bei yake ya ofa 2,600,000/= mpya.
Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya hii ambayo bajeti take haivuki milioni 3.2.
Ni ya kutembelea tu sio Kwa biashara ya bodaboda
Wadau ni dawa gani naweza tumia kutomeza wadudu watambaao na warukao ndani ya nyumba.
Nataka dawa ambayo nikitumia Mara moja naweza kaa angalau kwa muda mrefu bila kutumia.
Sitaki dawa ya kutumia kila siku au kila wiki.
Nataka mende,sisimizi,siafu,mbu n.k viwe vitu adimu ndani ya nyumba.
Utaratibu wa upatikinaji wa Viti maalum Ubunge vya Wanawake Kenya upoje?
Wadau, Katiba ya Kenya na sheria ya uchaguzi imeweka utaratibu upi wa upatikanaji wa wagombea wa viti maalum wanawake.
Wadau wa Kilimo na wenyeji wa kanda ya ziwa Mwanza n.k.
Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza au jirani na mkoa wa Mwanza.
Pia sehemu ambayo taweza kulima mahindi angalau mara mbili kwa msimu mmoja.
Wataalamu nahitaji utaalamu wa kutumia kingamuzi kimoja kwa TV mbili tofauti na kila TV iwe na uwezo wa kubadili chaneli kivyake., yaani niangalie chaneli 2 kwa wakati mmoja.
Mfano wa kingamuzi cha Azam na Dstv.
Kwasasa hapa nchini pamekuwa na utaratibu mtu akipata matatizo tunakimbilia kuchangishana fedha.
Mtu kama Joseph Haule a.k.a Prof J alipopata maradhi na kulazwa, familia yake ikaomba achangiwe kusaidia gharama za matibabu, bila shaka familia hawana uwezo wa gharamia matababu kutokana na maradhi...
Wafugaji wenzangu leo naomba tupeane uzoefu kuhusu biashara ya utotoleshaji vifaranga vya kuku, utaratibu upoje na bei zake zipoje.
1. Analipia kila yai analoleta au kwa kila kifaranga kitotolewacho.
2. Bei huwa sh ngapi na bei hutolewa kwa kila yai au trei nzima.
Leo naomba tupate utaratibu kuhusu mikopo inayotolewa na taasisi za kifedha za kiislam kama Amana bank, NBC Islamic account n.k.
Utaratibu wao upoje. Mikopo yao huchukua muda gani mpaka umalizapo kulipa,(wa muda mrefu na mfupi)
Mfano nahitaji gari lenye thamani ya 15, talipataje na talipa jumla...
Hili limekua tatizo kubwa sana kwa simu za kitochi 4G ukiitumia baada ya muda Fulani Kanaganda yaani ukiiwasha haiwaki inaishia hapo tu kwenye "karibu tigo".
Je, unaweza kutumia mbinu gani kukatengeneza mwenyewe bila kwenda kwa fundi ikiwa una laptop. Maana hata ukikatengeneza baada ya muda...
Hivi inawezekana ukabadilishs battery pindi battery likianza kuwa dhaifu au kufa kabsa.?
Utaratibu wakubadilisha battery ni mwepesi au mpaka uende center za kampuni zao za simu.?
Kati ya Non Removable Battery na Removable Battery unashauri mtu anunue simu IPI.?
Wadau kati ya hizi simu ipi bora zaidi, nataka kununua moja.
Tecno R7 LTE vs Itel T20 LTE zote zinauzwa TIGO shop.
NB: Napenda ambayo haitokuwa inanibana napotaka apps mbalimbali ziwe zinakubali kuinstall ( update)
Wadau nataka kufunga umeme wa jua Nyumbani, Naombeni ushauri na uzoefu wenu kati ya hizi kampuni mbili Zola Tanzania na Mobisol Tanzania ipi nzuri na bora kwa vifaa vyake.
ZOLA wanamitambo ya WATT 40 mpaka 100 NA MOBISOL ni WATT 40 mpaka 200.
NIJIUNGE KAMPUNI GANI KATI YA HIZI?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.