Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 402
- 169
Kwanini Tanzania bado wanaagiza Magari ya zamani sana.
Yaani mpaka Leo mtu bado anaagiza Old Model Car.
Yaani mpaka Leo mtu bado anaagiza Old Model Car.
CCM bado inaendelea kuwakamua siku itakapoacha makamuzi basi tegemea hata chawa la machawa Lucas mwashambwa kumiliki chuma ya Mwaka 2024Kwanini Tanzania bado wanaagiza Magari ya zamani sana.
Yaani mpaka Leo mtu bado anaagiza Old Model Car.
Mkuu ni sawa uende kwenye familia kipato 100.000 uulize kwanini hii familia mnakula tu ugali tembele ina maana kuku hamuwaoni.Kwanini Tanzania bado wanaagiza Magari ya zamani sana.
Yaani mpaka Leo mtu bado anaagiza Old Model Car.
Hata TRA wangeweka 0 zero rate wangapi wangeweza kununua gari za kuanzia $50,000? Jibu ni low purchasing power. Pato la waTz ni dogo. Wenye pato kubwa wanaingiza hizo gari latest na TRA ipo.
Nchi za wenzetu mbona wananunua sana tu. Kwa sasa watu wananunua used kwa sababu hiyo option ipo lakini pia wengine wananunua kwa sababu kodi ya kununua gari jipya ni kubwa.Hata TRA wangeweka 0 zero rate wangapi wangeweza kununua gari za kuanzia $50,000? Jibu ni low purchasing power. Pato la waTz ni dogo. Wenye pato kubwa wanaingiza hizo gari latest na TRA ipo.
Nchi za wenzenu kuna kitu kinaitwa finance. Unachukua kwa mkopo. Unaweka deposit kama 10% then inayobqki unalipa kidogo kidogo kulingana na aina ya gari.Nchi za wenzetu mbona wananunua sana tu. Kwa sasa watu wananunua used kwa sababu hiyo option ipo lakini pia wengine wananunua kwa sababu kodi ya kununua gari jipya ni kubwa.
South Africa wame restrict used cars, si unaona wanavyosukuma vyuma vipya. Nenda kwa majirani. Magari yote hayawezi kuuzwa kuanzia $50,000/-. Kila mmoja atanunua kulingana na uwezo wake. Hata wazungu wanazidiana kwenye kumiliki gari kilingana na uwezo wa kiuchumi. Wenye uwezo wa $10k watanunua na wenue uwezo zaidi watapata ya size yao.