mfuko

The Natural Gas Revenue Fund (NGRF) is the proposed sovereign wealth fund of Tanzania expected to be launched in October 2014 or February 2015 after the enactment of a bill by the National Assembly. It will manage the revenue accrued from the sale of its natural gas. As of April 2014, Tanzania has a recoverable gas reserve of 43.1 tcf. The fund will be managed by the Bank of Tanzania. However, according to PFC Energy, 25 to 30 trillion cubic feet of recoverable natural gas resources have been discovered in Tanzania since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Denmark yatoa zaidi ya Tsh. Bilioni 103 zilizotumika kwa ajili ya kusaidia Sekta ya Afya kupitia Mfuko wa Afya

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akizungumza wakati wa Mkutano na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Sera za Mabadiliko ya Tabianchi wa Serikali ya Denmark, Mhe. Dan Jørgesen (hayupo pichani) aliyeambatana na ujumbe wake, ambapo wamefanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa nchi...
  2. Ncha Kali

    Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko

    Ndugu zangu! Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa. Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa 'statement' inaonesha kuwa michango yao haijafika PSSSF licha ya kuwa 'salary slips' kusoma kuwa...
  3. Suley2019

    Serikali yabainika kutoa Ksh.147B kinyume cha sheria kutoka kwenye Mfuko wa Pamoja

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu Matumizi ya Bajeti Zilizorekebishwa, imefunua jinsi serikali ilivyotumia bilioni 147 za shilingi bila idhini ya Bunge la Kitaifa. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Nancy Gathungu, inaonesha kuwa jumla ya bilioni 595 za shilingi...
  4. N

    Kuna watu wakatili aisee; nilishuhudia mgeni rasmi akitoa zawadi ya mfuko wa pipi tu

    Ni mwaka jana tu katika mahafali ya darasa la saba sehemu fulani niliyoalikwa na mkuu wa shule huyo ambaye ni rafiki yangu mzuri. Tumetulia mara mgeni rasmi kafika na suti yake kuuubwa. Yamefanyika yaliyofanyika hadi muda wa kukaribishwa yeye ukafika. Akaongea vizuri kwa kutoa rai murua kabisa...
  5. Trubarg

    NHIF watumie mfumo wa fingerprint scanner kutambua wanufaika/ watoto badala ya kusumbua wazazi

    Habari wadau. Kumekuwa na wimbi la wafanyakazi wa NHIF waliopo mahospitali kuwataka wazazi wabadilishe vitambulisho vya watoto kwakuwa picha zilizopo kwenye vitambulisho hazifanani na watoto kutokana na kubadilika. Mimi hiki sikatai. Watoto wadogo wako katika hatua ya makuzi si jambo la...
  6. Nehemia Kilave

    Hizi ndizo sababu kuu 3 kwanini mfuko wa NHIF unapitia changamoto nyingi katika kuhudumia wananchi

    Habari JF ,Binafsi nimefanya kazi na NHIF kwa zaidi ya miaka 5, kumekuwa na Changamoto nyingi ambazo zinapelekea huduma kupitia huu mfuko kudolola. Mambo haya nimefuatilia ndio chanzo kikubwa ya Changamoto :- 1. ELIMU DUNI KUHUSU MFUKO WA NHIF (hupelekea matumizi yasiyo sahihi na kudhohofisha...
  7. Mama Amon

    Alichosahau kuongelea Rais Samia siku ya mwaka mpya 2024: Fedha za kuendesha Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote zitatoka wapi?

    I. Utangulizi Tayari Muswada wa Bima ya afya kwa wote uliopitishwa bungeni mwezi Novemba umetiwa saini na Rais na kuwa sheria rasmi (imeambatanishwa). Bado tunasubiri kkwa hamu kanuni na taratibu za kuongoza utekelezwaji wake. Sheria hii ni mkakati wa kuipunguzia serikali mzigo wa kugharimia...
  8. Suley2019

    Kigezo cha Ufaulu chawatema Wanafunzi 200 kwenye Samia Scholarship

    Wakati wanafunzi 226 wakitemwa katika ufadhili wa masomo wa Samia ‘Samia Scholarship’ kutokana na kushindwa kukidhi vigezo vya kuendelea kupata ufadhili huo, Serikali imewahakikishia kupata mikopo ili waendelee na masomo yao. Wanafunzi hao ni kati ya 640 walionufaika na ufadhili huo katika...
  9. K

    Katibu wa Mbunge ahukumiwa kwa kifungo cha miezi sita kwa utapeli wa Tsh Milioni 60

    Leo tarehe 3/10/2023 katika Mahakama ya Wilaya Muleba mbele ya Mh Lilian Mwambeleko, imeamriwa kesi ya Jinai namba 91/2023 Jamhuri dhidi ya Adilelius Vedasto Apolinary mwenyekiti wa kikundi cha ujasiliamali cha Umoja wa Vijana Youth Fund cha Muleba pia ni Katibu wa Mbunge, ambapo alishitakiwa...
  10. K

    Kagera: Katibu wa Mbunge Jimbo la Muleba Kusini atiwa hatiani kwa kujipatia milioni 60 fedha za mfuko wa vijana

    KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MULEBA, MKOANI KAGERA Leo tarehe 3/10/2023 katika Mahakama ya Wilaya Muleba mbele ya Mh Lilian Mwambeleko, imeamriwa kesi ya Jinai namba 91/2023 Jamhuri dhidi ya Adilelius Vedasto Apolinary mwenyekiti wa kikundi cha ujasiliamali cha Umoja wa Vijana Youth Fund cha...
  11. M

    Ushauri kwa Bima ya Afya (NHIF): Wekeni uwiano mzuri kwa wanufaika wa wachangiaji wa mfuko huo

    Napenda kuishauri NHIF kuwa kama utaratibu unaruhusu watu sita (6) kwa mchangiaji basi aruhusiwe kuwaweka bila vipingamizi ilimradi wasizidi idadi hiyo inayokubalika. Mfano kama mchangiaji hana watoto wanne aruhusiwe kuwaweka wengine bila kikwazo. Kama mchangiaji hana wazazi wote au mmoja...
  12. bahati93

    Waliomiss kuona mfuko wa rambo

    Wana JF Ni ka mudaa Sasa kamepitaa Baada ya mifuko ya Rambo kupigwa marufuku. Mapakaa nishaanza kusahau inafananaje. Anyway Kama unataka ujikumbushie jinsi ilivyo, na inatumikaje i ngia Youtube alafu cheki ngoma ya SAM WA UKWELI, ATA KWETU WAPO. Samu yupo gengeni anatumia Rambo.
  13. Analogia Malenga

    Tume ya Uchaguzi iwe na mfuko wake na fedha zake

    Katika mkutano wa wadau wa demokrasia nchini ulioandaliwa na TCD. Joseph Selasini amesema Tume ya Uchaguzi iwe na fedha zake, iwe na watu wake na namna yake ya kuajiri badala ya kutegemea fedha kutoka hazina. Aidha amesema suala la uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu ufanyike kwa siku...
  14. Zekoddo

    Uwiano sahihi kati ya mchanga na cement mfuko mmoja kwa ajili ya kuchapia nyumba

    Ety wakuu,, hivi ratio nzuri kati ya Cement mfuko mmoja(Kg 50) na mchanga ni kiasi gani kwa matumizi ya kuchapia nyumba(Plaster). Maana nataka ukuta ulio imara zaidi hata msumari husiingie.. Hawa mafundi wa Mtaani wengi ni Ovyoovyo..
  15. Kidaya

    SoC03 Kuboresha Mfuko wa Bima ya Afya

    Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) ulianza kufanya kazi Julai, 2001 kwa waajiriwa wa serikali kuchangia 3% ya mishahara yao na mwajiri kuchangia 3%. Mpaka kufikia Desemba 2019, mfuko wa Bima ya afya ulikuwa na wanufaika 4,856,062 sawa na 9% ya watanzania wote. Majukumu ya mfuko ni kuwaandikisha...
  16. O

    EDO KUMWEMBE:Mbappe alivyoiweka dunia katika mfuko wake

    WAKATI mwingine dunia unaweza kuiweka mfukoni. Unaishi katika dunia ambayo unaitawala. Dunia ambayo unatingisha na inakunyenyekea. Dunia ambayo unaibabaisha. Nimecheka namna ambavyo Kylian Mbappe amefanya ndani ya miezi 12 iliyopita. Mwaka jana alisaini mkataba mpaka wa miaka mitatu na PSG...
  17. Mama Amon

    Waziri Ummy Mwalimu, Mfuko wa Bima ya Afya unawatesa Wagonjwa wasio na hatia na unakiuka kanuni za utawala bora

    Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu, Napenda kukufahamisha matatizo matatu kuhusu Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF), kama ifuatavyo: Mosi, mikataba yote kati ya NHIF na vituo vya Afya inacho kifungu kinachovunja sheria ya mikataba, kanuni za utawala bora, na heshima ya utu wa wamiliki wa vituo...
  18. Travelogue_tz

    Zuio la usajili wa Polyclinics (Kliniki za Kibingwa) mpya katika mfuko wa bima (NHIF): Waziri Ummy Mwalimu atoe majibu

    SINTOFAHAMU YA ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF): WAZIRI UMMY MWALIMU ATOE MAJIBU KWA WADAU Kumekuwa na kilio cha Wadau katika sekta ya afya juu ya zuio la kusajili Vituo vya kutolea huduma maarufu kama Polyclinic na...
  19. peno hasegawa

    Mbunge /Mwanasheria mwenye kuifahamu sheria ya fedha Za mfuko wa jimbo sura 96 ya mwaka 2006. Tunaomba atueleweshe tafadhali

    Tunaomba msaada kwa mwenye kufahamu anayeweza kutuwekea hapa sheria ya fedha za mfuko wa jimbo sura 96 ya mwaka 2006. Ninaona Halmashauri karibia zote hazijui sheria hiyo na fedha Za mfuko wa jimbo zitakuwa na kutumika na ukoo wa mbunge husika katika jimbo.
Back
Top Bottom