Search results

  1. KALYOVATIPI

    Taarifa kwa NIDA

    napenda kumpa taarifa cjui ni mkurugenzi mkuu au mwenyekiti wa nida(mamlaka ya vitambulisho vya taifa) kuna makero mengi yametutokea sisi wananchi wakazi wa kata ya vingunguti nitaorodhesha kero mbili kama kuna mwingine anazo azianike hapa 1: hakukuwa na sababu ya kututoa vingunguti na...
  2. KALYOVATIPI

    sheikh jongo

    jamani kila nikimkumbuka yule sheikh jongo aliyelia bungeni na kudanganya anakosa usingizi kisa nyerere katukanwa huwa nacheka saaaaana kilikuwa ni kilio cha sekunde kama 3 tu
  3. KALYOVATIPI

    Kuapishwa wabunge leo mtikila itakuwaje?

    Jamani kama kuna aliyeshuhudia uapaji wa mtikila kutokana na msimamo wake kwa kuitetea Tanganyika je atatamka maneno 'mtiifu kwa jamhuri ya muungano wa tanzania??
  4. KALYOVATIPI

    Muhimu mnisaidie wajuzi wa mobile internets

    Jamani nawaomba msaada natumia simu aina ya ZTE U880E ni adroid version namba 2.3.7 na kuna mahali kwenye seting nikiangalia wameandika mobile netwok type EDGE sasa kiukweli hii simu ipo slow sana kwenye internet yani mpaka naboleka naamini jf ndo karibu kila kitu kwangu na kuna watu wa kila...
  5. KALYOVATIPI

    CUF waruhusiwa kuandamana?

    Mwenye updates atujuze ni nini kinaendelea huko walipo maana nimewaona wanaandamana pamoja na polisi nikawa sijaelewa chezo wale polisi hawana silaha ya aina yeyote ile hata rungu nikajiuliza kama ingekuwa ni CHADEMA jamaa wangejikoki kama wanaenda kwenye mapambano na janjaweed au Taliban...
  6. KALYOVATIPI

    Blackberry bold 9780 naiuza ipo kwenye hali nzuri laki 4

    Mwenye uhitaji na hiyo kitu ani pm fasta
  7. KALYOVATIPI

    Matangazo ya kupinga unywaji pombe na uvutaji sigara yapigwe marufuku

    Kwa kuwa serikali yetu kwa asilimia kubwa inategemea sigara na pombe kwenye bajeti ya kuendeshea nchi na bado kuna matangazo wanayotokea kila siku kwenye vyombo vya habari kuwa matumizi ya hvyo vitegemezi vyetu vya bajeti mara ni noma mara ni hatari kwa afya. :my take. kama serikali itaendelea...
  8. KALYOVATIPI

    Nyumba ya barabarani inauzwa

    ipo buguruni karibu na reli iendayo ubungo ina nafasi kama ya mita 5o kwa 25 bei mil 35o ni pm upewe namba ya simu nipale barabara ya mnyamani
  9. KALYOVATIPI

    nawaomba mnishauri

    jamani mimi nimeoa mwaka 2oo9 mke wangu ana miaka 22 lakini tangu mwaka jana mwanzon akaanza kulalama miguu inamwaka moto mara anakosa usingizi mara anahisi anakosa amani mara mwili wa baridi sasa ananiambia anahisi kichwani kama giza muda mwingine haf anajisikia vibaya mwili muda mwingine wa...
  10. KALYOVATIPI

    Polisi msimbazi aibu soma yanayotokea usiku

    pale nyuma ya jengo la msimbazi polisi ni mahala ambapo labda kungefilika ni salama lakin ni kinyume ifikapo saa za usiku kuna vitendo vya ukabaji na ushoga nina uhakika polisi wanalijua hilo kwa sababu ni umbali kama wa mita kumi na sehemu wanazoish na sijui kwa nini wanafumbia macho najenga...
  11. KALYOVATIPI

    Tusiwafuate tena hawa mapadri,masheikh na wachungaji

    tulichofanyiwa na hawa wanaojiita viongozi wa madhehebu ya kidini ni kinyume na hakizote za kibinadam sidhani kama Mungu aliwapa hadi upeo wa kufanya prediction ya kujua kiongozi huyu anafaa yule hafai mpaka wanatuingiza mkenge wa kuchagua viongozi ambao awaendani na hali halisi yetu nawachukia...
  12. KALYOVATIPI

    Viongozi wetu wa Afrika? Wanaboa sana

    yani inasikitisha utakuta jitu limemaliza mihula yote miwili ya uongozi wa nchi lkn alijawafanyia kitu chochote wananchi hafu bado ling'ang'aniza mahakama iunde sheria ya kulifanya eti ligombee mara ya tatu sijui alijui kama wananch wamelichoka. Kama kule kwa Wade senegal yani sijui vp?
  13. KALYOVATIPI

    Dr Maro afariki dunia

    Habari za kusikitisha mmiliki wa zahanati moja maarufu jijini iliyopo mtaa wa swahili kkoo dr f maro amefariki tar 7jan12 mungu aiweke mahala pazuri roho yake
  14. KALYOVATIPI

    Kuna umuhimu ya Libya nato wayafanye Tanzania?

    mambo wana jf? Nlikuwa nafatilia sababu za vita ya walibya na nikajiuliza kwa wizi wa kura wa ccm,(ambao ni sawa na udikteta) kutotoa huduma muhimu kwa raia,haki za raia kupuuzwa,ufisadi na rushwa na mengine mengi. Je ya libya watz hatuyahitaji?
  15. KALYOVATIPI

    Wachina hawafungui maduka leo huruma

    Habari za kusikitisha leo tar 17Oct 2011 wachina katka vipepelush vyao walivyobandika ktk maduka yao yote kariakoo na kwingineko wanasema "leo tar hatutafumgua maduka kuomboleza kifo cha mchina mwenzetu aliyeuawa na majambazi na tunasikitishwa na hali ya usalama mdogo wa raia pamoja na wageni...
  16. KALYOVATIPI

    Inasikitisha kitoto kama cha miaka 2 chakutwa kichakani kikiwa mfu

    ktk hali ambayo imenitia uoga leo asubuhi kumekutwa kitoto cha miaka kama miwili kikiwa kimeuawa na inasadikika muuaji alimfanyia ubakaji kabla ajamuua kutokana na sehemu ya kike na haja kubwa kuaribika sana inatisha. eneo la buguruni mnyamani relini
  17. KALYOVATIPI

    Wosi wangu kwa wana igunga

    ndugu zangu wana IGUNGA najua mpo ktk wakati wa mgumu wa vishawishi vya vyama mbalimbali lakini muhimu muangale kuwa tupo ktk kipindi cha mageuzi ya kiutawala yani msidanganyike kwa yeyote atakaewaletea kanga,kofia,vilemba mkasahau shida zenu za kudumu kama maji,barabara,utu,huduma za afya...
  18. KALYOVATIPI

    Mimi si mbaguzi lakini sina imani na wahindi

    Jamani ee mimi ni mtanzania halisia baba yangu mzawa wa Morogoro, halaf mama yangu mzawa wa Kihagara, Mbinga huko ziwa Nyasa jimbo la gamba Komba. Kifupi mimi imani yangu inakuwa ndogo sana na hawa ndugu zetu wahindi kwa ushawishi wa vitu vifuatavyo 1. Sio watu wa kujichanganya hata kwa kuzaa...
  19. KALYOVATIPI

    Simba dume na mimi nabisha hodi nije niungurume

    jamani na mimi hodiiiiii...........
  20. KALYOVATIPI

    Nisaidieni kujua ghalama za utoaji/ulipiaji pikipiki bandarini na kulisajili

    wana jf mi mgeni humu lakini kifupi naenjoi sana sasa nataka nijue ghalama za pkpk pale bandarini
Back
Top Bottom