Tusiwafuate tena hawa mapadri,masheikh na wachungaji

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,414
197
tulichofanyiwa na hawa wanaojiita viongozi wa madhehebu ya kidini ni kinyume na hakizote za kibinadam sidhani kama Mungu aliwapa hadi upeo wa kufanya prediction ya kujua kiongozi huyu anafaa yule hafai mpaka wanatuingiza mkenge wa kuchagua viongozi ambao awaendani na hali halisi yetu nawachukia sana hawa viongozi kwa kujifanya miungu watu
 
Za kuambiwa changanya na zko.Haya ya kaisari wetu (made from Mlingotini) MUNGU katuachia,and not hs choice I bet.
 
Za kuambiwa changanya na zko.Haya ya kaisari wetu (made from Mlingotini) MUNGU katuachia,and not hs choice I bet.
watanzani waliowengi wanaona kama kufuata maneno ya ya hao watu ni kuingia peponi kumbe wengi wapenda mikun* tu
 
Back
Top Bottom