KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 197
ndugu zangu wana IGUNGA najua mpo ktk wakati wa mgumu wa vishawishi vya vyama mbalimbali lakini muhimu muangale kuwa tupo ktk kipindi cha mageuzi ya kiutawala yani msidanganyike kwa yeyote atakaewaletea kanga,kofia,vilemba mkasahau shida zenu za kudumu kama maji,barabara,utu,huduma za afya, ufisadi,dhulma,nk mkadanganyika kwa siku moja hao mnaowaona huko wapo sababu wanawaitaji kwa kipindi hk nsingependa kuwaona kesho mkilalama masuala ya umeme,maji,ubovu wa barabara huku mkidanganywa na amani iliopo mioyoni mwa wachache wanatafuna nchi hii. Mna mfano mzuri sana wa kujifunza kama mbunge wenu rostam alisema amechoshwa na siasa longolongo za ccm akang'atuka halaf nyi wananch mkaendelea kuichagua atawaona mmeganda kimawazo na kimtazamo. Huu ni wakat wa kupigania uhuru wa kweli tunajua sote moja inaleta mbili mbio zianzie kwenu ili baadae tuwaweke kando wana magamba na tujenge tz yenye neema. Nawatakia uchaguzi wa kheli inshaalah Allah yupo na nyinyi