Nyumba ya barabarani inauzwa

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,414
197
ipo buguruni karibu na reli iendayo ubungo ina nafasi kama ya mita 5o kwa 25 bei mil 35o ni pm upewe namba ya simu nipale barabara ya mnyamani
 
Hiyo Magufuli ataifyeka sasa hivi tu. Nadhani ndo maana mwenye nayo anataka kuiuza ili alale mbele. Nyumba ya barabarani?!
 
Sidhani kama una hizo mil 35o labda kama unataka kujaza au kuleta malumbano tu we nenda chanika au mbezi mambepande utapata hadi mil 5

wewe mwenye nayo hyo mil 350 inunue mwenyewe hyo nyumba, na kama unawajua hao wenye mil 350 si uwatumie PM kuliko kuweka advert public ilhal unawajua hao wenye mil 350. Unashida halafu unaleta jeuri.? Ebooo.
sijui ni lini watu watajifunza namna bora ya kufanya biashara na kupromote bidhaa zao wanazoziuza.
 
Kwani unapofungua duka unategemea wateja waingiao wote watanunua wengne ni vichaa wanataka malumbano kama ww na huyo posta wa upuuzi hapo juu na kifupi sina shida ya hela nina shida ya vp zitaongezeka.
 
kama huna shida ya hela kaa kimya na utoe tangazo lako. Na infact cpo hapa kwa malumbano na sina shida na hyo nyumba. Lakn jibu ulotumia si la kistaarabu kwa mfanyabiashara anayeuza bidhaa yake na usikute wewe ni dalali tuu hata gharama halisi ya nyumba hujui. unaijua nyumba ya mil 350 inavyokuwa ama umekurupuka na kuropoka mil 350.? Ipe hela thaman yake bwana.
 
Hujielewi na hujitambui!
 
Najuta kukumbana na uozo wa maneno umeambiwa nyumba inauzwa mil 35o yule mwenye uhitaji ndo angezungumza sasa wewe hata uhitaji unakuja kujaza page tu hapa na mimaneno yako ya kuudhi sasa unasema eti niipe pesa thamani yake we hyo nyumba umewahi kuiona? kama mmetoroka milembe rudini mkaendelee na dozi .
 
Je nyumba ina hadhi kama ile ya Ezekieli maige? alafu ipo bugurun!!!!!!!!!!

mleta mada hajui marketing, biashara haigombi ndugu, mteja mfalme mbembeleze ili akupe pesa eboooo we wa wapi chaliii?
 
wamekuingiza mtegoni, nawe umeingia kichwa kichwa hadi umepoteza focus ya ku-promote biashara yako. Matokeo yake mnatoleana lugha chafu, mwishowe utashindwa kuuza hiyo nyumba yako kupitia JF. umenifurahisha zaidi pale uliposema kwamba huna shida ya pesa ...una shida ya kuongeza pesa, Bill gates mwenyewe mpaka leo anasaka noti kwa kuleta bidhaa mbalimbali za microsoft. sembuse wewe ndugu wa buguruni mwenye kiwanja kilichopo road reserve, tena squatter yenye ukubwa wa 50 kwa 25? Jipime mwenyewe hapo.
Wewe ridhika na jibu moja tu nakuheshimu unapomwambia mtu ambae hata anaweza kukujibu kuwa nakuheshimu jipime ndugu yangu
 
ndani ya hii nyumba lazima itakuwa imejaa matusi na lugha za kebehi kama mleta mada ..... ati anasema hana shida ya hela .... itoe bure hiyo nyumba basi kama huna shida ya pesa

very narrow thinking
 
Nasikitika kuwa nimepata bahati mbaya wachangiaji wa post yangu 99% wanamatatizo makubwa ya uelewa au ni utumiaji wa vilevi kwa muda mrefu poleni sana.
 
ndani ya hii nyumba lazima itakuwa imejaa matusi na lugha za kebehi kama mleta mada ..... ati anasema hana shida ya hela .... itoe bure hiyo nyumba basi kama huna shida ya pesa

very narrow thinking

Akili yako imeingia vumbi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom