Search results

  1. S

    Matumizi makubwa ya Umeme Nyumbani; Nini chanzo?

    Wasalaam, Naamini hapa ni kila kitu na ninaweza kupata msaada ili kuweza kutatua tatizo lililopo. Ni nyumba ya kuishi, familia yenye jumla ya watu sita (6) - watu wazima wa nne (4) watoto wawili (2). Umeme uliounganishwa ni single phase. Jumla ya taa zinazowashwa usiku kucha ni sita (6) -...
  2. S

    Gharama za Ujenzi wa Nyumba

    Wasalaam wana JF, Naomba kwa wazoefu kujulishwa makadirio ya kupaua nyumba kama hii hapa (picha) kwa maeneo ya Kibaha. Nategemea kuezeka kwa bati sio vigae. Upana wa nyumba ni kama mita 10 na urefu ni mita 18. Asante kwa makadirio.
  3. S

    Cpa (t)

    Pole na majukumu, Naomba kuuliza; Kwa mtu aliyesoma B.Sc in Building Economics (degree ya kwanza) kisha akasoma MBA Marketing, akitaka kusomea mitihani ya uhasibu atakuwa anaqualify kuanza na level ipi ya juu? (Module gani kati ya A, B, C & E) Shukurani.
  4. S

    Body Massage - Moshi Kilimanjaro

    Wandugu, Nilikuwa mjini Moshi kwa takriban mwezi (January 2013), sijabahatika kuona vituo vya kufanyia body massage kama nilivyoona jijini Dar es Salaam. Ni kwamba Moshi hakuna hiyo huduma au?
  5. S

    Nauza gari Tsh 7m

    Ni Toyota Cresta; 1997 model; 1998cc; AT; 99850km (10 July 2012); lipo katika hali nzuri; lipo Dar es Salaam; linauzwa wakati wowote na unanunua na kuendelea kulitumia wakati huo huo kwani halina tatizo lolote. Insurance Comprehensive; Valid Road License etc etc etc. Bei Tsh 7m. Call: 0685386608
  6. S

    namtafta Endaeli M. E. Mnd....

    Heri ya Sikukuu wanaJF,Nimeahirisha kumtafuta. ntatumia njia nyingine.Kila la kheri ktk mwaka ujao wa 2012bye
  7. S

    Bahati nasibu from vodacom

    Hivi wana JF hii kitu ni ya kweli au changa? Nimekuwa mfuatiliaji kwa siku kadhaa,... hiyo draw live inachezwa sangapi? Naomba kufahamishwa zaidi. asante Mega Promotion More than ONE BILLION Shillings up for Grabs in Vodacom Mega Promotion Dar es salaam August 29, 2011. Vodacom Tanzania has...
  8. S

    Kiwanja 1500sqm kinauzwa

    Kipo eneo la Kwembe _ Mbezi/Kibamba panaitwa Kwembe Kati, Maduka sita - lipo kama 3km from Morogoro Road. Halijapimwa lipo nje ya eneo la mradi, umeme umepita kiwanjani. source: jamaa tu nlikutana nae Mbezi Naomba kwa anayefahamu anisaidie kunieleza kama ni halali na salama.
  9. S

    Nauza Kiwanja 30m x 22m

    ....................................
  10. S

    UDSM na taratibu zake mpya

    Asalaam! WanaJF, naomba kujulishwa kama ni kweli Hiki chuo kimebadili viwango vya kufaulu kuvuka mwaka (GPA) au ni kama zamani? Nina rafiki yangu ame-Disco mwaka wa kwanza (BSc) ila anadai GPA ipo poa 2+. Kwa anayefahamu naomba msaada. Asante
  11. S

    Gharama mpya za kuingiza gari Tanzania

    WanaJF, Naomba kufahamu namna gharama/kodi za kuingiza gari Tanzania hususan TRA zinafanyikaje. Nimesikia tu kuwa kuna mabadiliko katika namna ya kukokotoa gharama/kodi kuanzia. Nitashukuru kwa ufafanuzi. Asante
  12. S

    Jamani, hawajui au ni mazingira? (heka/hekta/eka);

    Muuzaji wa kiwanja anakueleza kuwa ni "heka" 1 (naamini anamaanisha eka (acre)1. Ukifika eneo lenyewe ni kama mita za mraba 1000 tu wakati eka ni takriban mita za mraba 4000. Hali kama hii imenitokea kama mara 6 hapa jijini DSM. Je! Ni wanakosea au ni mazingira haya wanaamini kuwa eka ndio...
  13. S

    kama nakosea niambieni

    Wana JF, Napata shida kuhusu maneno "nyimbo" na "wimbo". Nilifundishwa kuwa "wimbo" ni umoja na "nyimbo" ni wingi. Sasa kila siku kwenye redio zetu ".. Nyimbo moja ya banana zoro..." Nadhani ilipaswa kuwa " wimbo mmoja wa banana zoro.." Nikosoeni kama nimekosea
  14. S

    Wadada wapi wanapata hii huduma??????

    Wanaume/mwanaume awe kapera au ameoa akijisikia kutoka nje ya nyumba kupata huduma kama ya mkewe au gf huwa anaenda tu na kununua kirahisi tu tena anachagua anayemhitaji (mweupe/mweusi/mrefu/mfupi/mnene/mwembamba etc). Je! Kwa wadada/mdada atakayejisikia kupata huduma kama ya mumewe/bf huwa...
  15. S

    Kam dispensary Ilala

    wanaJF, jana nilipitia hapa KAM Dispensary (jirani na Amana hospital) kucheki Malaria. Nikiwa maabara nilimsikia mhudumu wa hapo akilalamika kuwa hawana maji ya bomba wala kwenye chombo chochote ya kuwawezesha kufanya shughuli zao vizuri na wameshalalamikia uongozi wao zaidi ya juma (week) moja...
  16. S

    Miujiza ya kutokewa

    kwa anayefahamu kuhusu taarifa/habari za kutokewa na Bikira Maria kwa mtoto mmoja huko Kibosho mkoani Kilimanjaro - Tanzania miaka zaidi ya kumi iliyopita, napenda kufahamu alipo kwa sasa na anafanya nini. Nakumbuka watu walikuwa wanaenda kwa wingi kwake kuponywa.
  17. S

    Nssf/tra/wanasheria/wanajf; msaada katika hili!!!!

    Mimi ni mwajiriwa katika kampuni moja jijini/mjini Arusha (jina kapuni), pamoja na wenzangu kama sita (6) hatujalipwa mishahara yetu tangu October 2010. Juzi (juma lililopita) tumelipwa mshahara wa mwezi mmoja tu tena umeandikwa ni wa January 2011. Niliona ni vizuri kutafuta kazi nyingine wakati...
Back
Top Bottom