Kiwanja 1500sqm kinauzwa

Speedo

Member
Feb 15, 2011
70
19
Kipo eneo la Kwembe _ Mbezi/Kibamba panaitwa Kwembe Kati, Maduka sita - lipo kama 3km from Morogoro Road. Halijapimwa lipo nje ya eneo la mradi, umeme umepita kiwanjani. source: jamaa tu nlikutana nae Mbezi

Naomba kwa anayefahamu anisaidie kunieleza kama ni halali na salama.
 
Kipo eneo la Kwembe _ Mbezi/Kibamba panaitwa Kwembe Kati, Maduka sita - lipo kama 3km from Morogoro Road. Halijapimwa lipo nje ya eneo la mradi, umeme umepita kiwanjani, mmiliki alimiliki tangu mwaka 1980 ndiye anayeuza sehemu ya eneo lake. ameshawauzia baadhi ya watu sehemu zingine.
Mimi sio dalali bali nafikisha tu ujumbe maana ndugu yangu amenunua pia eneo katika eneo hilo.
Bei Tzs 8m.
Nawasilisha

Ngd Speedo, nilifuatilia na kukikuta kiwanja naamini ndicho ulichokilenga.
Kipo Mita 300 kutoka maduka 6 upande wa kulia, then upande wa kushoto (kaka mita 100) maana upande wa kulia kumepimwa na jirani ni kwa mtoto wa kike wa Waziri mkuu mstaafu (FTS), ......
Kama nipo sawa nasikitika kukueleza kuwa nimekikosa maana jana Jumamosi ndio kimenunuliwa. nikajaribu kuulizia kama kipo kingine maeneo hayo nikaelezwa kuwa wenye maeneo hayo ni wenye uwezo na nafasi serikalini hivyo hawana presha ya kuuza. huyo aliyeuza hilo eneo nilimkuta na akaeleza kuwa ameuza kwa malengo yake maalum (ni mstaafu jeshini).

Ndg Speedo endapo eneo nililoelezea ni lenyewe basi sio bahati yangu. Ukisikia sehemu kama hiyo naomba unijulishe - kupitia JF tu nitakupata

Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom