Gharama mpya za kuingiza gari Tanzania

Speedo

Member
Feb 15, 2011
70
19
WanaJF,
Naomba kufahamu namna gharama/kodi za kuingiza gari Tanzania hususan TRA zinafanyikaje.
Nimesikia tu kuwa kuna mabadiliko katika namna ya kukokotoa gharama/kodi kuanzia.
Nitashukuru kwa ufafanuzi.
Asante
 
HI spedo mfumo ni huu mimi ni agent hivo unajibiwa na mtu sahihi haya jinome .

mfumo mpya umekuja kureplace uliopita ambapo bei ya gari ilikuwa maafisa wana search kwa vyanzo ndo inakuwa tax base (cif) lakini kwa sasa TRA imefanya utafiti wa bei zote za magali ya kiwa mapya na kuweka costant deduction formula inayozingatia umri wa gari.

kujua jinsi ya kuipata tembelea hapa Tanzania Revenue Authority - Valuation of Used Motorvehicles

kuona bei zote ingia website ya Tra
 
SAWA MTU SAHIHI NAMBIE GARI HILI PALE KWENYE LIST YA TRA HALIPO NISSAN ELGRAND YA 1998 CC3250 CIF 3925usd Nitalipia kiasi gani mpaka kuliendesha au nambie tu ushuru nitakaopaswa kulipai
 
Back
Top Bottom