Body Massage - Moshi Kilimanjaro

Speedo

Member
Feb 15, 2011
70
19
Wandugu,
Nilikuwa mjini Moshi kwa takriban mwezi (January 2013), sijabahatika kuona vituo vya kufanyia body massage kama nilivyoona jijini Dar es Salaam.
Ni kwamba Moshi hakuna hiyo huduma au?
 
Mkuu,Umezoea vya Kunyonga, Vya kichinja huviwezi. Mademu wazuri tuu wako moshi. Usihangaike kutafuta Madanguro.
 
Mkuu,Umezoea vya Kunyonga, Vya kichinja huviwezi. Mademu wazuri tuu wako moshi. Usihangaike kutafuta Madanguro.

Hapana muheshimiwa,
Nilikuwa napenda kufahamu tu kama hii biashara ya Massage centerz inalipa Dar tu. Huko Moshi nilikuwa nazunguka sana katika shuguli zangu kwa mwezi mzima sijawahi kuona bango lolote la massage senter. au huko moshi wanatumia jina lingine?
 
Huduma ya massage moshi ipo sana,labda ugeni wako ulifikiri utaikuta bus stand.kwanini hukuuliza?kifupi huduma hii ipo kwenye hotel zilizopo nje ya mji na pia shanty town zipo massage centres kibao.karibu tena moshi mkuu.
 
Moshi hawana mda wa kubembeleza mwili wao kazi na pesa mbele mwili ukichoka mtu anaenda kiboroloni kula kitimoto na bia jasho linamtoka na vinyoleo vinafunguka kuliko mtuu aliyeingia kwenye jacuz.Na meku huwa hutupendi kila mtu ashike shike mwili kwani mama keku atafanya nini usiku.
 
Back
Top Bottom