Usijione umekaa hapo kwenye keyboard ya laptop, desktop au simu yako ukajua unaweza kuropoka ropoka tu utakavyo. Tafakari unachoandika kabla hujaandika, haujajificha kiasi kikubwa hivyo.
Kweli wapi huyo nadhani hata ukimuona kwa macho huwezi simama, huenda hata huyo dada alisimama tu kwa kuwa ni mtu wa ofisini.............Mwanaume kichwani sifuri yenye masikio.............kumbafu sana
Kumbafu zako, na nilikuwa nakuchora tu, mpuuzi mkubwa wewe, mshamba wakutupwa, huna haya wala hujui vibaya. Na nilikusikiliza huo upumbavu mpaka nikuone ulivyo mjinga............Yani huna hata akili moja............ptuuuuuuuuuu ana shida huyo anayekubali kuolewa na wewe. Pumbafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Mariooooooooooooooooooo nao wamezidi siku hizi. Dume zima linategea mwanamke biliiiiiiiiiii, na mizinga ya hapa na pale, niazime laki, niazime buku 20 ntarudisha jioni.................Ndo ntoleee hiyooo huioni. Hilo nalo umeliangalia?
Siwezi kumpenda mtu wa hivi hata kidogo.................mmh ukianza kumwadithia mastori yako, anakupotezea je? Hapana, wakawe Manabii wa Mungu na wahubiri kwani wana muda mrefu wakutafakari nakutafuta uwepo wa Mungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.