Wanawake wanaojiuza, si wale tu wanaosimama barabarani na kwenye baa

Status
Not open for further replies.
i like this;kwasababu kwa eyes za wanaume wengine bado wao ni prostitutes!
when it reaches a point ya kumtukana mamako,your bibi na wengine..kweli siku za mwisho zimekaribia.

Lakini mimi nimem-quote napoleone bonaparte ndiye alisemaga hayo maneno Mkuu.
 
Hahah. . . . . wenyewe wanasemaga you are deep in shalow dude!

Mnajitahidi sana kuwalabel wanawake.
Na ninachokiona hapo ni ushabiki tu.

Anyways. . .
Let's wait and see. . . . kama itawafaa kitu!
 
We thubutu, huwa natoa baada ya kula mzigo... By the hivi unapokula hela ya mwanaume huwa unawaza nini kitafuata..??? Au unamtazama kama kaka au baba yako ..???

ujue nini Ngalikihinja, nyie wanaume mnapenda kujigongagonga sana kwa mwanamke tena hasa pale inapoonyesha umemfukuzia bila mafanikio ndipo hapo mnapoanza kutoa hela kwa lengo la kuweza kunishawishi niwe nawe, sasa tatizo linakuja kuwa pesa zako nazifyeka na k sikupi maana sijakuomba na wala siuzi... Upo!?
 
Last edited by a moderator:
ujue nini Ngalikihinja, nyie wanaume mnapenda kujigongagonga sana kwa mwanamke tena hasa pale inapoonyesha umemfukuzia bila mafanikio ndipo hapo mnapoanza kutoa hela kwa lengo la kuweza kunishawishi niwe nawe, sasa tatizo linakuja kuwa pesa zako nazifyeka na k sikupi maana sijakuomba na wala siuzi... Upo!?
We hujakutana na migume gume iliyoshindikana na mtume....
 
Last edited by a moderator:
Unajua ni ngumu kumjibia mtu ni kama tu nikisema hivi kwanini wanaume ni walaghai bado siwezi pata jibu sahihi. Sasa ukahaba ni tabia ya mtu na iko pande zote 2 yaani kwa mwanaume na kwa mwanamke. Na hasa anaechangia kwa kiwango kikubwa mwanamke kuwa kahaba ni mwanaume. Anakutana na mwanamke descent baada ya kumlaghai kwa mambo mengi na ahadi za kuoana anajikuta anaingia mtegoni baada ya muda mwanaume huyu anamdump kwa kusema hakua wife material

come on!what a lame justification, yani mwanamke mwenye maadili kweli anaweza kubadili tabia na kuanza kuuweka rehani mwili wake kwa kila mwenye uwezo+nguvu za kiume..simply kwa sababu alikuwa dumped na mtu aliyetarajia atamuoa??? you're surerly out of order! tafadhali rekebisha hali ya hewa kwa kutoa sababu nyingine.
 
come on!what a lame justification, yani mwanamke mwenye maadili kweli anaweza kubadili tabia na kuanza kuuweka rehani mwili wake kwa kila mwenye uwezo+nguvu za kiume..simply kwa sababu alikuwa dumped na mtu aliyetarajia atamuoa??? you're surerly out of order! tafadhali rekebisha hali ya hewa kwa kutoa sababu nyingine.
Ongea taratibu mkuu hebu soma vizuri nimeandika nini usirukie tu kujibu kabla hujapitia comment nzima hasa nakushauri anzia mwanzo nafikiri utaweza kuelewa. Ufuska narudia tena ni tabia ya mtu haijalishi ni ke au me na hii haiwezi kutumika kuwaunganisha wanawake wote. Wote wanaofanya ufuska wanasababu zao sasa mpaka uwafuate na kuwauliza kulikoni ni kama tu wanaume walioamua kuwa mashoga nao wana sababu zao sasa hii haiwezi kujumuisha wanaume wote kuwa mnakulana tigo . Maanake hiii inaonyesha nyie wanaume mmewapitia wanawake sasa mmechoka na kuanza kupitiana wenyewe hadi wanyama khaaaaaaaaaaa shame on you. Kwa ushauri tu wote wanaohusika na uchafu wa aina yoyote mrudieni Mungu kwani yeye ni mwingi wa rehema atawasamehe na kuwavalisha vazi jipya.
 
JFL&G,
Huu ni ukweli hata tukipinga hakuna mwanamke asiyejiuza tofauti kuna aina mbili tu za hii biashara.

1. Wale wanaojiuza kwa kutafuta wateja kusimama mabarabarani.
2. Hawasimami barabarani wanaenda kwa special order, kufahamiana kwanza kama urafiki, kupitia mitandao, kukutana kwenye bar na magari n.k

Ukitaka kujua kuwa wote hawa wanajiuza, mlale mwanamke halafu usimpe noti uone zali litakavyokuwa!


======================================================
Updates 1.
======================================================
Fanya uchunguzi hapahapa jijini Dar, nakuhakikishia ni wanawake wachache sana labda 2%-10% ambao hawako kibiashara juu ya mapenzi.

1. Kuna demu mzuri sana anafanyakazi (ofisi kubwa) ya sirikali mshahara wake ni zaidi ya Tshs m2 kwa mwezi anabwana ake tena wameshibana lakini juzi tu akawa anataniwa na rafiki yangu mmoja mwenye nchi ndafuu sana kuwa nataka kukuoa, kama vipi uje home tuonje tunda bana, tena demu aliweka mafuta yake akaja na gari yake akavurugwa kisa uanjua nini hapa?? Pesa huyu anajiuza ila yeye ni kwa investiment huyu ni MUWEKEZAJI!!

2. Kuna demu anasoma chuo kikuu anatamba sana kwenye mitandao na kuweka picha ya bwana ake kila mara juzi kati mchizi wangu kamuanzishia chat kwa fb mpaka muda huu kashatoa uroda biashara ni ileile kila akitaka kutoa nauli, alipewa mara ya kwanza elfu 20 alikasirika sana, huyu ni mjasiriamali.

3. Nenda Bar yoyote Dar, hata mhudumu unayemuona anajiheshimu akikuletea soda au bia yako mnong'oneze mwambie nina lfu 50 tukalale wote, hakikisha una simu maana tayari mzigo umepata hii nayo ni biashara anauza sema tu ni parti time.

4. Usimuone mmama wa makamo mkubwa na mkurugenzi wa kampuni fulani mwambie ninajua kula mzigo lazima utampata tu wewe usiogope sura yake na heshima yake ongea tu, huyu naye anauza sema yeye ni doner.

5. Mademu karibia 80% Dar wanamabwana zaidi ya 5 kila mmoja amepengwa kisawasawa, kweli anao watano aende buguruni kufanya nini?

Hata mkikataa mnajiuza tena mnajiuza vibaya sana dunia imeisha tu.


==================================================
Updates 2
==================================================
Nimepata PM nyingi sana za malalamiko, nimeona post kama mbili zimeanzishwa kuipinga hii post bahati mbaya zimekuwa post za hasira ma matusi badala ya kuiface hoja. Najua pia wengi sana watakuwa wamebofya report abuse vya kutosha, na hata kunichongea sana kwa mods ili thred ifutwe lakini mods wanakili wameuchunguza uzi na kuona wacha darasa liendelee. Napenda nitumie muda huu kuongezea tu machache kama kujibu hoja za wanaolalamika.

1. Kuna ukweli kwamba neno "KILA" limeleta picha tofauti lakini si picha ya mantiki, na kwa kudhihirisha kuwa wanawake wamekamatwa pabaya ni pale wanapokuja na hoja nyepesi ya kushadadia neno "KILA" huku wakiacha mada na mantiki kamili ya uzi. Wengine wamediriki hata kusema sina nidhamu kwa mama yangu, na nimemtukana mama yangu sijui hayo nimeyaandika wapi? Kama ni kosa na kujeneraizi mbona nanyinyi mnajeheraizi kwa kuniambia nimetukana mama yangu? Unajua mama yangu yuko wapi? anafanya nini? ana umri gani? Kwanini mnamface mama yangu? kwani ndo kaandika hii thred? mniface mimi mwenyewe.

2. Ukweli uko hivi, hili neno "KILA" limejumuisha wanawake wote wanaojihusisha na ngono, kama mama yako, dada yako, bibi yako hajihusishi na ngono wanini kumuunganisha kwenye thred ambayo haijamtaja? Lakini pia nimesikitika sana kwamba mnasahau ukweli ulivyo, hebu angalia hapa chini:-

=======>>>> Kusema kweli kwa mwanamke anayejiheshimu, anayeshughulika na mambo ya maana asiye na tabia za kuelekea na haya niliyoyasoma hawezi kukaa kukoment mada za ujinga ujinga huku JF, nyinyi mnaotukana na kuonyeshwa kukerwa na hii mada mmekoment mada ngapi za kipuuzi na kipumbavu humu ndani? siyo nyinyi mnaoshadadia kila mada ya huku MMU ya kuchangia bila kukosa? hili tu linaonyesha nafsi zenu zilivyo na utayari wa kuunajisi usafi mnaoutetea.

========>>> Kama kweli inawauma, mnasahau msemo usemao samaki mmoja akioza wote wameoza? Kama mna nia na mnasema mpo wanawake wasafi na wenye tabia njema pambaneni na hao wanawake wanaowachafulia jina kwa kuwaelimisha, kama wataendelea sifa inabaki vilevile kwa wanawake wote, acheni kulia lia vinginevyo jibadilisheni jinsia. Waelimisheni hao dada zenu, na machangu n.k wajiheshimu wasijiuze.

========>>> Kama mnabisha hao wanaojiuza wanatoka wapi? Si kwenye familia zenu nyinyi ambao mnajidai wasafi? mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Daima boga huzaa boga na nguruwe huzaa nguruwe, kama wazazi au wanawake mngekuwa mnatabia nzuri ongezeko la maasi ya wanawake kujiuza lingeongezekaje??? Jichunguzeni siyo kuja kunililia mimi hapa nimewadhalilisha angalia uovu unaofanywa na wanawake wenzenu mlie nao hao maana kama kuna mamba mto Ruaha basi tutasema Mto ruaha una mamba!

======>>> Kusema kweli wanawake mmeharibika mno siku hizi na mnatumia kigezo cha maisha magumu, ni aibu sana kwa wanawake, je wewe unayejidai ni msafi ulishawahi kumuonya hata dada poa mmoja au kumpa elimu juu ya tabia yake hiyo? Hata hili tu linatosha kuwaingiza kwenye lawama kwamba mmewaangalia tu wenzenu wanawachafua, unataka nani akuite msafi wewe wakati wanawake wenzako wanainajisi jinsia yako na wewe unaangalia tu? Ulishawahi kusikia tamko au wanawake wanaandamana kupinga wenzao wanaojiuza? fungeni kinywa cha kulalamika angalieni kwa undani mnaelekea kubaya zaidi.

=====>>> suala la ngono au tendo la ndoa siyo baya lenyewe lipo tu, na lipo kwa ajili ya furaha ya wote mwanamme na mwanamke, wote wanahitaji hicho kitu hakuna anayekataa, shida inaanzia pale nyinyi mnapoinuka na kwenda barabarani kuomba hela ili mfanyiwe ngono upuuzi mkubwa sana huu, au kuwatafuta wanawaume mkisha lala nao mnaomba pesa hii ndiyo imesababisha ongezeko kubwa la umalaya hapa nchini.

====>>> Sikatai mnunuzi pia anashida, lakini utanunuaje au utanunua wapi kama bidhaa hiyo hakuna? Hakuna mwanamke anayeweza kusimama sasa hivi mbele ya jukwaa akawatetea wanawake wengine kama ni samaki ameoza sana na kama ni embe limeoza sana hata likisafishwaje halifai kwa kula tena.

=====>>> Namalizia kwa kusema kwamba kama wewe ni msafi, kama mama yako ni msafi, kama mama yangu ni msafi, kama dada yako ni msafi nyamaza hakuna ujasiri wawanawake kusimama mbele siku hizi kujitetea, wengi wenu mmeoza tena mnaoshinda kwenye mitandao ya kijamii ndo hatari sana, mnatongezewa facebook tu mnakubali, hakuna lolote la kujieleza ninasema hakuna lolote la kujieleza, wanawake mmelifikisha mbali sana taifa hili, hata laana na mapigo mengi ya nchi hii yanatokana na rate ya uasherati kuwa kubwa. Mbona zamani haikuwa hivyo????

Mnisamehe tracy, sister, charminglady, na wengine wote. Rekebisheni jamii yenu imeoza.

Sasa si ndio hizo tunazisema, (WETS) & (CSW)
 
Hao wanaowagegeda hao wamama ni punda? Kama ni wanaume wao si malaya kati ya hao hawapo wenye ndoa au wapenzi wao au wanaume wamehalalishwa kwa hiyo kazi kama ingekuwa ni lengo la kukosoa hapo pande mbili zote zina lawama na si kutusi wanawake tu.

mwanamke anaombwa kwa nn akubali kirahisi tu?
 
Sister, unakosea... Hivi unadhani kama wewe unauza, kunzaa kwako kunabadilisha chochote kwenye uuzaji wako..??? We nibebe tumboni, nilee nikiwa mtoto, nitunze kwa gharama yoyote ile, kama unajiuza kunizaa kwako hakubadili tabia yako ya kujiuza.

Kuna watu wanadhani kuwa kama kamzaa mtoto basi mtoto anatakiwa asiseme chochote juu ya tabia zako. Kama wewe ni mwizi, basi ni mwizi tu whether umenizaa OR not... Acheni kudhani maovu yenu yanafichwa na uwezo wenu wa kutuzaa.
inategemea wew mama unamchukuliaje.....kama unamchukulia ni mtu ambaye alipaswa kukuleta duniani tu basi ulichokiongea hapo ni sawa.....

ila mim mama kwangu ni zaidi ya hayo.....hata kama ni mwizi sitaacha kumpatia heshima anayo stahili......na yeyote atakaye mvunjia heshima ata deal na mim......pamoja ni kwamba mama ni mwizi lakini.....sitakuacha ukimvunjia heshima........ni mama yangu na thamani yake ni kubwa sana kwangu hata kama ni mwizi
 
Mariooooooooooooooooooo nao wamezidi siku hizi. Dume zima linategea mwanamke biliiiiiiiiiii, na mizinga ya hapa na pale, niazime laki, niazime buku 20 ntarudisha jioni.................Ndo ntoleee hiyooo huioni. Hilo nalo umeliangalia?
 
You are missing the point, issue haipo kwenye uwezo wa kumface au la... Bali machafu yake. Kwamba ni mama yako does not take her nje ya uchafu wake... Kama anajiuza, ni mchafu whether ni mama yako au and haijalishi unaweza kumface au la... Mbona wengine mama zenu wakiwa wanchukuliwa na wanaofanana umri nyie huwa mnakasirika sana..?? Na wengine hufikia kumwambia ubaya wa uchafu wake...

Samahani ila nadhani hukunielewa..
facing my mum was just a symbolism ya kuacknowledge publicly and kumvunjia heshima na kuchukulia makosa yake kama njia ya kumshushia hadhi yake kwangu.
kama naweza kumtusi hadharani that means nimemvunjia heshima kubwa na kwangu wazazi ni Miungu wa hapa duniani.

je ikitokea mtu mamaake au baba ni mlemavu,hujawahi kuona wengine hawataki hata kutembea nao au kama yuko mkoa mwingine husema hana mzazi?.its just the same as this topic just different circumstances

Na kama unamthamini baba na mama yako(my oipinion) mara nyingi kuwavunjia heshima watu wazima ni vigumu sana(sio kuwa its right kuwavunjia watu wa rika au wa chini yako)
hata baba yangu awe jambazi aje huwezi kunikuta namdiscuss kuwa he is one na kumwita hafai.
Binafsi my mum and dad are my idols,sio kuwa they are perfect as human beings ila they are perfect as parents and am thankful to God.sasa my dear,kuwe tu na mipaka,if unaweza kuwatusi wazazi wako,some of us hata kufikiria hilo hapana.
kuna topic nyingi tu huku za tabia za wanawake na wanaume ila kusema ni wote wako hivyo,nop.
Ndio maana from the start,my only point is:usipende kugeneralize vitu kwani maisha yako si ya wengine,kuna watu hata hawajawahi kumuona mtu akijiuza na leo umwambie hata mamake anajiuza,kweli?kama you are sorrounded by negativity usipende kuambukiza wengine but yet jaribu kutafuta njia ya kujua the cause and effect ya hivyo vitu ili ujijenge.
lets just be logical and rational when addressing issues.
my view
 
this reality is also applicable to men!

let us not kill women by this arguement!
 
Halafu unabisha kuwa hakuna wanaojiuza na huku komenti zenyewe ndo hizi...

Katika hao wanajiuza mama ako na dada zako wapo so instead of kuhangaika na keyboard kwa id fake hebu deal nao hao kwanza then uje kutupa majibu hapa...........
 
Hebu nipishe mie nikale!!!!!! maskini wa fikra, wavivu, wapenda vya bure ndo wa kwanza kulalamika......... kama unauziwa si uache kununua!!!!!!!!

Tatizo binadam akiacha kununua atauziwa hata mbwa au punda so bishara inakuwa iko palepale
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom