Rais Magufuli awashangaa Kagera: UKIMWI nyie, tetemeko nyie, mna mto unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero

Katerero mh aisee mbona kwenye hii thread nackia harufu ya friction ya papuch.....
 
Pia Zika na Ebola kwa hapa Bongo ni kule. Miaka ya 70 wakati kaswende ilitikisa dunia, kwa hapa Bongo Kagera ndiyo ilikuwa inatamba kwa kututishia amani hapa nchini. Kwa kweli Kagera kuna hatari
Haya magonjwa mengi yanaanzia uganda ni rahisi kufika kagera...
 
Povu jingi LA niini wewe wacha mziki uendelee
Itz a shame..a big shame.....kwanza uwatusi wahanga kwa dhihaka kubwakubwa....hivi huyu mtu anafikiri kweli kabla ya kutendah...!!? Kweli wana Kagera waliomba GONJWA la ukimwi kutoka kwa Mungu...!!? Je ni wao waliomba kwa Mungu awaadhibu kwa TETEMEKO.....!!? Mto Ngono umewauliza asili ya neno na maana yake au ndio akili yako Mtukufu ilipo lalia......!!? Nakumbuka umewahi kumnyanyasa kisaikolojia mama aliye ulizia HOBBIE yako ....sasa nimekuelewa....!! Je kijiji cha KATELELO umewauliza wazee wa KAGERA asili ya neno na maana yake...!!?

MAGU.....Mbona wewe unaitwa Pombe (baba wa maasi) na bado ukienda kanisani unapewa baraka...!!?

Magu..watake RADHI wana Kagera....hata kama ni watani wako...utani usiuweke katikati ya MSIBA.....

Mwisho unawadhihaki kwa kuwaambia KAGERA OYEEE...!!?

BILA CHEMBE YA AIBU...Mungu anakuona...!!
 
Mimi jana nilicheka sana. Jamaa kwakweli anajua kuburidisha na hilo ndo linanifanya niwe namsikiliza maana walau nitacheka tena sana! "NAPENDEKEZA SHULE HII IITWE TETEMEKO SECONDARY SCHOOL " pamoja na mto Kangono na kijiji cha Katerero ilikuwa full buridani!!
 
Back
Top Bottom