Mume wangu anapenda tu kifo cha mende

aiseee ni aibu sana!!

Mumeo kabisa au mchepuko!!

Shame on us!!women!!

usijifanye unastuka kisa aliyeandika mwanamke..angeandika mwanaume ungemshauri hata japo kastyle kamoja.
nimegundua nusu ya waliochangia humu ni wanafiki au wahanga wasioweza kujielezea yanayowasibu
kungwi yupo mitandaoni? unataka nifwate aliyonifundisha kungwi ili jamii inayonizunguka ijue yangu ya ndani
kuna anayenifahamu huku?
hujui tu kama nibora uongee humu usikojulikana kuliko kuongea na wanaokufahamu ndo ntakuwa nimemvua nguo mume wangu.
siamini mtu yoyote kuongea nae mana haitokuwa siri tena..hao makungwi wenyenye 90% wameachika ndo atanishauri nini.
wacha unafiki wewe
 
Ukute jamaa ana tatizo la kisaikolojia au kimaumbile. Baadhi ya positions huwa very uncomfortable kwa baadhi yetu. Ongea naye vizuri.
 
usijifanye unastuka kisa aliyeandika mwanamke..angeandika mwanaume ungemshauri hata japo kastyle kamoja.
nimegundua nusu ya waliochangia humu ni wanafiki au wahanga wasioweza kujielezea yanayowasibu
kungwi yupo mitandaoni? unataka nifwate aliyonifundisha kungwi ili jamii inayonizunguka ijue yangu ya ndani
kuna anayenifahamu huku?
hujui tu kama nibora uongee humu usikojulikana kuliko kuongea na wanaokufahamu ndo ntakuwa nimemvua nguo mume wangu.
siamini mtu yoyote kuongea nae mana haitokuwa siri tena..hao makungwi wenyenye 90% wameachika ndo atanishauri nini.
wacha unafiki wewe
Hahaaaaa.....!!!pole wee kwa kua umeolewa mtandaoni basi omba ushauri humu humu mtandaoni!

hivi kingine kungwi mpk awe jirani au sijui nani?!!!

Ndoa uliitaka mwenyewe hiyoo Dada hilo segere licheze mwenyewe ndugu!!

Hizo ni siri za ndani za mmeo na wewe dadaa!!

Yapo ya kuongea sio kila usemacho ni sifa...!!

We si ulijua toka uchumba kua mmeo anastaili moja...?

Sasa uliolewa ili uvae shela au kutoa gundu!??????

Ulitaka kufunga mtaaaaa..eeeehhh..uonekane umeolewa si eti?!!!

Pole sana aiseeeh!!!

We ndo mnafiki wa kwanza,vumilia tu mama kifo cha mende hiko ndo cha kwako hikoooo...!!

Hao wabinuka judo hujabarikiwaaa....

Au labda kama umefata kiki humu!
 
Kingine kabla sijasahau kama unataka PM za wabinuka judo utazipata tu mamaaa
 
Tatizo la kuanza unzizi kabla ulijuaje kwamba hizo style nyingine zitakupa raha kiliko hiyo,maana huwezi kutamani usichokijua.
 
Hahaaaaa.....!!!pole wee kwa kua umeolewa mtandaoni basi omba ushauri humu humu mtandaoni!

hivi kingine kungwi mpk awe jirani au sijui nani?!!!

Ndoa uliitaka mwenyewe hiyoo Dada hilo segere licheze mwenyewe ndugu!!

Hizo ni siri za ndani za mmeo na wewe dadaa!!

Yapo ya kuongea sio kila usemacho ni sifa...!!

We si ulijua toka uchumba kua mmeo anastaili moja...?

Sasa uliolewa ili uvae shela au kutoa gundu!??????

Ulitaka kufunga mtaaaaa..eeeehhh..uonekane umeolewa si eti?!!!

Pole sana aiseeeh!!!

We ndo mnafiki wa kwanza,vumilia tu mama kifo cha mende hiko ndo cha kwako hikoooo...!!

Hao wabinuka judo hujabarikiwaaa....

Au labda kama umefata kiki humu!

we jua ya kuwa kungwi awe jirani au si jirani siri itatoka tu
na kwa taarifa yako sijaolewa mitandaoni
katika sehemu safe za kutoa ya moyoni ni mahala hapa kama hufahamu ndo ufahamu sasa hivi
wala sihitaji pole nshapata suluhisho hayo yako ya nyongeza tu unajifurahisha.
we ni mnafiki tu hata useme nini
 
Alijua atabadilika kwenye ndoa...

Pamoja na hayo, usiwaamini sana watu humu, pengine hili ni dume, linaangalia tu tunavyotoa povu.
hahahahahahaaa... hata mimi nmeshawasoma mwingine anakuja na gia ya kutafuta mchumba(mwanaume) wakati nae ni jinsia hiyohiyo, alafu walivyokua hawaweki akiba huo uongo wao utashangaa kesho kutwa anakuja na mada "mke wangu anachepuka na boss wake":(
 
Tatizo la kuanza unzizi kabla ulijuaje kwamba hizo style nyingine zitakupa raha kiliko hiyo,maana huwezi kutamani usichokijua.

kwani siri, ndio nilianza uzinzi kabla ya kuolewa..hata wewe ukute unazini hapo ulipo
asilimia kubwa ya watu wanazini kabla ya kuoa/kuolewa msijifanye malaika
 
we jua ya kuwa kungwi awe jirani au si jirani siri itatoka tu
na kwa taarifa yako sijaolewa mitandaoni
katika sehemu safe za kutoa ya moyoni ni mahala hapa kama hufahamu ndo ufahamu sasa hivi
wala sihitaji pole nshapata suluhisho hayo yako ya nyongeza tu unajifurahisha.
we ni mnafiki tu hata useme nini

pole bwana Mrs kifo cha mende!!!

Punguza hasira ndo ushaolewa hvyooo!
 
pole bwana Mrs kifo cha mende!!!

Punguza hasira ndo ushaolewa hvyooo!

uzuri sijasema siridhiki,,ananikojoza uzuri..sema tu kifo cha mende style moja kila siku nayo yachosha.

wala sina hasira, kukasirika ni sawa na kukasirikia mtu simjui ni sawa na kukasirikia ukuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom