Rais Samia, jaribu kufuata nyayo za Hayati Magufuli

Unataka kumlinganisha na yule mwehu jambazi na muuaji?
Kumlinganisha Mama SSH na yule mtu ni sawa na kulinganisha Mbingu na Jehenam I swear!
Ni kweli kabisa watu wanaomtetea yule jamaa wana laana yule jamaa angeendelea kutawala nchi hii walio tofauti na yeye kimtizamo wangeacha watoto wao yatima
 
Katika hali ya kawaida kabisa:-
Aliyeingiza Tanzania uchumi wa kati na aliyeishusha Tanzania kiuchumi nani Bora?
...
Muwe mnafuatilia mambo kuongeza maarifa. Ujinga mlionao ni mzigo mkubwa kwenye maisha yenu.

Mfumko wa bei haukudhibitiwa na Magufuli. Mfumko wa bei ulishuka kutokana na kuanguka sana kwa bei ya mafuta Duniani kulikosababishwa na mahitaji madogo ya mafuta kutokana na kuwepo kwa covid 19.

Wajinga eti wanasema Magufuli alidhibiti mfumko wa bei ya Mafuta. Magufuli alikuwa na uwezo wa kushusha bei ya diesel hata dola 1 kwenye soko la Dunia? Kweli nchi ina watu wenye uelewa duni sana wa mambo mengi.

Alidhibiti mfumko wa bei kwa kuiba pesa ya umma na kwenda kuificha China? Au ninyi ndiyo mlikuwa mikono yake ya kutekelezea wizi wake?
 
Mama, ulisema kuwa viatu vya JPM havikutoshi, na hata Watanzania wameshaona hivyo kuwa havikutoshi kweli kweli.

Lakini pamoja na hayo, naomba angalau ujaribu kufuata nyayo zake kwa baadhi ya mambo...
Kila zama na kiongozi wake, sukuma Gang
 
Mtawala yeyote muuaji ni laana kwa Taifa.

Hakika Rais Samia viatu vya marehemu vya kuteka watu, kuua na kubambikia watu kesi, havimtoshi, alinena vyema...
Huyu anaua na anaendelea kudhulumu mamilioni ya watanzania hususan masikini kwa tozo za kipumbavu na kuua maelfu kwa njaa, ubovu wa miundombinu huduma mbovu za afya n.k afadhali anayeua mmoja mmoja kuliko huyu anayeua maelfu! Hakika laana za tozo zitamuandama na dhulma yake itamfuata
 
Wengine sijui huwa mnafikiri kwa kutumia makalio!?, hivi hebu nisaidie wewe mjuvi,nchi kuwa uchumi wa kati inajiweka yenyewe au zipo taasisi za kimataifa ndio zinapima nchi gn imefikia uchumi gn kwa takwimu?
Tatizo wengi uelewa wenu ni duni. Utawala wa Mkapa uliongeza percapita income kwa dola 400, wakati wa utawala wa Kikwete, percapita income iliongezeka kwa dola 380. Wakati wa utawala wa Magufuli per capita income iliongezeka kwa dola 80. Ewe mwenye uelewa duni, katika tawala hizo tatu, ni tawala zipi zilikuwa na mchango mkubwa kumwingiza mtanzania kwenye lower boundary ya middle income?

Kama uwezo wako ni duni sana katika kulielwa hili, chukua mfano ufuatao.
Unasafiri kutoka Dar kwenda Mwanza. Gari la kwanza lunaitwa Mkapa, limekupa lift toka Dar mpaka Singida. Gari la pili linaitwa Kikwete, limekupa lift toka Singida mpaka Usagara (Misungwi), na gari la tatu linaitwa Magufuli likakuchukua Misungwi mpaka stand ya Nyegezi. Katika hayo mabasi matatu, lipi au yapi yamekuwa na mchango mkubwa katika safari yako?
 
Amekalia tu maridhiano na mbowe utafikiri mbowe ndio raia pekee mwenye matatizo hapa nchini.
 
1.Hata umeme unahitaji data?
2. Uchumi wa kati si ulitangazwa na WB?
3. Mfumuko wa bei unahitaji data?
Umeme unakatika wapi huko? Maana kwangu masaa 24 upo,

Ni lini WB walitangaza Tanzania haipo uchumi wa kati tena?
 
Mama, ulisema kuwa viatu vya JPM havikutoshi, na hata Watanzania wameshaona hivyo kuwa havikutoshi kweli kweli.

Lakini pamoja na hayo, naomba angalau ujaribu kufuata nyayo zake kwa baadhi ya mambo...
Kwanza kabisa nchi hii haijawahi kuingia uchumi wa kati zilikuwa ni fix za mwendazake ndo mana hakitaka vyombo vya habari vihoji chochote ili kutoombuka, akaviua kabisa.

Pili Samia alipoingia madarakani tu vita ya Ukraine na urusi ikaanza na kila kitu kikaoanda bei kutokana na mafuta na nafaka nyingi kutoka mrekani hivyo si Kosa la sa100.

Umeme jpm alikuwa hafanyi repairing ya vifaa hivyo Samia anafanya repairing. Magufuli alianzisha vimiradi vingi kwa pupa bila kujali capacity ya uchumi wetu na Nina uhaka angekuwepo angekuwa Sasa hivi analipa kama mtoto kuomba msaada. Sema faida ya jpm mungu alimuondoa ghafla kabla hajaanza kutoa vilio kama chizi
 
Mama, ulisema kuwa viatu vya JPM havikutoshi, na hata Watanzania wameshaona hivyo kuwa havikutoshi kweli kweli.

Lakini pamoja na hayo, naomba angalau ujaribu kufuata nyayo zake kwa baadhi ya mambo...
Ukweli hauwezi kubadilishwa JPM alikuwa mwakilishi wa Shetani, mama piga kazi na tunaona na kukubali mambo yako mama. Kuna amani mioyoni mwa watanzania wengi.

JPM aendelee kuongoza malaika wa Shetani huko Jehannam
 
Wengine sijui huwa mnafikiri kwa kutumia makalio!?, hivi hebu nisaidie wewe mjuvi,nchi kuwa uchumi wa kati inajiweka yenyewe au zipo taasisi za kimataifa ndio zinapima nchi gn imefikia uchumi gn kwa takwimu?
najua kuna kitu kinakusumbua lkn sio uhalisia, Huyu kiumbe wako aliharibu uchumi wa nchi kabisa na tulishafikia kuwa mufilisi! Huo ndio ukweli!
tatizo ushabiki wa kikanda ndio unawasumbua na kuacha uhalisia wa nchiilivyoachwa, kumbuka matumizi ya pesa za Umma alikuwa anagawa anavyotaka yeye! Huu ndio unaitwa uendawazimu mtupu!
 
MchaMungu anayetesa wananchi kwa tozo za ajabuajabu? Mchamungu anayeua raia wake kwa ubovu wa miundombinu huduma mbovu za hospitali na gharama za maisha kupanda? Mchamungu anayehangaika na ziara za hovyo semina hafla za kulamba asali kwa fedha na jasho la masikini Huyu ni zaidi ya muuaji
Usijione umekaa hapo kwenye keyboard ya laptop, desktop au simu yako ukajua unaweza kuropoka ropoka tu utakavyo. Tafakari unachoandika kabla hujaandika, haujajificha kiasi kikubwa hivyo.
 
Mama, ulisema kuwa viatu vya JPM havikutoshi, na hata Watanzania wameshaona hivyo kuwa havikutoshi kweli kweli.

Lakini pamoja na hayo, naomba angalau ujaribu kufuata nyayo zake kwa baadhi ya mambo...
KILA AWAMU NA UENDESHAJI WAKE WA NCHI, RAIS WETU, USIFUATE NYAYO ZA AWAMU YA TANO HATA KIDOGO KWANI NI NJIA YA MOTONI KWA SIKU ZIJAZO!
 
Mama Samia iga mazuri acha mabaya.
Mazuri...simamia sana uwajibikaji umeshuka serikalini.
Upigaji.

Mabaya
Utekaji
Kuminya uhuru wa watu
U Mungu mtu kwa baadhi ya wateule kama Makonda na Sabaya
 
Mama kufuata nyayo za yule mtu ni kujitakia kifo cha mapema kabisa
 
Pia alikabidhiwa kijiti nchi ikiwa imejaa watu wasiojulikana na sasa hawasikiki tena!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom