Nimemfumania mke wa rafiki yangu na ameniingizia zaidi ya 1,200,000/= kwa njia ya M-PESA

Kaa kimya ila pesa usirudishee,kama huna cha kufanyia kuna watu wenye shida kibao hata wagonjwa wanaitaji msaada.unaweza kupeleka huko.
 
Unanijua?

Kama unanijua nitaje jina na ushahidi wako weka wazi kwamba mimi punga.

Kama hunijui, unaharisha maneno tu.

Nipe dada yako, mama yako, bibi yako, girfriend wako, kwa masaa 48 halafu umuulize kama mimi punga au vipi.

ha ha ha haaaa, Kiranga habari yako mkuu!!!
 
Kuoa haimaanishi kwamba hupo kwenye mambo ya Ucameroon. Kuna watu wanaoa geresha kuhadaa jamii.

Na kutokuoa haimaanishi kwamba hujaoa kwa sababu upo kwenye ucameroon.

Inawezekana ni rijali ambaye hutaki uongo wa kuoa na kumuumiza moyo mke kwa sababu you are still playing the field and circling the block.

Tatizo jamii yetu ina heshimu muongo anayeamua kuoa na kufanya ufisadi kwenye ndoa yake kuliko "muhuni" aliyeamua kuwa mkweli kwa roho yake na jamii na kusema yeye hawezi kuoa kwa sababu hataki kusaini mkataba na mtu mmoja halafu baadaye akauvunja.

Halafu kesho viongozi wakifanya ufisadi serikalini tunawapigia kelele. Wakati raia wenyewe hawawezi kukosa ufisadi kwenye nyumba zao.

Matatizo yetu ni ya kiutamaduni.

Na mtu akitokea kuyakataa, tunamshangaa.

nimeupenda sana ujumbe huu
 
Back
Top Bottom