daviey69
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,234
- 866
Punguza Hasira Mdadawewe na mleta mada wote amanazo kama asingemtongoza hayo yangetokea wapi? nyie ndo mfunge midomo yenu si kila sahani ya chukula lzima utie mkono....

Duh leo utaua mtu....kutongoza utongoze wewe alafu wewe ndo ikukere wewe utakuwa huna akili sawasawa kwa nini utongoze usichopenda ..... wewe ndo unakera kujpeleka peleka kwa wadada ovyo ovyo ndo ukomeeee..... cheap boy ndo maana akakukubali.............. mijiananume sijui ikoje
mi simuungi mkono huyu anakimbia ukweli............if we are to change truth must be faced!nakuunga mkono 100%...
Ouuuuukayyyy this is how it goes.
It was yesterday bana mida ya jion, jirani kanipigia simu akanishtua kuna bonge la Foleni kuelekea Home. Yeye alinishauri nibadilishe njia ila mimi, Well nka decide ku waste time kwa office kwanza ques ziishe. Ilipofika mida ya kama 1800 hivi nkamuona dada mmoja wa makamo kiasi akiondoka peke yake. Jengo letu lilivyo ni kuwa kama unatumia mlango wa nyuma kutoka lazma upitie department yetu.
As usual, boys will always be boys nkaanzisha story na kumsihi kuwa mida hii mafoleni makubwa avute hata 15 mins hivi ndo aende. Pamoja na kuwa alikataa kusubiri kwa kisingizio kuwa kesha chelewa sana lakini alisimama kunisikiliza. Here I was alone na bidada kwenye mazungumzo ambayo hata hayakuwa na aim yeyote ya maana. Kiufupi huyu dada mi huwa namuona tu na najua anafanya kazi pale ofisini ila sijawahi hata kuongea nae.
Waswahili wanasema Mbuzi akifia kwa muuza supu kinachofuata kinajulikana. Basi na mimi when I ran out of things to say kwa huyu mrembo nkamuingia. Ingawa nia yangu haikuwa kumtongoza na nili expect akatae kabisa na aondoke ila aliendelea kunisikiliza huku akijichekesha. Sio kwamba ninampenda au nimevutiwa naye ila niliishiwa tu story na maneno ya kusema kwa wakati ule. Nlivyomuuliza kuwa ombi langu analipokeaje jibu lilinishangaza zaidi. Baada ya kuona hana dalili ya kukataa nkamfungukia kuwa nina mchumba wangu nategemea kumuoa hivyo this relationship ni Non-official. Hili pia halikumfanya akatae and she was up for it huku akijitamba kuwa yeye ni bingwa wa kutunza siri and no one will know.
I was Flabbergasted, sijui ni ushamba au ndo maharage ya mbeya ila how can you possibly say yes? The conversation lasted for abt 40 mins. Tukabadilishana contacts with a promise kuwa tutawasiliana. To be honest ningeendelea na hata kumuomba tukapate vinywaji na baadae guest angekubali kabsaaaaa 100%. Unajua nimeamini kuwa hakuna mwanaume M.alaya ila tatizo wanawak wanatuwekea K mezani kirahisi mno. Wengine hatupendi ku cheat ila kama wanawake hawabadiliki sidhani kama tutafanikiwa. As for the time being, I'm keeping her number just incase. Who knows she may be a very good friend after all.
Punguza Hasira Mdada
mi simuungi mkono huyu anakimbia ukweli............if we are to change truth must be faced!
Ha haaa on a serious note ni kweli ? lol...
sina hasira ila sasa wanaume hamna heri kabisa ukipewa ohh anakera mnatakaje?
miss chagga umepanick sisterKweli wapi huyo nadhani hata ukimuona kwa macho huwezi simama, huenda hata huyo dada alisimama tu kwa kuwa ni mtu wa ofisini.............Mwanaume kichwani sifuri yenye masikio.............kumbafu sana
Ouuuuukayyyy this is how it goes.
It was yesterday bana mida ya jion, jirani kanipigia simu akanishtua kuna bonge la Foleni kuelekea Home. Yeye alinishauri nibadilishe njia ila mimi, Well nka decide ku waste time kwa office kwanza ques ziishe. Ilipofika mida ya kama 1800 hivi nkamuona dada mmoja wa makamo kiasi akiondoka peke yake. Jengo letu lilivyo ni kuwa kama unatumia mlango wa nyuma kutoka lazma upitie department yetu.
As usual, boys will always be boys nkaanzisha story na kumsihi kuwa mida hii mafoleni makubwa avute hata 15 mins hivi ndo aende. Pamoja na kuwa alikataa kusubiri kwa kisingizio kuwa kesha chelewa sana lakini alisimama kunisikiliza. Here I was alone na bidada kwenye mazungumzo ambayo hata hayakuwa na aim yeyote ya maana. Kiufupi huyu dada mi huwa namuona tu na najua anafanya kazi pale ofisini ila sijawahi hata kuongea nae.
Waswahili wanasema Mbuzi akifia kwa muuza supu kinachofuata kinajulikana. Basi na mimi when I ran out of things to say kwa huyu mrembo nkamuingia. Ingawa nia yangu haikuwa kumtongoza na nili expect akatae kabisa na aondoke ila aliendelea kunisikiliza huku akijichekesha. Sio kwamba ninampenda au nimevutiwa naye ila niliishiwa tu story na maneno ya kusema kwa wakati ule. Nlivyomuuliza kuwa ombi langu analipokeaje jibu lilinishangaza zaidi. Baada ya kuona hana dalili ya kukataa nkamfungukia kuwa nina mchumba wangu nategemea kumuoa hivyo this relationship ni Non-official. Hili pia halikumfanya akatae and she was up for it huku akijitamba kuwa yeye ni bingwa wa kutunza siri and no one will know.
I was Flabbergasted, sijui ni ushamba au ndo maharage ya mbeya ila how can you possibly say yes? The conversation lasted for abt 40 mins. Tukabadilishana contacts with a promise kuwa tutawasiliana. To be honest ningeendelea na hata kumuomba tukapate vinywaji na baadae guest angekubali kabsaaaaa 100%. Unajua nimeamini kuwa hakuna mwanaume M.alaya ila tatizo wanawake wanatuwekea K mezani kirahisi mno. Wengine hatupendi ku cheat ila kama wanawake hawabadiliki sidhani kama tutafanikiwa. As for the time being, I'm keeping her number just incase. Who knows she may be a very good friend after all.

Kweli wapi huyo nadhani hata ukimuona kwa macho huwezi simama, huenda hata huyo dada alisimama tu kwa kuwa ni mtu wa ofisini.............Mwanaume kichwani sifuri yenye masikio.............kumbafu sana