Arusha: Aachwa na Mumewe baada ya kuchora picha ya Nabii Mkuu

Mwanamke Mmoja jijini Arusha amechora picha yenye jina la mtumishi wa Huduma ya Ngurumo ya Upako anayefahamika kwa jina la Nabii Mkuu Geor Davie.

Mwanamke huyo alipoulizwa kwa nini amechora tatoo yenye jina la nabii huyo, alijibu anampenda licha ya kuwa anapitia mwengi.

"...Ni jambo la baraka sana mtu mpaka anaamua kuandika jina la nabii mkuu". Baadae nabii huyo alimuomba mwanamke huyo aoneshe picha ya tatoo iliyopo begani mwake kanisani hapo.

Kanisa la ngurumo ya Upako huhudhuriwa na waumini zaidi ya 5000 kila jumapili.

Siku za Karibuni Nabii huyo
amekuwa gumzo mitandaoni kwa kutoa zawadi za Pesa na magari kwa baadhi wasanii wa Muziki..Gudluck Gozbert (Mercedes Benz), Mkali wenu (BMW X5).

Una maoni gani?

View attachment 2427554
Hii habari ni ya 2014 lakini
 
Hawa ndio wanaoaibisha ukristo

Isaya 4:1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
KWA wanaojua maandiko awashangai
 
Tafsiri mbaya ya maandiko, mtumishi anafurahia tattoo? Biblia anayosoma haikatazi au anasoma Biblia ya kwake peke yake? Mtumishi anachekelea kusikia ndoa imevunjika kwa ajili yake! Na kanisa nalo linapiga makofi kushangilia duh!
 
Na pesa juu akampa
Mungu wao sio Mungu wetu
 
Back
Top Bottom